Search results

  1. Goliath mfalamagoha

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    MAHAKAMA IMEANZA SEHEMU YA 1. Jaji naingia Mahakamani Kesi namba 16/2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa WS Robert Kidando anatambulisha Jopo la Mawakili wa Serikali Pius Hilla Abdallah Chavula Jenitreza Kitali Nassoro Katuga Esther Martin...
  2. Goliath mfalamagoha

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

    Jaji ameingia Mahakamani Muda huu Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa Mahakamani Wakili wa Serikali Robert Kidando anatambulisha Jopo la Mawakili wa Serikali Jenitreza Kitali Abdallah Chavula Pius Hilla Nassoro Katuga...
  3. Goliath mfalamagoha

    Polisi jijini Dar wamjeruhi mtuhumiwa, yupo mahututi ICU

    Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu.... Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa...
  4. Goliath mfalamagoha

    Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    ==================== Jaji ameingia.. Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire na Wenzie imetajwa Jaji: Wakili wa Mshtakiwa wa kwanza Mtobesya: Shahidi Unakumbuka Ushawahi Kuandika Maelezo Polisi Shahidi: Nakumbuka Mtobesya: Unakumbuka Uliyasoma Maelezo Yako na Ukahakikisha Kwamba ni...
  5. Goliath mfalamagoha

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    PART 4 February 09, 2021 Sabaya na genge lake walienda Arusha kumvamia Ally Asaad Ajirin, anayemiliki duka la mapazia la Shaahidi Stores lililopo Barabara ya Nyamwezi jirani na Soko Kuu. Wakamwambia "tuna taarifa unafanya biashara ya kubadili pesa za kigeni kinyume cha sheria" Asaad akakataa...
  6. Goliath mfalamagoha

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    PART 3 Mmoja wa vijana hao Simon Mwacha alivunjwa mkono karibu na joint. Hadi sasa amefanyiwa upasuaji mara 3 lakini hajapona. Wiki iliyopita viongozi wa BAVICHA walimtembelea na kumkuta amewekewa POP jingine. Huu ni mwezi wa 7 tangu avunjwe na Sabaya na bado hajapona. Kutumia number za UN...
  7. Goliath mfalamagoha

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    PART 2 Hakuishia hapo akavamia hoteli ya kitalii ya Weruweru inayomilikiwa na Cathbert. Siku hiyo Nandy alikua na show Arusha, akalala Weruweru. Usiku saa 9 Sabaya akavamia akiwa na kikosi cha watu 6 wenye silaha. Akalazimisha aoneshwe chumba cha Nandy, mhudumu aliyekua mapokezi akakataa...
  8. Goliath mfalamagoha

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    PART 1 Mama ametupa zawadi nzuri ya Eid. Huu ni ushahidi kuwa Sabaya ameumiza watu wengi ndio maana maamuzi ya kumfurusha yamepokelewa kwa furaha kubwa na nchi nzima. Jambo la muhimu zaidi mama hajaishia kumfurusha tu bali ameagiza ufanyike uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili ili afikishwe...
  9. Goliath mfalamagoha

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan hawa pichani ni waliokuwa walinzi wa Freeman Mbowe. Kuna Khalifa Hassan, Adam Kasekwa (ADAMO) na Mohamed Lingwenya.. Freeman Mbowe aliongeza ulinzi wa kutembea nao baada ya kuvamiwa Dodoma na kuvunjwa mguu wake wa kulia. Wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu...
  10. Goliath mfalamagoha

    Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  11. Goliath mfalamagoha

    Pokea ujumbe ewe wakala

    Dear wakala wa chama, Salamu sana. Natumaini u mzima na umejiandaa vema kusimamia maamuzi yetu. Najua una 'mchecheto' hivi, ile hali ambayo mtu hujisikia anapokuwa anatarajia kufunga ndoa na mpenziwe anayempenda sana. Presha si presha, kiwewe si kiwewe. Kwa ujumla utulivu unakuwa mdogo, kadri...
  12. Goliath mfalamagoha

