Search results

  1. Mbepo yamba

    FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

    Yanga safari hii hatokandwa nawaambia. Atakandikwa kabisa pusi huyu
  2. Mbepo yamba

    Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

    https://twitter.com/FCBJimmy_/status/1718918007039177082 Tunaomba highlights za unyama wa Haaland tujaji kwa haki
  3. Mbepo yamba

    Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

    Kumbe hakuwa best ila second best. Kama ni hivyo alishindaje ubora wa dunia ikiwa WC haikusaidia?
  4. Mbepo yamba

    Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

    Varane alishinda Champions League na World Cup. Modric alimflip Varane kwa performance yake WC ambapo alikuwa MVP. Champions League Ronaldo alifanya vizuri kumzidi Luca. Unajitoaje ufahamu kindezi hivi?
  5. Mbepo yamba

    Tumbaku Inalipa?

    Tumbaku inalipa iwapo utatumia zaidi mtaji wako kuliko pembejeo za mkopo vyamani. Zingatia tuu kufuata kanuni zote muhimu za kilimo hicho utatoboa.
  6. Mbepo yamba

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Counteroffensive imeanza usiku wa leo kwa mafanikio makubwa.
  7. Mbepo yamba

    Kumwacha wife faragha na jirani jamaa anaomba ushauri

    Pamoja na uchawa wako wa dpw ila nakupenda Faiza. Nikaribushe dm please tuyajenge
  8. Mbepo yamba

    Ruto anaiga staili ya Uongozi ya Shujaa Magufuli lakini anasahau Yeye kapata 51% ya Kura na Shujaa JPM alipata 84%

    Ninachokumbuka Magu awamu ya kwanza alipata chini ya 60%. Hiyo 84 ni baada ya kuuiba uchaguzi wa pili vima yake yule
  9. Mbepo yamba

    Punyeto imenimaliza

    Tangu 2005 nimeanza kujichukulia sheria mkononi mpaka leo. Nimeoa na watoto na nafurahia pia kujihudumia nikiwa mbali na wife. Usiisingizie nyeto kijana. Wewe una magonjwa yako tuu
  10. Mbepo yamba

    Dkt. Slaa na wenzie kuitisha mkutano wa wananchi Julai 22

    Faiza mpenzi jiepushe na aibu ndogo ndogo
  11. Mbepo yamba

    Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Johnthebaptist said
  12. Mbepo yamba

    Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Tatizo lako ni kurekodi? Nawe huna akili. Ni mpumbavu kama huyo mzee
  13. Mbepo yamba

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Tatizo lako umekaa kiuislamu na uarabu tuu. Umejaa ubaguzi mpaka kwenye unyayo
Back
Top Bottom