Search results

  1. N

    Je ni sawa kutambulisha mke wa nje kwa wazazi?

    UTASHI wakati nashtukia kwamba ana uhusiano,mtoto alikuwa tayari kashazaliwa,na katika mizunguko ya weekend alinipeleka mahali siku moja ndio nikakutana na huyo binti na mtoto wake....nitajitahidi kutoingilia,lakini nitapambana kwa nguvu zote huyo mwanamke asionekane kwa wazazi wake...maana...
  2. N

    Je ni sawa kutambulisha mke wa nje kwa wazazi?

    Alizaa naye baada ya kufunga ndoa.
  3. N

    Je ni sawa kutambulisha mke wa nje kwa wazazi?

    Habari forum, nina rafiki wangu wa karibu anayefikiria kumtambulisha mke wake wa nje pamoja na mtoto wake wa miaka miwili aliyemzaa na huyo mwanamke kwa wazazi......tayari huyu rafiki yuko kwenye ndoa halali ya kikristo na ana watoto wanne na mke wake wa ndoa ...nimejitahidi kumzuia kwa kila...
  4. N

    Picha.Diwani wa CCM anayetuhumiwa kwa mauaji ya vongozi wa TLP

    hawa madiwani nadhani wanafundishwaga,au wanarubuniwa kama wakiua watapanda vyeo na kuwa na nafasi kubwa....nina mfano...mbona yule aliyehusika na kifo cha kiongozi wa usa river Arusha,mbona yuko mtaani baada ya kushtakiwa na inafahamika dhahiri yeye ndiye aliyeua?....na wale alioshirikiana nao...
  5. N

    The "LIKE"' bank

    wekeza post zaidi upate likes zaidi,,,,bila riba yoyote,na usiwe mchoyo humu ndani,,,,kwa mtindo huu Madame B lazima uwe moderator mwaka huu.....
  6. N

    The "LIKE"' bank

    @st.paka mweusi ameshaelewa mchezo,ukichunguza utaona kila mtu nimempa LIKE,na wewe toa kwa kila mtu
  7. N

    The "LIKE"' bank

    since umeandika chochote,ntakuzawadia LIKE.ya buree
  8. N

    The "LIKE"' bank

    peri nadhani hujaelewa mchezo unavyoenda,,,,una-LIKE kila comment iliyoko juu yako,ungetakiwa kunipa mimi LIKE na kumpa snochet LIKE,atakayekuja chini yako naye atakupa LIKE,ukipata nafasi ya kurudi utawapa wenzako LIKE pia....mimi nakudai LIKE moja.......let the fun go ON
  9. N

    The "LIKE"' bank

    comment chochote kwa hapo chini ili uweze kupata LIKE
  10. N

    The "LIKE"' bank

    najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes...
  11. N

    soil analyst,urgently needed

    ****deleted***
  12. N

    ushauri tafadhali

    mimi ni kijana(wa kama miaka 23 hivi),na kama bahati nimebahatika kupata kazi sehemu flani,wananipa mshahara mkubwa tu,na niliowakuta kwenye department yangu,wengi ni wana umri karibia wa kustaafu,na hawana elimu sana (wengi wana certificate)...hapa ofisini nimepatiwa secretary ambaye ana umri...
  13. N

    Yanayojiri katika maonyesho ya nane nane jijini Arusha

    ukipata nafasi piga picha hilo vumbi lililoko huko,maana kuna mtu nimeona katoka huko,kachafuka kama katoka kufukia mahindi
  14. N

    Masters degree ukiwa kazini(kwa mnaofahamu)

    nimeangalia program zao,na nimeuliza,nyingi ni evening classes,na bei zao ni juu.pia hawatoi huduma zao katika mkoa wa kilimanjaro(ambapo nipo kwa sasa)....tafadhali kama kuna mwingine anayefahamu mambo ya distance learning na akafanikiwa kupata masters yake awasiliane na mimi ili aweze...
  15. N

    Masters degree ukiwa kazini(kwa mnaofahamu)

    ndugu zanguni,ninaomba kufahamu vyuo unavyoweza kusoma masters hapa tanzania ukiwa bado mfanyakazi,inaweza ikawa evening classes au distance learning kabisa.kwa anayefahamu naomba anijuze.my first option ni distance learning,,,,,hata kama kuna vyuo vya nje vyenye reputation nzuri,vinakubalika na...
Back
Top Bottom