Search results

  1. M

    Naomba kujua maana ya kuota upo kwenye chumba cha mtihani

    Hizi ndoto nimeziota saana na ni kweli nikiota nakula msoto wa maana mpaka imani inanishinda. Nataka kufanya lolote yaani hata kulishika buku haiwezekani, kwa kuongezea nakimbizwa na wanyama wakali halaf Napaaa, Na pia naota vita vita au polisi wanakuja kunikamata zote hizo nikiota ni msoto...
  2. M

    Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    Wakiamua wanamchagua wao, mwaka 1985 walimchagua wao mbele ya JK Nyerere.
  3. M

    Safari hii ni zamu ya Zanzibar: Wameufyata

    Washatengenezwa kuwa silent kwa hiyo hutosikiwa wana complain suala la zamu yao sasa hv. Chezeaa watu na strategic zao za kuingia ikulu,!! Kwa kawaida siku za sikukuu watu wanasheherekea makwao, lakini pasaka ilisheherekewa znz
  4. M

    Huyu anaweza kuingia dakika za majeruhi na akaibuka kidedea ndani ya CCM

    Kwani utamaduni uliowekwa ni wa kupokezana muislamu na mkristo !!! au ni wa ubara na uzanzibari !!!
  5. M

    nani mwenye mchango mkubwa kitaifa kati ya prof issa shivji vs bakhressa

    Kila mtu ana umuhimu wake kwa nyanja yake kwa hiyo sioni sababu ya kuwafananisha au kuwalinganisha.
  6. M

    Tunahitaji mwanasheria kutusaidia hili

    We vp ww, sasa unategemea hiyo kesi ya mleta uzi itapelekwa ICC ? fikiria baba
  7. M

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Uzuri wa sehemu, mtu au kitu unategemea maono, maslahi, mapendekezo na mahitaji yako, ushawishi unachukua nafasi ndogo sana ili uone uzuri ukilinganisha na niliyoyataja hapo juu, Umeleta uzi huu kama vile unahitaji watu wakushawishi ili uuone uzuri wa mwanza au arusha, Kila mtu hapa atalisifia...
  8. M

    Tunahitaji mwanasheria kutusaidia hili

    Ipo case law, ime set precedent kwamba malipo ya wakili yanayolpwa baada ya kesi na kutegemea maamuzi ya kesi hayakubaliki katika sheria zetu za bongo, kesi hiyo ni ya mkono dhidi ya mteja wake mmoja(sikumbuki jina) na pia citation yake sikumbuki uulizia utaipata.
  9. M

    Ikulu yajitetea Rais kuchelewa maamuzi juu ya Kiporo Muhongo

    Na kama kweli uchunguzi haujakamilika hao wanaopelekwa mahakamani, wanapelekwa kwa uchunguzi gani...
  10. M

    Msaada kuhusu probation

    Kipindi cha probation ni miezi 3 lakini kinaweza kurudiwa mara 4 ikitokea mwajiri hajaridhika na utendaji kazi wa mwajiriwa, yaani atamuongezea muda mara ya kwanza, ikitokea hajaridhika tena atamuongezea mara ya pili, hivyo hivyo mpaka mara 4 yaani mwezi wa 12 toka siku ya kuanza kazi. Katika...
  11. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Kwani tumezitengeneza sisi watanzania, km ni airbus au boieng au nyingine bila shaka watakuwa wameweka.
  12. M

    Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

    Haina haja hata ya kum call, ukiona hivyo ujue hataki kuwasiliana na ww, aidha hakutaki au kakuchoka au anakukataa, Kwa mfano Mi kuna watu walikuwa ni watu wangu wa karibu sana ilikuwa haipiti nusu saa bila kunitafuta kwa kunipigia au kuni sms, kati yao mmoja ni alikuwa mwanamke wangu ambaye...
  13. M

    Mwanaume Miaka 30, bado unakaa home au kwa ndugu bila sababu za msingi

    Ni kweli kabisa, kwa mfano jamii za kiarabu na kihindi wazazi wanapenda kukaa na watoto wao hata wakioa, mimi binafsi pamoja na kuwa sina uwezo lakini nilitoka nyumbani kwa sababu kuna mazingira flani yalitokea lakini naamini yasingetokea hayo hadi leo na miaka yangu 32 ningekuwa bado nipo nyumbani.
  14. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Ahsante mgosani na matembele kwa kuongeza kitu kichwani mwangu ndio maana naipenda JF, napata vitu vingi sana
  15. M

    Idd Azan, mwanamume hasusi! Usiliachie jimbo la Kinondoni kwa sababu ya fitina za CCM

    Hana lolote huyo, amegundua maji ya shingo tu, 2010 yenyewe alikoswakoswa ashukuru watu flani flani
  16. M

    Uchaguzi S/Mitaa: CHADEMA ilivyoongoza UKAWA kusambaratisha CCM kabla na baada ya Mapingamizi

    Si bado wanaamini mbinu yao ya propaganda bado inafanya kazi
  17. M

    AG George Masaju: Mwanasheria hasa mwenye nakisi ya kisiasa

    Unachosema ni kweli kabisa, yaani nikiwa naangalia bunge huwa nashindwa kuwaelewa hawa maprofesa, madokta na watu mahiri kwenye taaluma zao kuwa wamelogwa au hawajui au wanafanya makusudiii wanavyoongea vitu hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuoni wakijiandaa hawawezi kuongea hivyoo. halaf...
  18. M

    Wafanyakazi wa Gazeti la Uhuru hawajalipwa mishahara tangu mwezi Julai

    Nachanganyikiwa hapa uhuru ni shirika la serikali au la Ccm ?? au kwa kuwa serikali inaongozwa na ccm kwa iyo automatic ni la serikali
  19. M

    The inevitable class struggle between the haves and the have nots...!

    Unachosema mkuu ni kweli kabisa, watanzania wengi ni kama wana mtindio wa ubongo, wabongo wengi wanafatilia mambo ya kijinga tu, mahaba, umbea, vitu visivyowahusu na mambo ya kijinga kijinga tu, na kundi hili ni kubwa sana ambalo linameza mpaka wasomi ambao nao elimu yao imeshindwa kuwasaidia...
Back
Top Bottom