Search results

  1. K

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    Jamani haiwezekni nchimoja ichukue maji yote halafu wananchi wa nchi jirani wasipatemaji hivyo wakitaka maji waende kununua njeyanchi haiwezekeni hata ukimuuliza mtoto mdogo nilazima maji tugwane katikati w0te tunywemaji kwani wamewekwa na m/mungu hayakuwekwa na wamalawi unanisoma mtoa mada?.
  2. K

    Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

    Ishakua ngum kwa CHADEMA Kuingia ikulu huku kukiwa tayari kuna makundi kuna kampeni ya ukanda na udini nikazi kubw sana CHDEMA kuvivuka vikwazo hivyo
  3. K

    Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election

    Chama cha democrasia na maendeleo kimekua na nguvu kubwa kuanzia 2010 mpaka hivi sasa lakini ghafla kimeanza kupoteza mwelekeo baada ya kuanza mitafaruku ya hapa na pale ndani ya chama na kusababisha makundi mapema kabisa kabla hata hakijaingia ikulu baada ya viongozi wa chama kufukuza baadhi ya...
  4. K

    PICHA: CHADEMA vs CCM - Hitimisho la mkutano wa kampeni Daraja II

    CCM bado hawajapata mpinzani CHAADEMA walitaka kuletaupinzani lakini wakajichanganya baada ya kuonyesha ukanda na udini
  5. K

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Jamani wana JF habari za mda huu, Naskitika sana kuona mmoja wawaasisi wa taifa hili la Tanzania MOHAMMED IQBAL DAR kasahaulika kabisa katika vitabu vya historia ya TANZANIA kwani vinasema kua neno 'tanzania' limetokana na kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar tu bila kutaja ninani aliyebuni jina...
  6. K

    Waraka wa wazi juu ya Mahusiano ya Wakristo na Waislam kujenga amani ...

    Assalaam a'laikum ,Jamani waislaam wenzangu wote tutulie hatakamaa tunachokozwa tuwaachie Allah {SWT}hakika yeye ndomwenyekuhukum kwani hawa makafiri chokochoko nauchokozi hawajauanza leo kwani hata enzi za nabiiMuhammad {S.A.W}Mpaka kumfukuza Makka na kwenda Madina na pia tujaribu kuwavumilia...
  7. K

    Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    Acha kabisa uchochezi.Kumbuka ukimchokoza mtu ina maana unamtaka ajibu na kumchokoza mtu sio mpaka uende mwenyewe waweza kumtuma mtu na sio lazima umtume mtumzima welaweza pia kumtuma hata mtoto alioanza mwezi huu kutembea.Kuhusu serikali:hivi wewe,una loo yanamnagani kuilaum serikali?hivi...
  8. K

    Viongozi wetu na kushangaa mahekalu Oman

    Lazima washangae kwani hukuhakuna
Back
Top Bottom