Wewe mwenye shida ya hela nenda katafute hela. Yeye anashida na mke wake sisi tunamshauri kulingana na shida aliyonayo. Ukiwa unashida na hela usifikiri sote tunashida na hela. We mpe ushauri wako unaomfaa niache me nimpe wangu naoona unamfaa. Kuoa mke wa pili si ufumbuzi Bali ni kuongeza tatizo
Imenilazimu kuandika kitu. Na ushauri wangu utakuwa mbaya. Na pia hautafanana na mtu yeyote humu.
Moja si vyema kumpiga mwanamke, na mwanamke hapigwi Ila kwa kesi yako hii si busara kutompiga mkeo, mtandike, akikupandishia nyodo mtandike na mtandike viboko Kama mtoto mpaka akalale be a man...
Kuna mtu unamwonea huruma?
Chama kina utaratibu wake yale yalikua maoni na si maamuzi.
Pili chama kina dhamira ya dhati ya kupambana na rushwa hivyo hata kingempitisha mtu wa thelathini na kitu hakita ogopa kuwapelekea wananchi watu Safi na sahii.
Watu Kama nyie ndio mnaanzisha makundi ndani ya chama. Mwenyekiti anasisitiza chama kuwa na umoja. Nyie mmesha Anza kutafuta ccm hasili na sijui Nani alifanya Nini mwaka gani!
Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha mtu salama na hua haiishii kwa unaemwona adui itakwenda zaidi na itakata...
Narudia kwambia kwa Mara nyingine unaandika kitu usichokijua, sioni umuhimu wa kubishana na wewe kwenye hili. Nimempa angalizo na nafikiri kaelewa nilichomwandika maamuzi yake ya Leo yanaleta drama ya kesho. Hutakaa ukadhurika kwa kusamehe ila kunaathari kubwa kwa kutosamahe. Nikisoma katika ya...
Ndio shida ya kutoka kwenye familia za mitala kila kitu unaona kawaida. Nashukuru mtoa post tunaelewana. Nenda kafanye mtihani wenzako wanaanza Leo. Utakapo kuwa utajua nasema nini.
Kaka nielewe sipingi wewe kuwachukua watoto, ila kutoka moyoni naona mbele kuna drama inakuja na itahusu watoto. Tazama kwa makini maisha baada ya mama yako kuondoka duniani kisha tazama nawe uondoke ghafla! Nini kinafata? Kwakua unawapenda watoto basi vaa uhusika wao kisha chukulia mama yako...
Unless hujaelewa alichokiandika! Mwanamke akiwa mjamzito alileta manzi kwake akapiga wiki nzima na manzi akataka kukatalia gheto. Utawazaje kutembea na mwanamke mkeo mjamzito? Pili unajua effect inayofata? Mama yake atakapo ondoka duniani atawachukua watoto akakae nao je watakua chini ya mama gani?
Kimsingi mzazi ni mzazi hata angekosea. Mtoto hawezi kumwona mzazi anateseka akavumilia. Lakini pia huwezi Pima amani watoto waliokuwa nayo enzi wazazi wako wote na amani walionayo sasa.
Hajatazama vizuri hiko siku bibi yao ataenda mbele ya haki itabidi awachukue watoto wataenda kuishi na nani...
Kidogo nitakuwa tofauti na kila mtu humu.
Kwanza nianze kwa kukwambia pumbavu! Pumbavu sana! Pumbavu tena!
Ukitembea na mchepuko mkeo alikua kakukosea nini? Umefanya kazi ya kuweka akili kwenye Mali ukasahau watoto wanahitaji malezi ya baba na mama na si ya bibi. Nikweli mkeo alikosea kwa hatua...
Sina shaka na uaminifu wa mke wangu! Walau sijaona tatizo wala hajanionyesha usaliti wowote, ila naamini watu wanaokumbwa na fedhea hii hupitia maumivu sana, niliona mwaka Fulani moja ya balozi kwenye mtaa mmoja alikatwa na shoka kwa wivu wa mapenzi! Watu wamepigana risasi,wamepeana sumu na...
Ni kweli usemalo ila me nachopinga ni swala la mtu kuja kujivunia hapa kama ni jambo jema, hapa wanaingia mpaka wadogo zetu sana kiumri wanajifunza nini?
Watafikiri ni sifa kukaa unatembea na waume na wake za watu mpaka siku vinamtokea puani!
Naamini mko poa,
Watu wengi tunapata matatizo na hatujui sababu ya matatizo tunayoyapata.
Mara nyingi zinaweza kuwepo sababu mbalimbali ila kuna jambo naona liko sana humu na nahisi ni laana tunayoitengeneza au tuliokwisha itengeneza.
Kwanini tunaona sifa kutembea na wake za watu au waume za...
Mh Rais ndo kwanza anamiaka 4 mshaanza kuongelea mrithi miaka 6 ijayo. Hivi kazi yenu ni kuwaza tu uchaguzi na si maisha mengine.
Amjuae mrithi wa Mh Rais ni MUNGU pekee. Anaweza akawa hata hajafika bado kwenye jukwaa la kitaifa.
Kwa uelewa wangu, ili uchaguzi ni pale unapopata mtu wa kukupinga. Yaan iwe kwenye chama chake au vyama vingine. Ila unakosa mpinzani manake unakua umepitishwa kwa asilimia mia na watu wa jambo lile.
Naamini ikiwa hoja hii itakuwa sahii, basi Spika anatakiwa kuwasiliana na Tume kwanza na kuijulisha kutoa kikokoto upya na kuwapa vyama ili kupitisha majina kwa mujibu wa uwiano uliopo. Kisha Spika kupitia bunge litangaze kuwepo kwa nafasi wazi baada ya vyama kupunguza wabunge wake
Nashukuru sana mkuu kwa busara yako kubwa ya kuwa tayari kukosolewa.
Maelezo ya katiba yameainisha wazi kabisa sababu za kuondoka kwa mbunge kwenye nafasi yake, kwanza haijataja aina ya uchaguzi kama kigezo. Imesema uchaguzi. Kwahiyo waweza kuwa mkubwa au mdogo. Lakini pia ile ya 71 imeweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.