Search results

  1. K

    Ligi Kuu ya Uingereza(Barclays EPL) ndani ya king'amuzi cha HD Sports Channels

    funguka mzee inapatikana kwa mawimbi gani satelite dish au antena?
  2. K

    Radio free africa haina msimamizi?

    frequence zimebadilika kwa redio za Dar peke yake sehemu nyingine ni kama zamani.
  3. K

    PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

    Hizo picha hazitoi taswira halisi ya idadi halisi ya watu waliohudhuria huo mkutano,kwa kweli magamba walivuna aibu watu walio hudhuria walikuwa wachache mno kulinganisha na wao wanavyojitapa kukubalika hapa Mbeya,kumbuka hapo ni Kabwe sehemu ambayo ni katikati kabisa ya mji na ni centre ya...
  4. K

    Natamani mwisho wa dunia ufike

    Acha uwoga wewe! pambana mpaka kieleweke hapo ulipo wewe ndio uwe mwanzo wa mabadiliko tutaishi kifala mpaka lini? Aaaarrghh?
  5. K

    Salim Kikeke na Charles Hilary wa BBC SWAHILI, hakunaga kama hawa jamaa...

    Nani Juma Nkamia mbona mweupe tu Sued Mwinyi peke yake anamkimbiza mbaya,hawezi kuwa level ya Charles bana.
  6. K

    Salim Kikeke na Charles Hilary wa BBC SWAHILI, hakunaga kama hawa jamaa...

    Utawapenda zaidi wakiwa wanatangaza mpira ligi ya Uingereza kwa vijimaneno vimisemo na utani wa hapa na pale inakuwa ni zaidi ya mpira,kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa huyu Saleem Kikeke ni mkeiii.?
  7. K

    Je Unamfahamu Adam Nditi Mzanzibar wa Chelsea?

    "Mzanzibari" anayekipiga Chelsea kwa nini sio "Mtanzania" anayekipiga Chelsea?
  8. K

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Safi sana ndugu niliimiss vibaya
  9. K

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Ni kweli mkuu hata miye nimemuona mwenyewe katulia wala hana hata chembe ya hofu,nimeamini yule dingi ni dish.
  10. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Wacha sie police jamii tuendelee na doria,ahsanteni kwa bonge la kampani,usiku mwema wakuu!
  11. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Mshiriki toka Tanganyika Walter ameshinda dhidi ya Mzanzibar Salma,hoyeee!
  12. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Wekundu kibao ndani ya box wanyama wa kutosha!
  13. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Daah! Kumbe raia kibao leo tupo doria ya polisi jamii,BSS hoyeee!
  14. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Naona kama ushindi unabaki Tanganyika nasikia harufu ya mkwanja dogo anakuja nao Mbeya
  15. K

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    Nilikuwa bored na hili shindano lakini baada ya kulog in najisikia raaahaaa! Ahsante wakuu wote ambao mnachangia na kuleta updates jf never die!
  16. K

    Kaka kuona kuchagua upinde na panga....vita itatokea?

    Nchi hii haiishi vituko,nina wasiwasi kuna siku huyo mnyama atakuja kutuchagulia Prezidaa kwani watu wanamwamini sana.
  17. K

    Guest nzuri, kali iliyojificha Dodoma

    Florida Annex pale Bahi road
  18. K

    Nape asema Edward Siyo msafi

    .....The war within......
Back
Top Bottom