Search results

  1. 64Bits

    Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Mmmh dada kapumzishe nafsi yako kwani umezaliwa nae?! Akwendreee na sperms zake chache, mfyuuuuu! Siku ukihitaji kuzaa utazaa kwa uwezo wa Mungu, utashangaa una ovarian sijui nini na unazaa. Huyo X mume wako haku deserve
  2. 64Bits

    Je, Unaiamini Condom?

    Wanadai wanaenda straight to the point hakuna kulamba mchuzi wowote
  3. 64Bits

    Ngabu Chronicles: Part I

    Vipi tena sweet potato mbona unaguna?!
  4. 64Bits

    Ngabu Chronicles: Part I

    Lolest! I need to grab me one...! Hahahaaa kwa kingredha hiki! Ila ka stori katamu
  5. 64Bits

    Yamenikuta mwanzenu, mke ametumia njia za uzazi ila hazifanyi kazi

    Wewe ni mbinafsi kufikiria mkeo kufunga kizazi. Kwa nini usifunge chako?! Duniani hatukai milele, ikitokea umetangulia (Mungu apishe mbali) mkeo hapaswi kuzaa tena? Uamuzi wa kufunga kizazi au la ni wa mkeo na sio wako, wewe una uamuzi juu ya kizazi chako. Nenda wakakutoe naniliu hamtazaa na...
  6. 64Bits

    Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Dah sipati picha wangekuonja kidogo japo ka kichwa...
  7. 64Bits

    Tunaomba ushauri: Miaka 37 ana Mchumba wa miaka 19

    Mshaurini kisha mwacheni. Akilizwa anaweza ku date tena wa miaka 19 akipenda, tatizo lipo wapi. Anaupenda u senior bachelor, sio kila mwanaume anaweza kuwa mume!
  8. 64Bits

    Mungu anisamehe ila kwa hili lazima nikufanyizie

    Kwa nini usifunge mwezi mzima ukatia nia ya k uomba msaada wa Mungu kwenye dhuluma hiyo badala yake unaenda kwa babu! Kufunga kuna faida kubwa kwenye moyo wako, hasira ulizonazo sasa zitaisha
  9. 64Bits

    Ana virusi vya UKIMWI, je ataweza kuolewa?

    Atapata, amtegemee Mungu maana mume mwema huletwa na Mungu. Na Mungu yu Mwema kwa watu wote na anatupenda wote. Kuna dating site HIV Dating, HIV Personal Ads, HIV Personals anaweza kutembelea akaona watu wakiwa wanadate kama kawaida itampa moyo. asijisikie mnyonge kwenye hili, inawezekana being...
  10. 64Bits

    My Birthday

    Happy birthday, Mungu akupe kila lililo na heri
  11. 64Bits

    Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

    Kaoe mtu wa kabila lako basi atakayekuelewa hajui kuwa romantic. Acha kumtesa mtoto wa watu miaka tisa yote hiyo kidume ndo wewe. Huyo mchumba wako itakuwa ana mwanaume mwingine anayembembeleza na anatembea nae sasa hawezi kutembea na wanaume wawili kwa mpigo ndo maana anatoa visingizio...
  12. 64Bits

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Pole kaka. Kwa asilimia kubwa nadhani wife atamtafuta jamaa au watatafutana maana inaonekana kuna unfinished business. Kuepuka hilo mpe demo wife la nini kitatokea akifanya hivyo ili umkumbushe umuhimu wa ndoa yake kama kasahau na atakachokikosa. Weka bayana kuwa ukihisi wanamawasiliano YOYOTE...
  13. 64Bits

    Huyu binti ni mrembo kwa kweli, ila hapa tu ndo anaponikoseshaga raha

    Kaka Mimi sio daktari ila nimewahi kusoma mahali kuwa harufu ya mdomo inasababishwa na bacteria kinywani wanaotokana na usafi hafifu wa kinywa kwa miaka mingi. Mpeleke kwa Dr wa meno/dentist
  14. 64Bits

    Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya

    Kwanza pole. Dunia ya leo wadada nao wanatega sehemu nyingi mpaka ajue muelekeo maana huja commit bado. Mwingine anawaza ajifunge kwako tu na miaka unaenda ukimtosa je? Wewe mumewe? Yawezekeana alikuwa anaandaa "backup". Hiari ni yako, kukaa au kusepa
  15. 64Bits

    Wanawake: Acheni kuwaiga waume zenu kutoka nje ya ndoa, mnavunja ndoa zenu wenyewe

    mkuu ili nisitoke nje ya mada ngoja nisijibu hoja hiyo. Pointi niliyokuwa naiweka wazi hapo ni kuwa, kuna wanawake hawaridhiki na waume zao, iwe ni kitandani au kwenye issue zingine, lakini haimaanishi ni ticket ya kutoka nje kwa mapungufu ya waume zao, mbona huwa wanang'ang'ana tu? Kwenye...
  16. 64Bits

    Wanawake: Acheni kuwaiga waume zenu kutoka nje ya ndoa, mnavunja ndoa zenu wenyewe

    "Angalia umekosea wapi mpaka mumeo kaona atoke nje ya ndoa". Kwa hiyo kila mwanaume anayetoka nje ya ndoa mkewe kakosea mahali? Kama wewe ni mweusi akamuona mwanamke mweupe akamtamani kwa hiyo "umekosea" ukajichubue ili asitoke? Hii dhana ya kuwa kila mwanaume akitoka nje ya ndoa mwanamke...
  17. 64Bits

    Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

    Mi sijambo mtumishi sijui wewe. Umenishtua kidogo, kumbe na wewe imo...?!
  18. 64Bits

    Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

    Mama weeeeeeee...!
Back
Top Bottom