Search results

  1. Msherwa

    Toa mfano mmoja kupitia picha hii..

  2. Msherwa

    Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

    Labda Kuna Upande Unachukiwa Kwa Kasi! So watu kila sababu inawafanya kuzidi kuwachukia tu! Hii ngoma imevuma mno ...
  3. Msherwa

    Rubani wa Kitanzania anashikiliwa na waasi wa Sudan ya Kusin

    Tuwaombe Mechi Ya Kirafiki ...!!!
  4. Msherwa

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    :(:(:(:(:(:(:(:( :eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek: :D:D:D:D:D:D:D:D :p:p:p:p:p:p:p:p
  5. Msherwa

    Rais Magufuli, Je huoni na wewe Utumbuliwe?

    Mganga? Kwenye masuala yasiyo serious Mganga asijigange tu Ila kwa masuala yenye maslahi kwa taifa, Tubadilisheni kanuni hizi ni misemo ya kale KATIBA MPYA? "Hapana, Hilo ni wazo la Upinzani!"
  6. Msherwa

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Chadema wapi imetajwa kwenye mada? Habari za Lowassa ni za mwaka gani? Au umezoea kuzungumzia tu mabaki ya chakula cha jana tumboni hadi unasahau leo nini utakula? ACHENI MAIGIZO!
  7. Msherwa

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tumpe muda 3 years is nothing compared to our anger! anaweza badilika. Hasa jua likiacha kutokea mashariki!
  8. Msherwa

    Hahahaaa

    Mchoyo hana rafiki! Muulize hata faru nani yule alikuwa dume peke yake kuleeeee Kilichompata?
  9. Msherwa

    Suala la TANESCO: Magufuli na Serikali yake wanafiki sana

    Enzi za zidumu fikra za mwenyekiti zilikuwa njema sana JAPO KWA SASA HAZINA MASHIKO Enzi za kudhani kiongozi ni alien na sio human being anayeweza kukosea ZILISHATUMBULIWA KITAMBO Kadri unavyotaka watu wakupigie makofi ndivyo wanavyozidi KUHAKIKI sababu ya makofi Mabadiliko yakianzia kwenye...
  10. Msherwa

    Je Papa anakufuru?

    Wastage of time Who is a Pope btw? Is he a human being or an alien? If he is a man, He is a sinner! Thats default settings!
  11. Msherwa

    Rais Mstaafu Ali Hasan Mwinyi, fedha za Wastaafu wa EAC zilitumikaje?

    Haya Makaburi haya ....! Endeleeni kuyafukua Ila msitegemee kukutana na harufu inayofanana hata robo na pafyum Kaburi wake uvundo!!
  12. Msherwa

    TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    Anatumbua pesa za .... na familia yake Vipi kwani ulikuwa na gawio lako pale? Ogopa sana mtu akilewa madaraka Muulize Faru nani sijui yule Alikuwa dume peke yake Akafa mapema kutokana na kuoverDo!
  13. Msherwa

    Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Ntakutukana sio muda HICHO NDICHO TULICHOWATUMA? Huu ni utapeli Sorry mkuu kama imekuwa personal But it is so shameful. Watu wanawapa kura mjenge strategy za nchi Nyie mnajenga za Chama Mods Matusi Yaruhusiwe?
  14. Msherwa

    Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Unamaanisha CCM ni chama mama kwa sababu kinaweza kutengeneza upepo huo wa kuwabeba wapinzani? Kweli mwizi hana sababu Ni msemo Tu Nyie Watu hamtaki kukosolewa wakati nyie wenyewe ni master wa kukosoa vitu visivyo na tija hata kwa taifa. Sasa upinzani wao ni ChamaDola ? Usiukosoe upinzani...
  15. Msherwa

    Mbowe: Rais Magufuli anakumbatia rushwa kuhusu tuhuma za wabunge CCM kuhongwa milioni 10

    Kokorikooooooooooooo!!! Hapa sijasema kitu!!! Asanteni kwa kuja! Kuna Mambo Mengine Utahira unahitajika ili kuyasolve Mleta mada ni taahira Na kwa utaahira huu ...... Hivi Milembe ipo Dodoma? Nipo na wanakijiji hapa tumesubscribe thread na tunasubiri majibu! Pliz yasichelewe sana...
  16. Msherwa

    Kipaumbele Kikubwa zaidi, Kuliko Vipaumbele ulivyoviainisha mwaka 2017 Ni Hiki.!

    Mkuu hongera kwa kujaribu kuweka illusion zako hapo Lakini Je, Una ushahidi sahili wa mtu aliyepona ukimwi? (USHAHIDI SAHILI!!) Je kuna nabii Tanzania anaweza kushusha mana watu wa Dodoma kwenye ukame wakala Unaweza kuihusisha kanuni ya dini za sasa na maendeleo yetu? (mfano kutoa mimba?)...
  17. Msherwa

    Leo Watanzania wengi walihudhuria kanisani kwa TB Joshua

    SUMU YA KWANZA AFRIKA? DINIIII!! WAJINGA NDIO ..... cc FaizaFoxy
  18. Msherwa

    Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    "Mchoyo hana Rafiki" Mwalimu wangu wa vidudu na methali zake Hazipo applicable sana, Japo this time around zinafanya wonders! Ukizoea kufukuza, Subiri kufukuzwa! Maana hata upepo humfukuza mfukuzaji nyuma ya mgongo wake!
  19. Msherwa

    Nini madhara ya kupanda kwa gharama za umeme kwa Taifa?

    Hakuna Madhara kama wapandishaji wanakijua wanachokifanya! Otherwise, Hesabu hazidanganyi Kama Mwenye nyumba anakarabati nyumba kabla ya kupandisha kodi, Nani atalaumu? Kuna Madhara? Kinyume cha hapo, HAKUNA MUUJIZA! Tuendelee kutumbuana hata siku zisizo za kazi Labda ndo kazi yetu!
  20. Msherwa

    Mwenye lolote kuhusu mlima Kilimanjaro, tupia hapa!

    1. Upo Kenya! 2. Ulikuwa maarufu zamani 3. Kwa sababu upo kaskazini ...... Wengine ongezeeni! But Mlima huu ni hadhina kubwa na ya thamani. hauhitaji mitaji mikubwa sana ili kuleta faida Kama "jamaa yule" anapenda biashara kiasi kile, FURSA HII Tatizo upo Kaskazini! Sijui Tuuhamishie...
Back
Top Bottom