Search results

  1. K

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Poleni Mungu awasaidie,tupo pamoja.
  2. K

    walimu sasa wameua nchi.

    Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe...
  3. K

    Hili banda lipo wapi hapo Dares-salaam?

    Hii ni juu yenu wala 'kitimoto'sitaki kujua,ila kwa kuwasaidia hapo ukutani mwa hilo banda naona kama kuna namba za simu..
  4. K

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Tanzania sio nchi Masikini,tuna mlima Kilimanjaro unoingiza fedha nyingi za kigeni,madini pekee ya tanzanite,nk.Tatizo letu ni usimamizi mbovu,siasa chafu,uongozi usio bora,tamaa ya kujilimbikizia mali,kukosa uzalendo mfano mchanga wenye madini kusafirishwa nje,kwani wenye mamlaka hamuoni?zaidi...
  5. K

    Kipodozi gani bora kwa mwanamke?

    Wana Jf naomba mnjuze, mwanamke atumie atumie kipodozi gani kisicho na mathara? Na ambacho kitafanya ngozi iwe laini ila ibaki na rangi yake ya asili.
  6. K

    For men only , hivi mnapenda wanawake wanaojichubua au vaa fake hair ( wigs,weaving)

    Mimi sipendi hata kuwataza,wanatia kinyaa,harufu zao za asili zimepotea wananukaaa hovyoo
  7. K

    Nyoka aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii

    Kama ni kweli wamemuua,basi inabidi tuwapongeze!
  8. K

    Napenda wanawake walionizidi umri

    Bila shaka kijana inaonesha hupendi usumbufu.dogodogo wengi ni wasumbufu.ila kama hujaoa bora uache maana unaweza kuoa mwanamke kama mama yako
  9. K

    Kwa hali hii atawezashika ujauzito kweli?

    kwani zina chukuwa muda gani?kwa maelezo zaidi ni kwamba ukianzia hiyo tarehe 6,hesabu siku 12 mbele ambayoo itakuwa tarehe 17/12 kuanzia hapo ni siku nzuri hadi tar.24/12 kwa maelezo zaidi piga simu na.0684023898
  10. K

    Kwa hali hii atawezashika ujauzito kweli?

    Kwanza kabisa wanasema sindano 1 huzuia kupata mimba kama mwaka mmoja,kwahivyo itabidi awe mvumilivu kwa muda na pia atumie chai ya tangawizi ili kuwezesha siku zake zikae vizuri au aende hospital kusafishwa kizazi
  11. K

    Rais wa 2015 - Watanzania fungueni macho, masikio na akili zenu

    Nadhani rais ajaye itabidi awe Mkapa kupitia chama kingine cha siasa,maana vyama vilivyopo vimefilisika sera,vinginevyo bora jeshi litengeneze nchi kwanza.
  12. K

    Serikali ya CCM na mnara wa babeli (Tanzania)

    "Wanangu msijali ninakwenda safari,nikirudi nitawaletea pipi"Bado tunasubiri pipi(maisha bora kwa kila Mtz)tulizoahidiwa zitakuja lini?au baba hajarudi? Ila inaonekana amerudi na ametuletea pipi zenye ladha ya ndimu na ukwaju ambazo ni mfumuko wa bei,migomo,maandamano,vurugu za kidini,madai ya...
  13. K

    Mwakyembe, wewe jembe ukiona haya utayafanyia kazi nakuamini kabisa

    Hallo wanaJFs nawasalimu wote.Ninawapongeza kwa habari zenu mbalimbali ninazozisoma kila kwenye email yangu
Back
Top Bottom