Search results

  1. canaan

    Natafuta Kampuni ya Kutafiti na kuchimba Madini kwenye eneo langu

    Mkuu karibu sana, sisi ni kampuni ya kitanzania yenye ma Geologist wenye uzoefu wa shughuri hizo wa zaidi ya miaka kumi, unaweza kutupata kupitia namba hii +255766775255
  2. canaan

    Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi. b)...
  3. canaan

    Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

    Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi. b)...
  4. canaan

    kampuni mpya

    Wadau nimeanzisha kampuni yangu mpya inashughulika na consolidation and deconsolidation(import and export), parcaging, warehousing, door to door delivery na other logistics zinazo husiana na import and export. Mimi kama mwanzilishi nina plan yangu ya marketing, lakini nimeona nije kwenu...
  5. canaan

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    Jamani wacheni kutuponda wenye wenye GPA za 2.5 Mimi nina haiyo GPA na nimefanya kazi ya kuajiliwa miaka mitatu na nimekuwa the best employee zaidi ya hao wenye GPA za 4, na nikaingia kwenye kujiajili ndani ya miaka minne nika perfom na sasa nina kampuni tatu kubwa nimeajili wazu zaidi ya...
  6. canaan

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Hoja ya nane na ya tisa ni kama! " ccm wanapata penati dakika ya 89" tusubili tuone, mimi siwaamini hao mpaka hukumu iishe kusomwa
  7. canaan

    Mashine ya kunyanyua matiti yaingia nchini

    Makubwa haya! Napita tu mie
  8. canaan

    CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

    Hamtakiwi kudharau ushauri! Fanyieni kazi taarifa hizo
  9. canaan

    Wapi Sanctus Mtsimbe!?

    Jamani TPN wamesha anza mchakato wa kusanya michango kwa ajili ya waathirika na leo Boxing day wanatarajia kuwasilisha awamu ya kwanza ya michango hiyo kwa walengwa, muwe na subira na si vizuri kumuhusisha mtu na taasisi, hamumtendei haki bwa Mtsimbe!
  10. canaan

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Nimesikia kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Jakaya kikwete ameteuwa mabalozi wapya watakaowakilisha Tanzania katika Nchi kadhaa majina ninayo machache Philip Marmo ambaye ameenda Uchina Batilda Burhani Ambaye ameenda Kenya Mwenye orodha kamili atupe lakini inaonyesha...
  11. canaan

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Sisi bado tunasubiri,kabla ya kutoa maoni yetu
  12. canaan

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Msiwe na wasi wasi angalau mtakuwepo kwenye kumi bora, nafasi ya nane si haba
  13. canaan

    Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

    Nia ya kuanzisha topic hii si kukashifu dini yoyote, nikuonyesha mshikamano tulionao ndani ya CHADEMA, hivyo mnaotaka kualibu topic hii kwa kukashifu dini ya watu naomba muache
  14. canaan

    Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

    Mimi sijasema Mbowe anakosa! Nimesema amefanya vizuri hasa kwasababu chama chake kilichafuliwa na siasa chafu za udini,soma vizuri hoja kabla ya kukurupuka kujbu
  15. canaan

    Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

    Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
  16. canaan

    Marekani yapata PIGO lingine

    Hapo hasara ni kwa wana familia tu, makomandoo wangeni watafundishwa
  17. canaan

    Nipo Ubungo stendi narudi kijijini hali ya mgao wa umeme wa Ngeleja imenishinda!

    Nyie watu wa JF acheni kuwakejeri watu wa vijijini na wamjini wenye hali ya chini, wewe unasema unaishi kwenye mabanda ya uwani Tandale huku unachati kwenye internate
  18. canaan

    Kikao cha kukutana na Kikwete Pretoria, chaahairishwa

    Wakati nchi ikiwa gizani, na bajeti ya wizara ya nishati na madini ikikwama bungeni, Vasco dagama ameondoka leo kuelekea Africa kusini na atapata nafasi ya kuvinjari kisiwa maarufu alichofungwa mandela
Back
Top Bottom