Redio ikizinduliwa si inabidi ianze hapo hapo?
Kusaga, the media mogul
Anaweza kufanya kweli hili kosa la kuweka fedha mahali ambako uzalishaji wake au uendeshaji wake unatakiwa utegemee Zabibu kama hajamuudhi kakake , kweli?
Nakuelewa.
Lakiini sasa zote coverage zake ndo huku Daslam ambako ndo wataalam wa mambo ya wevs wamesema anazo frikwens zote.
Saaasa mbona dar sio wapiga kuraaa!
KuRA ZIKO KASUMBALESA huko, ama namna gani?
ah mi nikajua redio ina management, ina uongozi,ina watendaji na Kiba anaweza tu kuwa zake anakula zake Tambuu Tabata Mawenzi pale huku mambo yanaenda bam bam.
Sa manake kama na uendeshaji redio inategemea mood ya Kiba, mbona sasa itakuwa katuangusha sana!
Enewei muda bado unaongea!
Itakua labda...
hapa ni issue ya Ali Kiba tena?
I thought Kusaga kaweka akili hapa Kiba kaweka jina tu ili waishinde Wasafi ili Clouds ibaki kinara, au ndo nishamix madesa?
mana mi naeee, umbea napenda ila fizikia na mambo ya media kavalej ndo utata
Ndo namwona ashajipotezea focus hapa ,yuko kulia lia.
Mali zote zina majina yako na ulizipata kabla ya kuoa unazipotezaje kwa asilimia 70?
We sio kizembe hivyo!
Sheria ya mgawanyo wa mali haipo hivyo, naona washampiga kipapai cha kuchanganyikiwa.
Hebu msaidieni mwanaume mwenzenu
Watu wengi wanaoingia ndoa za pili hupuuzia vitu vingi kwenye ndoa za pili.
Mostly pengine ya haraka kuonekana wamemove on na hawakuwa na tatizo kwenye ndoa za mwanzo na aliyekuwa mwenzi wake ndo mwenye tatizo!
So kuna kupuuzia kwingiiiii.
Ila mwanamke mwenye watoto wawili tayari, aliyewahi...
It is.
Kuwa submissive inatuchukua nguvu kubwa mno ndani yetu, namaanisha ile kuwa submissive toka ndani kabisa.
Hasa kwa mwanamke wa umri wangu, pengine maisha yameshakuwa defined kiasi zaidi ya ukike wa asili ambao yes unahitaji mwanaume, huna sababu nyingine ambazo wengi zinawafanya wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.