    Uchaguzi 2020 CCM ni waoga na Uchaguzi

    Nipende kuchukua fursa hii kuwapongeza Vijana wenzangu mnaomkubali Tundu Lissu kwani mpo vizuri kiakili, kifikra na mna nia njema na maono makubwa kwenye nchi hii. Point to note: Zingatia hii aanda kadi yako ya kupiga kura kama unavyolithamini Tumbo wakati wa kula. Tarehe 28.10.2020 umpigie...
  13. Goliath mfalamagoha

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    CHELSEA 4-0 CRYSTAL PALACE, Premier League: Post-match reaction By Mr blue Siku nzuri kwa Ben Chilwell pamoja na Kurt Zouma bila kumsahau Jorge Luiz Frello Filho pamoja na Jeshi zima la Chelsea fc. Nianze kwa kuwakumbusha wapinzani wetu kuwa, Ben Chillwell ndo kwanza anaumri wa miaka 23. Yani...
  14. Goliath mfalamagoha

    Uchaguzi 2020 CCM, Polisi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi acheni kampeni ziendelee

    *HUKUMU YA TUME DHIDI YA TUNDU LISSU* Ukisoma taarifa ya Tume kuhusu Kumsimamisha Tundu Lissu kufanya kampeni SIKU SABA (7) na ukitafakari kwa kina kuhusu Mwenendo na Kanuni za Utoaji Haki; Unajiuliza kama kweli Tume ya Uchaguzi na Kamati hiyo ya Maadili, ina Wasomi wa Sheria ndani yake...
  15. Goliath mfalamagoha

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    CHELSEA 6-0 BARNSLEY, League Cup: Post-match reaction Uwekezaji wa £89M ilikumnasa Kai Lukas Havertz umeanza kuzaa matunda. Kijana ameanza ku adapt baada ya kutupia brilliant hat-trick nakuiwezesha Chelsea FC kufuzu katika Carabao Cup round ya nne. Tammy Abraham alikuwa wa moto [emoji91]...
  16. Goliath mfalamagoha

    Tangazo la mtoto kupotea

    Mtoto Laulita Mfalamagoha mwenye umri wa miaka 15 kidato cha kwanza shule ya sekondari Kurasini B mkazi wa Yombo Dovya amepotea tokea tarehe 29 /8/2020 siku ya jumamosi asubuhi ambapo aliaga anaelekea shuleni kwa yeyote atakae muona awasiliane kwa namba 0652312116 /0657316514 / 0743590292/...
  17. Goliath mfalamagoha

    Ukamataji huu wa Jeshi la Polisi unakiuka taratibu na haki za binadamu. Lazima ukemewe

    Jeshi la Polisi na mwenendo wa Ukamataji Kwa kutambua uhitaji wa ulinzi kwa Taifa nchi yetu iliunda Jeshi la Polisi likiwa chini ya sheria ya Jeshi la Polisi na huduma saidizi sura ya 322. Kwa muktadha huo Jeshi la Polisi likapewa wajibu ambao umeainishwa katika kifungu namba 5 (1)...
  18. Goliath mfalamagoha

    Mtekwaji, usikubali kutekwa bila kuacha taharuki, fanya vurugu, ogopa gari usiogope bunduki kimbia

    MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA 1.Watu wanaokuja Kututeka mara Nyingi,huwa tunawaona hawapo katika utaratibu Rasmi wa Ukamataji kama Wanavyofanya Jeshi la polisi. >Hawavai Uniforms >huja na magari ya kiraia >hawaonyeshi Vitambulisho >hutumia Nguvu badala ya Mashauriano au Maelewano...
  19. Goliath mfalamagoha

    Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    WANATUTAKA NINI? Taarifa mbaya mpya ni kutekwa kwa kijana, mtumishi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Tito Magoti. Kwamba watu wasiojulikana, kama kawaida yao, wamemteka na kutokomea naye. Hawa watu hawataki Watanzania washerekee Krismasi na Mwaka Mpya kwa amani. Wanataka tuishi kwa...
  20. Goliath mfalamagoha

    Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Aaaaahaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom