Search results

  1. N

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    nashukuru sana mkuu the hammer m cjawah kufanyiwa x-ray ila mazingira nayoish ukwel yana vumbi sana, inawezekana hii ikawa ndo chanzo kikubwa. Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.
  2. N

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    nashukuru kwa ushauri mzuri mkuu, mi nilikua sielew kama ina madhara au la. Nitafuata ushauri wako, nashukuru sana kwa kunifungua macho.
  3. N

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    hbr za jion wana jf, naombeni ushauri kuhusu hii dawa mimi huwa nikiugua kikohozi inachukua hata zaidi ya miez 2 kupona licha ya kwenda hospital na kupatiwa dawa. Mara nying nikiona kama sipati nafuu kutokana na hzo dozi naamua kuchukua dawa nilioizoea ya kuchanganya asali na yai bichi la...
  4. N

    Mimba...!!!!

    huwa inaweza kutokea pia kwan siku 3 baada ya bleed plus zile siku anazobleed km n 4 au 5 au 6 unaweza kukuta siku zmefka 9 au zaid so bado anaweza kushka ujauzito.
  5. N

    naombeni ushauri wataalam kuhusu ujauzito

    nashukurun sana kwa ushaur wenu maana ilikua inanitatiza kua hili jambo limekaaje. Mungu awabariki.
  6. N

    naombeni ushauri wataalam kuhusu ujauzito

    Habari zenu wakuu mimi n mama mtoto mtarajiwa, nina takriban miez 5 sasa. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kufanya/kutokufanya tendo la ndoa, na pia katika kipind hiki cha ujauzito mwisho wa kufanya tendo hili hadi miez mingap! Nijuzen tafadhali. Thank you in advance.
  7. N

    PAID INTERNSHIP OPPORTUNITY:WORLD VISION ( ARUSHA residents only):

    mwenyewe nimetuma mara kama 4 hivi lakini haiendi. please kama inawezekana muangalie hizo adress zenu vizuri.
  8. N

    msaada wa kutoka damu

    mpe pole sana huyo dada yako japo mimi binafsi nina hilo tatizo tangu kuzaliwa kwangu hadi sasa nina miaka 25, nimewah kwenda kwa dokta hawa wa kawaida mwaka jana skasema ni ugonjwa wa kurith na hauna dawa, cha msingi nijitahidi ikitoka niizue ili isitoke nyingi sana. na pia mara nyingi inatoka...
  9. N

    Nimepokea mesej kutoka kwenye kampuni siijui.

    Hiyo ni kampuni ya gnld international- inasambaza product zinaoendana na zile za aloe vera, mimi walishanipigia nikafuatilia hadi mwisho ila sikutaka kujiunga. Hamna utapeli wowote ila tu watakueleza kila kitu ukiamua kujiunga poa, usipotaka hawakulazimishi. All the best uamuzi ni wa kwako.
  10. N

    PAID INTERNSHIP OPPORTUNITY:WORLD VISION ( ARUSHA residents only):

    thank you for information. ngoja nitume kwani nimesota sana kitaa.
  11. N

    Kulegea kwa misuli ya uke (Vaginal prolapse)

    du noma, ngoja nami nijaribu mazoezi maana nahisi cmtendei haki laaziz wangu kwan anapenda nibane nami siwezi kbs kubana.
  12. N

    So much pain for denials...nimetendwa

    Pole sana kaka, pengne ulikuwa unamsumbua na alvompata anaemtulza nafsi bs akatulia. Cha msing usimg'ang'anie sana kwn hujui km ukimuoa what next!! Anaweza akakufanya ukaumia zaidi na kujuta kwa sana. We msahau na usonge mbele kijana.
  13. N

    Mchumba ninayekaribia kumuoa simuelewi

    Pole sana kaka, ila kiukwel km anapenda tu movies na kuchat una hasara, mwanamke huyo hajapata malez mazur kwani anaonekana kadekezwa sana. Kama hatobdlika ujue hyo nyumb kutakuwa na misundertanding kila iitwapo leo. Ni bora mkawekana sawa kbs kabla hamjaingia kwny ndoa coz mkshaingia kutoka n...
  14. N

    JF okoa Jahazi hili

    We kasome kwnza kijana, bdo una safar ndefu, ukchanganya mapenz na shule utafel mojawapo. Ushaur wang malza kwanza kusoma ndo uangalie upand mwngne wa mapenz.
  15. N

    Mambo ya Guest Houses

    M mgen napta tu jaman
  16. N

    Mapenzi yalivonitia umasikini.

    Du pole sana kaka, naamin kuna k2 umejifunza na hutorudia kosa kama hilo. Pia muombe Mungu akusamehe kwa abortion ulyofanya kwn hyo inaweza kuwa chanzo cha kuandamwa na mikosi ktk maisha. Nakutakia mema ktk malez ya mtoto!
  17. N

    Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

    Napita tu jaman, sijui chochote, ntarudi bdae kuangalia majibu
  18. N

    Kijana Mwenzenu Nishaurini Tafadhari!!

    Upo nchi gan? Kwa hela yako uliyonayo waweza kufanya biashara endapo utakuwa tu unanunua hyo bidhaa then uuze sehemu ambyo huhitaji kuwa na fremu, coz ukisema ukodi frame garama ztakuwa kubwa. All the best, kaz n kaz knachohtajika ni kuwa na malengo.
Back
Top Bottom