Search results

  1. The Fixer

    June 19'2016 muda huu 15:25hrs Kuna Taarifa zozoote za kukamatwa Gwajima ??

    Wandugu, Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki ? Naomba kujua Kama Gwajima amekamatwa ama laaa na tatizo laa ? Sitaki kuamini kama ile Nguvu ya Polisi itaishia tu hivi hivi, Baadhi ya magazeti yaliandika kuwa amekimbia nchini lakini JAMBO LEO wameripoti kuwa amesema hajakimbia nchi yupo...
  2. The Fixer

    Tuitambue; Jamhuri ya Watu wa Zanzibar

    Wandugu, Huwa najiulizaga swali la kizushi ! Tanzania imekuwa mstari wa mbele sana katika kupatikana (kujitenga Sudani ya Kusini) mbona wao inakuwa wagumu inapofikia suala la Zanzibar ? Yaani sipigii debe kujitenga bali kuitafuta ile Jamhuri ya watu wa Zanzibar na kuitambua !
  3. The Fixer

    Historia ya safari ya Limbu kisiasa

    Wakuu, Naomba kujuzwa historia ya Mh Limbu katika safari yake ya kisiasa. Kwani kama anaweza kuufanyia hivi mti mbichi kabisa ACT vip kwa ule mkavu CCM ? Karibuni sanaa wadau.
  4. The Fixer

    Hujuma Pantoni za Kigamboni

    Wadau, Ipo haja ya Mamlaka husika kuingilia kati swala la kivuko hapa kigamboni, Round trip la hili pantoni kubwa siku hizi dakika 50 badala ya dakika 25. Pantoni linatembea na injini 2 badala ya 4. Mafuta yanauzwa tu juu kwa juu, Mkuu Mwakyembe najua unapitia hapa na kama utakuwa hujaona...
  5. The Fixer

    Ufisadi Bomba la Gesi

    Wakuu, Hizi taarifa za kuwa kuna ufisadi wa kutisha katika mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi Dsm ni za kweli ? Na ni kwanini sasa wenye data kamili wasiziweke hapa ili mpaka Januari 27 Bunge likianza tena tushuhudie uwajibikaji wa watuhumiwa ?
  6. The Fixer

    UTAPELI; Meseji za kuchangia msikiti Mtambani

    Asalaam alaykum tahadhari na msg hii changia ujenz wa msikit wa mtamban kwa kupitia namba 0717922791 na 0779597979 na 0685838568 na 0765197979 jina litakalotokea ni masjid mtamban ewe muislam wekeza kwa allah kwa kujenga nyumba yake by uongoz wa masjid mtamban huo ni utapeli kama una mchango...
  7. The Fixer

    Kajala nae aamua kukaa uchi akiwa fiestani - Tanga

    Hivi kama unajua unatoka na umevaa kinguo cha ajabu kwanini usibebe hata khanga ili ikusitiri ? Ina maana kuwa celebrity ndio kila baya la kuushangaza umma ndio ulifanye wewee ?
  8. The Fixer

    Msigwa aonyesha video ya uwindaji haramu

    Wanandugu, Nimeiona kwenye gazeti la Mwananchi la leo kuwa Mh Msigwa ameonyesha video ya uwindaji haramu kwenye press conference yake ya jana. Tutaionaje hiyo video, Sisi wa huku nyuma ya Tanganyika ? ====================================== Chanzo: Mwananchi
  9. The Fixer

    Hali si shwari mpaka wa Horohoro

    Watanzania, Jana jioni majira ya saa 19;20 kwasaa za Afrika Mashariki palitokea taharuki ya aina yake katika mpaka wetu wa Horohoro kilikuwa ni kitendo cha dakika 10 tu lakini risasi zilirindima tukadhani tupo Somalia Majambazi wawili tu walivamia duka la Mjasiriamali na Agent wa Mabasi ya...
  10. The Fixer

    Serikali, Airtel zavutana kuhusu hisa za TTCL

    Wanabodi, Sisi huku mikoani tunaikosa hii habari kwa mapana yake. Nawaomba mlio na data za kutosha mtuambie nini kinaendelea kwani hii kitu ilitokea miaka ile Mh Rais Mkapa akiwa madarakani na ni moja kati ya sehemu zilizotia doa kubwa sana Mkapa's administration, Kulikuwa na kila dalili za...
  11. The Fixer

    Mh Rais Kikwete awatambue Matajiri wa Tanzania !

