Search results

  1. K

    mwanaume akiwa ametoka kudo na nje ya mahisuano utamjuaje?

    Ndugu tafadhali tujuze hii inawezekana vipi?wengine technolojia imetutupa mkono, nahisi kuna mjinga mmoja kanifanyia hivi, ni bwana mdogo na ninaamsupport kimaisha cha ajabu ishu zangu nyingi anazipeleka kwa wakubwa sijui anazipata wapi, na mara nyingine anakuwa na ghadhabu zisizokuwa na msingi...
  2. K

    Kitanda 6 x 6, Why m'banane??

    Mwambie amchunguze inawezekana huyo mwanamke anaogopa usiku, kama sivyo mwambie aache ushamba kumbato muhimu, haya ndo madhara ya kutokwenda jando/unyago,vijana dumisheni mila uzungu usiwatawale.
  3. K

    Nafasi 400 jeshi la polisi

    Mmmh! acheni mzaha jamani, hii ni taarifa muhimu wengi tulikuwa tunaihitaji, shukran mama pita, keep it up!!
  4. K

    A graduate teacher in search of a vacant post in Dar Es Salaam.(BAED)

    MMmmmmmmHH! Pole kwa watoto na wadogo zetu, kama mwalimu ndo huyu, sijui mwanafunzi wake atakuwaje!!!????.
  5. K

    Nimwambie uncle....

    MMhhh!!!mara nyingi stori kama hizi huwa nasoma kwenye magazeti, kama imekutokea laivu pole!! huna haja ya kumwambia uncle wako utamuumiza sana, na endapo atachukua hatua yoyote jua itakuwa ni matokeo ya hasira baadae kibao kitakugeukia ndugu, na mahusiano na mjomba wako yatakuwa hatiani, hivyo...
  6. K

    Wanawake mbona mnamikasa sana kwenye mapenzi hamridhiki?

    Kama, hawaridhishwi wataridhikaje???? inawezekana wewe ndo chanzo cha uvivu wa huyo mwanamke wako, upojichunguza na kujirekebisha mwingine pia atakumwaga. Pole!
  7. K

    Tasaf

    Habari zenu, wana JF? Naombeni kuuliza kwa wale walioomba kazi TASAF au wenye taarifa yoyote kuhusu shortlisting na interview kama imeshafanyika, kimya kimekuwa kingi.
Back
Top Bottom