miungoni mwa wajinga wewe ni namba moja kabla ya muungano tulikosa nini ,wakomoro wanataka muungano sio dhulma na hizo pesa za tanganyika ni mnazotupa ni za wizi mnatuibia pesa chungu mzima halamnatujejea kwa kurudisha kimtindo hapa hatuungana mmetudhulum kwa tanganyika kuita tanzania na mengine...
nakwanini uin'gan'ganie tanganyika ni kubwa kinachokusumbueni nini hakuna ila ni chuki na ufisadi husda choyo na uwadui wa baadhi watanganyika hata nyerere kaondoka na donda la roho juu ya wazanzibar bado mkapa mmoja baada ya mmoja watondoka na kuwaacha vijana wakidai nchi yao mpaka keleweke...
SHIDA ILIYOPO LICHA ya wasomi walioko tanganyika bado kuna wimbi kubwa la wajinga na maskini jambo lina sababisha hata kuona kwa macho au hata kuskuliza khabar hawajui owongo huona ukwli na ukwli huona uwongo anajua dhulma inayofanyika znz ni baadhi ya wasomi wasiomrithi nyerere ilawengi wenu...
Kwanini wacristo na serikali wanakataa hoja ya waisalam kuweka wawakilishi wa dini zote mbili ili kuondoa kupoteza gharama au hawatki haki wanataka takwim za uwonago nakwanini watoe takwim za kidini wasiseme watanzania ni kadhaa
Kwanini wacristo na serikali wanakataa hoja ya waisalam kuweka wawakilishi wa dini zote mbili ili kuondoa kupoteza gharama au hawatki haki wanataka takwim za uwonago nakwanini watoe takwim za kidini wasiseme watanzania ni kadhaa
cuf haijafa na haitokufa nadhani itakayo kufa ni chadema tusubiri uchaguzi ufike tuone mpira huwa unadunda tuone zanzibar imeingia nusu fainali tusubiri bara mwaka huu ujionee mwenyewe
kwanini kama serikali haina dini itoe idadi ya waislam na wacrito kwa ushahidi upi waseme waislam kidogo kuliko waislam mdagani na wapi walifanya majumuisho hayo jee wawakilishi walikuwepo wote kwanini wadanganye ulimwengu
ww usiwe mjinga sikiliza hoja za maimam ndo utoa kwanini nakama hujazipata zitafute ndo uwandike kwanini hongereni maimam nisi maamuma tuko nyuma hashiriki hadi serkali ikubali hoja za msingi na nakuachana na udangayifu wa takwim za sensa
nafikir ulochanganyikiwa niwewe usojua asili wa mila na utamaduni wako hem unaelewa eleza japo kwa mukhasari kidogo wazanzibar sio wabamtu huu ndo ukweli wacheni kukaa kwenye vilab vyapomabe ndo kwanza mnaandaa vitambulisho vya kujuana leo eti vya taifa la tanzania mbona hamuutaki ukweli na...
suala la mafuta ya tanganyika niyatanganyika na zanzibar haitakuwa dhambi kubarikiwa mafuta na mungu tanganyika ina madini almasi dhahabu pamba mito milima mbuga zawanyama sijawahi kusikia wakilalamika waznzibar juu ya raslimali za tanganyika ila watanaganyika ndo wanaoongoza kwakuwakhofia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.