    Wanabodi, Hili ni wazo langu binafsi na nnajaribu kulileta hapa kwa Great thinkers ili lifanyiwe ukarabati zaidi na liwe lenye kusomwa na Mh Rais maana naye ana Account yake humu ndani JF Mh Rais / Ikulu iwatambue Wafanyabiashara woote wakubwa na wazalendo wanaotumia Utajiri wao katika...
  12. The Fixer

    Mh Rais anaweza kulivunja Bunge la Katiba ?

    Wana ndugu, Naomba wale wenye maarifa ya upande wa sheria au wajuvi au wabobezi wa Sheria watuambie ikiwa tutapaza sauti zetu na Mh Rais kwakuwa ni mtu msikivu na akaamua kwa dhati kabisa kulivunja Bunge hili la Katiba na kutoa muda kwa wenye nia ya dhati kabisa ku apply walau Laki 1 kwa siku...
  13. The Fixer

    Yaguine Koita na Fode Tounkara: Mashujaa wa tafakuri juu ya namna misaada ya kigeni

    Jioni ya Agosti Mosi, 1999 vijana wawili, Yaguine Koita na Fodé Tounkara walifanikiwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Conakry, Mji Mkuu wa Guinea, Nchi iliyo katika Pwani ya Afrika Magharibi, na kuamua kujivingirisha katika sehemu ya mizigo ya ndege ya Shirika la Ndege la Sabena iliyokuwa...
  14. The Fixer

    Wakenya hawawezi kazi kitandani

    Wana Jamvi, Mimi nafanya kazi kwenye mabasi ya kwenda Mombasa yakitokea Dar es Salaam ( Tahmeed ) na vice versa Katika harakati zangu nimeshakupambana na Wadada wa Kikenya wawili ni wazuri kwa sura na shape na hawapendi kabisa kuvaa sketi wao ni suruali LAKINI kitandani pafomansi ni F yaaani...
  15. The Fixer

    Samsung Galaxy S6 "imeliki " .

    Huu ndio muonekano mpya wa Samsung Galaxy S 6 kama ambavyo wajanja wamei likisha mtandaoni na mwaka huu utaingia sokoni rasmi lakini inasubiriwa tu tarehe ya S5 kwanza ambayo ni February 24 mwaka huu ipite kwanza waone duniani wataipokeaje S5 kabla ya kushusha S 6 Samsung " Life Companion " !
  16. The Fixer

    Pendekezo: Tulilipe tu Deni la Taifa, kisha tusikope tena!

    Wana Jukwaa ! Kwa taarifa za kiuchumi ni kwamba Deni la Taifa kwa sasa ni Trillioni 27 . Deni la nje ni Dollar za kimarekani Bilioni 16 na Deni la ndani ni Trillioni 6 Napendekeza Mh Rais JM Kikwete ( Najua anasomaga humu nyuzi mbalimbali ) anzishe harambee kwa Watanzania woote waishio nje na...
  17. The Fixer

    Poor Jero

    JERO na ELFU KUMI baada ya kupoteana kwa mda mrefu JERO; Ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani? ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara nimeingia bar,mara casino,juzi nilikuwaAirport nikakaa sana pale kisha nikaenda Mlimani city nikatoka...
  18. The Fixer

    Mathematics Sucks

    In high school, i was very poor in maths and chem. During exams, i'd get btn 2% and 8%. The results used to be announced out from the lowest to the highest marks, so i would always be the 1st or 2nd from the bottom to be called out.... One day the maths results were being released out and my...
  19. The Fixer

    Mh DC Mnali angepewa Unaibu Waziri wa Elimu

    Wana Jamvi, Naomba kutoa masikitiko yangu juu ya kuteuliwa kwa watu dhaifu sanaa kwenye baraza jipya la Mawaziri liliotajwa juzi na kati ya watu ambao sijapendezwa ama kufurahishwa nao ni kukosekana kwa DC Mnali katika wizara ile kwa maoni yangu mimi wapo watu wengi sanaa wanaofaa kufanya ile...
  20. The Fixer

    Mkonga wa Taifa kulikoni ??

    Wanajamvi, Naomba kupitia hapa jamvini niweze kuleta dodosa langu juu ya huu mkonga wa Taifa. Wiki mbili zilizopita nlikuwa katika mpaka wa Horohoro kwa siku 14 field TRA na katika kero kubwa pale ni upatikanaji wa uhakika wa mtandao wa Internet. Ukihitaji connection ya uhakika unatakiwa uwe na...
Back
Top Bottom