Wadau wa tek Salaaaam
Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo.
Tatizo Gani?
King'amuzi cha startime mft 930 kilikuwa kinapokea vizuri matangazo na kuonyesha channle...
Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu.
Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule za msingi sekondary au hata walieoendelea nalo hadi "Havard" na "Oxfrd" za hapa bongo na huko majuu .
Sasa...
Hi kama kawa naleta mjadla huu huku tayari nikiwa nimeshapitia kwa bwana googlle na bing.
Lengo si kujua proxy ni nini au kazi zake lakini sio mbaya kwa faida atayependa atoe maelezo
anajua nini kuhuus proxy?
Ziko proxy za aina ngapi
Zinafanyaje kazi
Faida na hasasa zake.
Hoja ya...
Haya wadau wa chitchat.
Tukumbushane, tuhabarishane ,tuhadithiane raha na karaha za maisha ya vijijini tulizo wai kukutana nazo.Sio muhimu kutaja majina ya vijiji
NB
Kwa wale tu wenye Experince please. Kama hujaonja raha na karaha ya kwenda na kushi kijijini japo kwa mwezi wakati unasoma au...
Katika kukidhi kiu ya wapenda "gadget" lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya asha. Simu za NokiaAsha zinaelezwa kuwa na feature kama Apps zilizokwenye baadhi ya smartpone maarufu
Tech Specs na bei za Asha...
Wakuu
Kwa kimombo kama sijakosea maneno hayo ni Patriostism, Efficiency na effectivenss. Kwa kiongozi au mfanya maamuzi yeyote hayo ni mambo matatu muhimu ya Kuzingatia.
Katika Kudadavua mtandao nikakutana na kipande Hiki
Kwahiyo tunaona kumbe sio tu suala la usalama linaloamua gani...
Wakuu nadahni Tittle imejitosheleza .Nimjadala.Kipi kigumu au kipi ni rahisi.
Nakaribisha mawazo , maoni yenu huku tukielezananakutoa sababu za hoja zetu
Karibuni
Wakuu
Katika mambo muhimu yanayotakiwa kujadiliwa na tumalizane nayo katika katiba ni Huu muungano tata.
Lakini hata wanasiasa na vyama wawe waupinzani au waliomo CCM kuna
wanaoona ni bora kwa pande mbili za muungano muungano uvunjwe
Waoapenda kuona kuna serikai Moja
Wanaopenda kuona kuna...
As usual mtazamaji is not the greatest tech guru in town but likes to share some tips/tricks and knowleddge about ICT.....
Badaa ya mkwara wa kuanza kwa kimombo nirejee kutumia lugha iliyonipata A++ pekee O level teh teh teh ..
Kwa Wale blog/Tovuti na kwa wanaopenda kujua mambo ya...
Yes inaezekana wapo watanzania wenye appp zao kwenye masoko ya Adroid na Ios.Lakini kwa tathmini ya haraka haraka sidhani kama zinafanya vizuri katika mauuzo .
Kilichonifanya nirushe huu uzi ni aada ya kusoma hapa computer world na hapa dailytech . So nikahisi kama kuna...
Wana jfer wa tek
Leo ghafla nikaamua kuitafuta sera ya ICT(TENOHAMA) Tanzania. Yap uzuri wa internet nikaipata lakini
naona
ni ya mwaka 200sijui kama hakuna revised version Kama kuna mwenye link ya ya karibunizaidi nitashukuru akinidondoshea hapa
Kama kama Mara nyingi...
Wakuu wenye maujuzi ya web designing nadhani itakuwa sahihi niseka wa case hii web designingI mean CSS
nina issue kwenye hii Gym yangu ya mazoezi ya IT kwa vitendo . Baada ya muda nmefikiria nibadilishe design iwe na column tatu na sio mbii kama sasa .
Sasa nimecheza cheza nayo ile...
Yes nimetumia neno "shujaa" sababu inaonekana ni uamuzi mgumu mno. Nadhani atayekuwa wa kwanza tutampa ushujaa japo
Mara nyingi tunayaona haya ma VX na hawa vigogo wakiwa ndani from masaki to posta. Hivi tujiulize/tuwaulize
Hakuna Aliyewai kufikiria anaweza kuokoa shilingi ngapi za mafuta...
Nimesoma habari hii ambayo si ngeni kwa wanaofuatilia michezo hasa soka ya england . Ni kuhuus Mchezabi Fabrice muamba mwenye asili ya DRC aliyedondnoka uwanjani wakati wa mechi. Niichojiuiza je inawezeka huku kwetu wengi tunawazika au tutazikwa sababu ya kutokuwepo vifaa na huuma sahihi...
Nimekutaan na hii habari mtandaoni.
Baffling Illness Strikes Africa, Turns Children Into Violent "Zombies"
World Health Organization is on high alert about new Ugandan outbreak, cause is not fully known It's called the "nodding disease" and it's a baffling illness that has struck...
Wengi wetu neno Ports katika mambo ya kompyuta linaweza lisiwe geni. Au hata kama ni geni basi ni kitu amabcho tunakitumia bila kugundua. Leo tujaribu kucheki ABCc za computer/comunication ports na wajuzi zaidi wataongezea XYZ…. Au kunisahihisha pale nilipokosea
Port (s) ni nini ...
Sasa Imekuwa awada kusikia kuna kesi ya IPad ddidi ya samsung au kesi ya Motorola dhidi ya Apple. Hivi sasa makapuni ya simu ushidani wao sio tu kwenye kuuza bidhaa za madukani bali pia kuna ushindani wa patent mahakamani.
Wimbi hili la kesi limehamia na kwenye mitandao ambapo sasa Yahoo...
Tovuti kadhaa za taasisi kubwa kubwa na blog chache zinazopendwa hapa bongo zinatumia Joomla! toleo la 1.5 . .
Sasa toelo hii a jooomla! lilikuwa likisappotiwa kwa muda mrefu matatizzo ya kiusalama (security) na mengineyo kwa kupatiwa suluisho na wataaam wa joomla wenyewe, lakini...
Makala hii ni kama movie. Jinsi Lulzsec walivyofanya mambo na hatimaye wahusika mmoja baada ya wmingine kukamatwa. Kiongozi wao Mkuu kwa jina la "sabu" ndio aliwanasisha wote. From a hacker to a snitch
No hacker group ignited controversy or captured the attention of the tech community quite...
Wakuu wenye simu za android na Iphone.........
Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali .
Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui
Nilikuwa najaribu ku google best anroid/Iphone apps. Matokeo nyingi niizoona haziwezi kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.