Search results

  1. M

    Nauliza hivi, hawa watu ni ndugu?

    Mabingwa wa kujenga network CCM ni Membe na Lowasa.Watu wa kuuma na kupulizia.Na wakija kupambana hawa 2015 basi moto utawaka.
  2. M

    Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

    Hawezi kwenda chadema.Mngesema CCJ ikipata usajili wa kudumu,walau mngeni convince
  3. M

    Magufuli aponda dhana ya polisi jamii dhidi ya majambazi : Waziri Masha na Mwema mpo!

    Mkamap;soma post yangu namba 8 kwanza.Hiyo uliyo quote ilikuwa ni kuchangamsha baraza,japo katika siasa lolote linaweza kutokea. Lakini hata hivyo kwa demokrasia changa kama yetu,bado Magufuli anahitaji kujengwa/kujijenga zaidi ili aje aukwae Urais.Anahitaji apewe nafasi nyingine yakumng'arisha...
  4. M

    Wabunge wapewe mazoezi ya kupunguza vitambi

    Tanzania/Waafrika wengi;moja ya dalili za mafanikio ni mtu kuwa na kitambi,overweight or even obese.Utasikia 'mambo yake safi siku hizi,juzi nimekutana nae,kanenepa huyo'...Ukiwa mwembamba hivi,na wasipojua deals zako,watakwambia umefulia. Kwahiyo wapo wengi wanaodhani kunenepeana ndiyo afya...
  5. M

    Waziri mkuu mizengo pinda ni mtoto wa mkulima kweli?

    Msikimbilie kulaumu.Kwanza inawezekana alichokwendea Pinda ni zaidi ya huo uchunguzi wanaousema.Viongozi wengi wa Afrika wana magonjwa chronic na life threatening na wananchi kamwe hamuwezi kuambiwa.Hata wakienda nje kwa sababu hiyo,media ita cover kuwa ni normal screening tests wakati ukweli...
  6. M

    Magufuli aponda dhana ya polisi jamii dhidi ya majambazi : Waziri Masha na Mwema mpo!

    Jmushi;atakwenda na serikali 2010-2015,itakuwa hivi: Rais:Salim Salim Makamo:Warioba Waziri Mkuu:Magufuli Mambo ya nje:Mwakyembe... Halafu 2015,Salim atataka aendelee,wakati Warioba atapumzika na Magufuli ataendelea kuwa PM mpaka 2020 atakapoachia ngazi Salim,kisha atachukua fomu ya Uraisi na...
  7. M

    Magufuli aponda dhana ya polisi jamii dhidi ya majambazi : Waziri Masha na Mwema mpo!

    Magufuli ndiye so far ninayemuona kuwa na uwezo wa kuipeleka nchi hii mbele na sisi tukawa na GDP kama Botswana au hata vinchi vya central europe ndani ya terms mbili za Urais.
  8. M

    Walutheli wawafuata waanglikana!

    'religion is the opiate of the people'
  9. M

    To You Hon Zitto Kabwe, MP

    duuh viongozi wa chadema kaazi kwelikweli.Yaani huko kwenye chama chenu hapatoshi,mmeamua mje mlumbane JF sasa
  10. M

    Kikwete face to face with Drogba

    Utajuaje labda ndiye Michuzi mwenyewe huyu Mkuu!!!!
  11. M

    Kikwete awaweka pabaya wakosoaji wa serikali yake

    Mkuu wacha tupige angle zote haina noma wala nini.Malecela alishamu endorse Kikwete ni sawa na kusema wanaopinga 2nd term ya Kikwete wanapingana na Malecela pia kwahiyo ni walewale tu. Na siyo siri Mwalimu alimwita Malecela muhuni.Sasa alikuwa na maana gani hatujui,labda angekuwa hai mwenyewe...
  12. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Sifikiri ni wazo baya isipokuwa mara nyingi unapozungumzia utendaji mzuri wa Magufuli hoja ya ma critic wake siku zote ni nyumba nyumba nyumba....hawana nyimbo zaidi ya hii! Sasa mimi nataka kuwaambia kwamba Magufuli hakuamka tu asubuhi na kuamua nyumba za serikali ziuzwe isipokuwa yalikuwa ni...
  13. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Kesi si bado iko mahakamani?Ulitaka agawe kidhibiti mapemaaaa?
  14. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    yeah and its not a must to agree with it.what is fake btw?do we have anything fake in the world of our ordinary experience or even outside of it?
  15. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Mkuu Jokakuu,Una maana hata cabinet ingegoma au Mwenyekiti Mkapa basi Magufuli angekuwa na uwezo wa kuipitisha tu hoja yake? Magufuli alikuwa na plan nzuri tu ya kukamilisha ujenzi wa nyumba nyingine nyingi za serikali.Kama sikosei kuna zile za Dodoma alishazikamilisha siku zile na zilikuwa...
  16. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Kuna lingine zaidi ya hapo nilipo bold??Yaani wewe umewekewa kitambaa cheupe mbele yako chenye kadoa kadogo keusi katikati halafu nikakuuliza unaona nini mbele yako,nina uhakika ungesema unaona hako kadoa keusi tu. Binadamu hatuko kihivyo mkuu
  17. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Mkuu haya maamuzi si yalipitishwa na baraza la mawaziri chini ya uenyekiti wa Mkapa?Kwanini ni Magufuli tu ndiye unamuona awe wa kwanza kujutia?
  18. M

    Kikwete awaweka pabaya wakosoaji wa serikali yake

    Mkuu Insurgent inawezekana kuna mengi wayajua chini ya uvungu ambayo wengine hatuwezi kuinama na kufika huko.Sasa do us a favor please mkuu utujuze aliyoyatamka Malecela kwenye vikao ambayo yalikuwa ni ya kibaguzi/kidini. Nilichosikia mimi ni kuwa kutokuelewana kwa Nyerere na Malecela kulianza...
  19. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Magufuli ndiye kiongozi aliyebaki CCM,sema basi tu wanamuwekea kauzibe,lakini huyu jamaa kusema ukweli ni noma,ngumi jiwe,hana masihara katika kazi Go Magufuli go...
  20. M

    Nigeria yalalamikia uamuzi wa kuwekewa ukaguzi mkali kwa wapandao ndege kuelekea US

    hahahahaa unaua mkuu siyo wote ni magaidi isipokuwa ni mijizi kwa asilimia kubwa
Back
Top Bottom