Search results

  1. Gosbertgoodluck

    Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Maswali unayouliza hayana mashiko kabisa. Ni bahati mbaya sasa umekosa hata chembe ya hekima na busara katika kufanya shughuli hiyo ya umma. Ingekuwa ni kampuni yako binafsi hakuna ambaye angepiga kelele lakini kwa kuwa unakalia ofisi ya umma, just count on me, you wont take time. Hiyo dosali...
  2. Gosbertgoodluck

    Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    I can't believe if this is your contribution.
  3. Gosbertgoodluck

    Safari za E. Lowassa Mikoani: Anamwakilisha nani!?

    Inaonekana Lowassa anawauma watu sana. Mwacheni mwenzenu aendeleee kujisafishia njia ya kwenda Jengo Jeupe. Wakati nyie mnalilia tu na kumsema sana, yeye amekaa kimya anaendelea kuchanja mbuga. Sasa hivi watanzania, wanajua vizuri nani ni mpiga porojo tu nani ni mpiga kazi. Ikifika 2015...
  4. Gosbertgoodluck

    M23 warudi nyuma, Rwanda yapeleka Jeshi mpakani, Rais Mseveni aitisha kikao cha dharura Kampala!

    Kana roho mbaya hako kajamaa ndiyo maana mwili umekakamaa utadhani dagaa wa Mwanza au utadhani hakagongi menu.
  5. Gosbertgoodluck

    Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Lahaulaaaa, ama kweli tumekwisha. Kumbe mtandao umeingia mpaka mahakamani!!!
  6. Gosbertgoodluck

    Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Hayo ni majini au watuuuu!!!
  7. Gosbertgoodluck

    Vituko vya mabango ya Mei Mosi -Mbeya

    Kama kawaida yake.
  8. Gosbertgoodluck

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Mkuu, that is the way they have been taught. In islam there is nothing like reasoning out.
  9. Gosbertgoodluck

    Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    You must be a teacher. Your presentation has touched me nicely. Stay blessed!
  10. Gosbertgoodluck

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Viongozi wa TBC lazima mtambue kwamba chombo hicho kinaendeshwa kwa kodi yetu wananchi. Kwa nini leo mmekatisha matangazo ya moja kwa moja bungeni wakati wananchi wakiwa na hamu ya kujua kinachoendelea kuhusu uamuzi wa naibu spika wa kumtoa Mhe. Tundu Lissue nje? Laana ya matendo yenu itawafuata...
  11. Gosbertgoodluck

    Lini Tanzania itafikia Democrasia kama hii?

    Ni upungufu wa akili vilevile kulazimisha wananchi kusikitika na kuomboleza kifo cha adui yao.
  12. Gosbertgoodluck

    Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    Hakika ni shetani tu anayeweza kufanya hujuma hii dhidi ya binadamu. Naamini ipo siku Mungu atafunua uovu wote huu hadharani na watanzania wote tutashuhudia.
  13. Gosbertgoodluck

    Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini?

    Tehe tehe tehe kwi kwi kwi iiiii!!
  14. Gosbertgoodluck

    Kwa Vifo Hivi, Watanzania Tujiunge Kulaani na Kuwataka Viongozi Husika Wajiuzulu

    Ndugu zangu wanajamvi, Kama kuna jambo ambalo nimebaini limewagusa wengi ni vifo vya ndugu zetu wawili waliobanwa na lori lililopata ajali kwenye barabara ya Morogoro - Chalinze. Jambo linalowasikitisha wengi ni kwamba taarifa za kubanwa kwa ndugu zetu hao chini ya lori zilitolewa mapema...
  15. Gosbertgoodluck

    Waliobanwa katika ajali wafariki

    Jamani jamani jamani ndugu zangu watanzania, ccm ifanye uovu gani mtambue kuwa hiki siyo chama cha siasa bali ni kundi la majambazi wenye lengo la kuiangamiza nchi hii??????? Hivi angekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kiongozi yeyote wasingemwokoa? Kweli ndugu zetu wanakufa huku wanajiona na...
  16. Gosbertgoodluck

    Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na Gazeti La Jamhuri

    Kwa nini hakumuuliza Riz kwamba mbona hatukuwa tukimsikia kwenye ulingo wa siasa kabla baba yake hajawa rais?
  17. Gosbertgoodluck

    Jamani, mwambieni ukweli Rais

    Nami namshangaa sana!!! Mbona waislam wengi sana hasa kwenye vijiwe vya kahawa mijini!!!! Usiwaonee bwana.
  18. Gosbertgoodluck

    Alichotabiri Aboud Jumbe kimetimia

    Unaikataa BAKWATA halafu unapongeza uamuzi wa kukutana Kadinali Pengo na Shekhe wa Dar Es Salaam ambaye ni wa BAKWATA!!!!!
  19. Gosbertgoodluck

    Good Example for African Leaders

    Anaitwa Fastjet?
Back
Top Bottom