Search results

  1. Mnyampaa Ebrahim

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba kujua dawa ya kuondoa gesi tumboni
  2. Mnyampaa Ebrahim

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nasumbuliwa sana na kichefuchefu..dawa yake jeee...mi ni me sio ke
  3. Mnyampaa Ebrahim

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr. Tunashukuru sana kwa msaada wako hapa jamvini kiukwel inatusaidia watu wengi sana..Sorry bawasiri ikiwasha sana kuna dawa ya kuweza kupaka au kufanya isiwashe?Na nini matibabu haswa ya kuondoa kabisa bawasiri au hemmoroids pls
  4. Mnyampaa Ebrahim

    Tusaidiane kuitafuta hii dawa

    Umeeleweka kiongozi!
  5. Mnyampaa Ebrahim

    Tusaidiane kuitafuta hii dawa

    Safi kijana endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia binaadam wenzio
  6. Mnyampaa Ebrahim

    Muslim Hassanali, arudisha fomu ya Ubunge Ilala, Makungu ajiunga na CHADEMA

    Kwani Ilala hakuna waswahili???Yule Zungu Huyu mdosi akale tambuu Bombay!!
  7. Mnyampaa Ebrahim

    Reasons you should start eating cucumber

    Nzuri hiyo kaka,tutaanza kwa kuyatafuna kwa kasi!!!
  8. Mnyampaa Ebrahim

    Kupata choo Mara kwa mara

    Wewe uko poa kabisa kaka..
  9. Mnyampaa Ebrahim

    Madonda kooni!

    Obama hapo unatibu au ndio unaua kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
  10. Mnyampaa Ebrahim

    Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

    Thanks for ur ushauri mzuri,definitely i do care and luv her so much!!!!!Suala la ndoa ndio lipo njiani inshaallah!!!!
  11. Mnyampaa Ebrahim

    Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

    Thanks mdadaa kwa ushauri wako mzuuri!!!Halafu sisi kwetu tuna kawaida ya kuwa na matwins!!!
  12. Mnyampaa Ebrahim

    Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

    Nina mchumba wangu mjamzito wa miezi mitano anasumbuliwa sana na kiuno sijui chanzo nn coz hata kazi ngumu hafanyi yupo tu nyumbani, any msaada please?
  13. Mnyampaa Ebrahim

    Serikali kuingilia biashara ya usafirishaji kutaka kuboresha huduma ya treni sio haki

    Mwakyembe safi kwa kweli tumechoka na usafiri wa daladala usiozingatia haki za binadamu,foleni,mbanano,wezi wa mifukoni,matusi,kejeli na vitimbi,ubabe wa makonda.Big up Mh. Mwakywmbe!!!!!
  14. Mnyampaa Ebrahim

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    If that's its true then its gud thing keep it up!Mtawasaidia watanzania wengi wenye matatizo ya jinsi ya kupata ajira!
Back
Top Bottom