Yap, ndio maana nikadondosha hiyo thread, nikiwa na maana tuanze kutumika kimatendo zaidi...mfano tuanze kufanya tafiti za ukweli na si kukopi na kupesti ili kufanya short cut
Tatizo kubwa ninaloliona itikadi za vyama vimeathiri serikali halali za vyuo, wanatakiwa waelewe, serilkali hizi ni kama micro training ambazo husaidia watu kama akina Obama kujitokeza na kuleta mageuzi..lets unite and fight for our own rights..maisha mema kwa wale wote waliofukuzwa kwa ajili ya...
Hivi kwanini kila serikali za wanavyuo zinapochaguliwa na wanachuo wenyewe kwa nini utawala hupenda kuingilia kati maamuzi ya wanachuo kuleta uvunjifu wa amani vyuoni..Mfano UDSM, LUKO, TEKU...Kulikoni?
Wadau, Vyuo Vikuu pawe mahala pa kuleta mabadiliko, mitazamo mipya ya kimaisha, kuzitumia fikra sahihi za wanafalsafa na kuleta changamoto zitakazoibua mifumo mipya ya kimaendeleo na si sehemu ya makuzi na kuzibwa midomo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.