Mimi nadhani kila mmoja ana haki ya kutumia nafasi yake ya kidemokrasia, umakini wa cdm ni jinsi ya kuyavumbua mapandikizi na siyo kuangalia mtu alikotokea. Katika familia moja baba aweza kuwa simba na mama yanga. Hii inatokana na tofauti ya kimtazamo
Majaji walioteuliwa ni vichwa. Namkubali mh chande namkubali mh massati. Hapo kati makamanda wa sheria mh Lissu na mwenzake. Viroba vya haki mikononi mwenu.
Mimi nadhani mkuu wa mkoa hakufanya vema, naona umuhimu wa kujifunza upo kwani Moshi inapanda hadhi na kuwa jiji na hivyo jiji la mfano hapo baadaye. Nadhani kama sio unazi wa kisiasa mkuu wa mkoa alipaswa kuhoji bajet na ikiwezekana kuipunguza. Idad ya wanamsafara na posho ya kila mmoja ndo...
Wale wanaompinga prof watakuwa watoto wa mafisadi, mm kama mzalendo nampa big up na watz tuko nyuma yako, wakikupindua nasi tutawapindua, peoples power
Haya yote yapatiwe ufumbuzi kwenye katiba, kama m2 anashindwa kuheshimu matakwa ya chama aachane nacho. Unapokubali kuwa chini ya uongozi lazima ukubali kuwa kuna wakati utatofautiana na wenzako ila ukiona umeshindwa basi jipime. Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni vijana wanaoingia kwenye siasa bila...
Nadhani yapaswa kutofautisha kati ya uwezo wa kujenga hoja na uwezo wa kuongoza. Dr slaa anavyo vyote, zito ni mjenga hoja na sio kiongozi na tena ana uchu na madaraka kama ndugu yake kafulila.lakini tungependa tuone anatoka salama kwenye kashfa ya rushwa na kama atapatikana basi tutajua kumbe...
Is the leadership vaccum caused by type of leaders,leadership system, or constitutional aspects?kenyans are stretching forward daily, what is the uchawi behind?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.