Search results

  1. Kamende

    Nimekata tamaa na CHADEMA!

    nenda mwanakwenda. wasalimie uendako. Waambier kwamba huku umewaacha wahaCHADEMA wavumilivu na wang'ang'anizi wakubwa wa hoja za maendeleo. waambie huku kuna wanaCHADEMA ambao hata wakatishwe tamaa vipi bado wanasonga mbele. Waambie pia kwamba huku umeaacha watu wanaoamini kwamba walke...
  2. Kamende

    CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

    Songoro dhima ya utumishi pale Lumumba inasema "condom haichagui mrembo" kwa hiyo fanya kazi yako wanaokushangaa shauri yao.
  3. Kamende

    CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

    Songoro dhima ya utumishi pale Lumumba inasema "condom haichagui mrembo" kwa hiyo fanya kazi yako wanaokushangaa shauri yao.
  4. Kamende

    Ikatokea sensa ya wanaume malaya utakua wangapi!

    Mkuu itakuwa ngumu sana watu kutiririka kwenye hii thread. Sababu ni pamoja na kutokuwa na sifa muhimu ya utafiti (upimikaji na urahisi) ingekuwa vema ukaambatanisha dodoso ambalo lingemtaka kila msomaji ajibu maswali marahisi kwamba alishatoka nje ya ndoa mara ngapi? Yeye ana umri gani, alioa...
  5. Kamende

    Enyi Wanyiramba Mbona mnatutesa?

    Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini. Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia. Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu. Sijui hawa watu kwa nini...
  6. Kamende

    Mwigulu, Acha proganda za kitoto! Huna hadhi ya kuwa Kiongozi

    Hamjawahi kujua kuwa Mwigulu ana sifa ya ziada inayomfanya aaminiwe sana na CCM kwa kipindi hiki: 1. Huyu jamaa ni mnafiki wa kiwango cha juu. Ni binadamu anayeweza kufanya jambo analojua kuwa ni bovu na kujinyima kuona ubovu wake. 2. Ana tamaa kubwa ya kuonekana maarufu kwa kuwa karibu na...
  7. Kamende

    Simbachawene live on Star Tv: Gesi itatunufaishaje?

    Kwa kuwa mikataba ya ujenzi ni siri sana na kwa kuwa tuna tetesi kwamba bei ambao wakandarasi wametoa kwa ajili ya ujenzi wa bomba na uchimbaji wa gesi ni kubwa kupita kiasi kwa lengo la kuwanufaisha wawekezaki na viongozi waliosaini mkataba. Waziri anasemaje kuhusu hili? Je wanancho wana haki...
  8. Kamende

    CHADEMA - Mlima Mrefu Wenye Watu Wengi

    Amani iwe nanyi wanajamvi! Nimelazimika kuja na hoja yenye lengo la kuwasaidia wale wote wanaoona wanachama wa CHADEMA wakiwa kimya licha ya kusikia na kushuhudia maneno, vurugu, rafu na propaganda kadhaa zenye lengo la kukidhoofisha chama hicho. Nipende kuwajuza wote wenye kutekeleza jukumu...
  9. Kamende

    SAUTI ya ALIYEBAKWA!

    Hawa watoto wa kike wanaobakwa kama ilivyo kwa wanafunzi wanaopigwa mimba, wanakutwa na maswahibu hayo kwa kiherehere chao"
  10. Kamende

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Mkuu Isambe nimepita kwenye hii thread mara nyingi nikisubiri mtu anayekaribia kusema ukweli kuhusu safari ya RO kumtembelea Magufuli sikuona. Ghafla umegusia kidogo kuhusu sababu za safari hiyo. Ninajua wengi humu jamvini hawajawahi kumweka Magufuli kwenye orodha ya wenye fedha nyingi na...
  11. Kamende

    Gari za M4C zinaendeshwa very rough!

    Sasa MCHAKA MCHAKA, wewe unaipenda sana CHADEMA na ni chama chako, hoja ya CCM ya kwamba tumepewa magari ya wajerumani ambayo ni ya uongo mkubwa imekuwaje unaishadadia? Hiyo ni hoja ya kukidhalilisha chama. Sasa wewe hujui au unajua lakini unatekeleza mpango wa Nepi wa kukidhalilisha chama...
  12. Kamende

    Sera za CHADEMA

    Go to www.chadema.or.tz
  13. Kamende

    Mbunge wa CHADEMA atimuliwa nyumba za TPDC

    Wakuu! Je mwajua kuwa majengo haya ya TPDC ndiko pia alikokuwa akiishi mtoto wa mkuu wa kaya (JK) anayeitwa Miraji? Je mwajua pia kwamba hapo ndipo alipokuwa akiishi mke wa Director General wa TPDC? Ninaoamba kumuuliza ndugu yetu Makupa; Je ni kwa nini hajasema lolote kwa hawa wapangaji...
  14. Kamende

    UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800

    Wakuu tulikaa Kimya kwa muda baada ya kuona kwamba Nape ameamua kufanya propaganda kwenye reality. Sasa tunashukuru kwamba wananchi wenyewe wameona ukweli. Kwa taarifa yenu CCM katika Kikao chake cha tathmini walikiri kwamba umaarufu wa CHADEMA umepanda kwa kasi sana na ya kwamba Kurwa zoo...
  15. Kamende

    TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

    Wakuu Mimi binafsi naunga mkono TBC kutangaza vita na CHADEMA. Nilipomtangaza Mwigulu Kama shujaa wa kufoster mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini sikueleweka. Lakini imekuja kuwa bayana kwamba Mwigulu ni msaada makubwa wa growth ya CHADEMA. Leo nasubiri kwa hamu kubwa TBC waanze vita rasmi...
  16. Kamende

    Nchi hii haitawaliki tena!

    Kuna ugonjwa unaitwa Malale unaenezwa na inzi aitwaye Mbung'o. uking'antwa na huyu inzi unapata usingizi kama wa pono.
  17. Kamende

    Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

    Akili yako imeingiliwa na kile ilichokalia. Hebu rudi kawaida kwanza. Watanzania hawataki akili yenye mawazo ya kizushi, kizandikikichochezi, kichonganishi na mufilisi kama haya.
  18. Kamende

    Msaada Kufungua Kesi ya Katiba

    Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17. Fomu hii kwa mujibu wa Election regulation 2010 ambayo imetamkwa katika kifungu cha 74 ina lengo la kumsaidia mpiga kura ambaye...
  19. Kamende

    Naomba Msaada Kufungua Kesi ya Katiba

    Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17. Fomu hii kwa mujibu wa Election regulation 2010 ambayo imetamkwa katika kifungu cha 74 ina lengo la kumsaidia mpiga kura ambaye...
  20. Kamende

    Nakwenda Same kuchukua Jimbo-Mama Kilango Ameshindwa kusukuma Maendeleo

    Kama uko serios. Wasiliana na viongozi wa Chadema wa mkoa wa Kilimanjaro. Nichukue nafasi hii kukuhakikishia kwamba jimbo liko wazi. CCM Same ni wepesi mno. Anna Kilango ndo mweupe kabisaaaa! Njoo tukuonyeshe an obvious path to victory over Same East.
Back
Top Bottom