Search results

  1. 64Bits

    Chakula cha mtoto 8 months

    Naomba msaada wa mawazo maana i am running out of ideas. Nina mtoto wa miezi 8 anayesumbua kula. Namjaribisha vitu tofauti tofauti ila ni vichache sana anavikubali. Nikisema nimemjaribisha ni kwamba nimempa chakula hicho kama 5 times siku tofauti tofauti kagoma. NB: mtoto nikimpa maziwa ya...
  2. 64Bits

    Wanaume wa hivi ni hovyo

    Leo naomba niwaongelee wanaume wenye tabia hii. Hivi inakuwaje mfano mkeo/partner unae lala nae kitanda kimoja anakuamsha usiku anakwambia mpenzi naumwa unamtazama unamwambia "pole". Kisha unageukia upande wa pili unalala mpaka asubuhi.Hujali hata kuuliza ni nini kinachomsibu mwenzio na...
  3. 64Bits

    Watoto wa kambo

    Habari zenu wana MMU, wakubwa shikamooni. Leo kuna jambo naombeni wenye uzoefu wanipe mawazo yao. Mimi ni mama wa kambo kwa mtoto wa kiume wa miaka 8. Nilimkuta baba yake amesha achana na mama yake kabla hatujaanza mahusiano. Jamani mtoto huyu amekuwa mtihani kwangu, hata nimfanyie nini...
  4. 64Bits

    Maziwa ya mtoto yanatoka machache, naombeni ushauri

    Habari zenu wote, wakubwa shkamooni. Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, na nimelazimika kufanya hivyo kwa tatizo linalonikabili. Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wiki moja iliyopita. Tatizo ni kwamba maziwa yangu yanatoka kidogo sana na sio mazito kwa hiyo mtoto hashibi...
Back
Top Bottom