Search results

  1. M

    Mbolea bora

    Nilisoma kwa haraka nikijua mimi mkulima wa kahawa inanihusu kumbe sihusiki!
  2. M

    Mbeya roofing sheet

    Vipi ungeweka contacts ingekuwa useful sana kwa wasomaji wa uzi huu hata kwako pia,kwa maana ya sehemu ulipo
  3. M

    Precision Air yasitisha safari za Mbeya

    Kuelewa soko linataka nini na kwa wakati gani ni mhimu sana. Jipangeni vizuri tayari mna jina ondoeni udhaifu msonge mbele,route nyingi kwa sasa mmefunga.
  4. M

    Mtaji wa 2.5m/-, Naweza kufanya biashara gani?

    Hakuna kitu kipya zaidi nikuangalia wengine wanafanya nini na wewe unawezaje kufanya tofauti na wengine kisha anza kufanya kwa kuonyesha tofauti.All the best.
  5. M

    Watanzania tujikite kwenye uzalishaji tupunguze uchuuzi na biashara za ujanja ujanja

    [QUOTE=kombokokingachi;9517024 Mkuu Kakende sio kwamba napingana na hoja yako ila nafikiri ni vizuri tuchangamkie fursa zilizopo kama mleta uzi huu anavyotuasa. Kwa mtazamo wangu tuache kujifariji kwa kuitupia serikali lawama. Hata serikali ingetusaidia vipi kama mtu huna juhudi binafsi ya...
  6. M

    Watanzania tujikite kwenye uzalishaji tupunguze uchuuzi na biashara za ujanja ujanja

    Mkuu sio rahisi kihivyo labda kama unaongelea Tani 3 mpaka 10.Uzalishaji wa tani 1,000 utachoma chips? Je utapata bei inayokidhi gharama za uzalishaji? au utapata bei ya hasara itakayokufanya usirudi tena shambani? Ki ukweli serikali na wasomi wetu wanakwamisha kumkomboa mkulima kwani ndo sehemu...
  7. M

    Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

    Kweli Tanzania ina fursa nyingi sana na ukikomaa unatoka kwa haraka,ili kutimiza haya lazima tufanye kazi kwa bidii na sana na kutumia muda mwingi kwani hatuna mtaji wa kutosha na hata mzunguko wa fedha bado uko chini kulingana na hali za kimaisha zinazotukabili sisi pamoja na familia...
  8. M

    Watanganyika wenzangu tumsikilize kwa makini Tundu lisu kesho

    Bravo Chris, Unaitendea haki nafsi kuamini unachoamini bila kificho wala woga.
  9. M

    Precission air Hoi! KQ yahusishwa.

    Is this private entity in UK or Tz?Is taxes payable to Uk or TZ?Are Kenyans employed or Tz? Let us pause our discussion in a big picture.
  10. M

    Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu!

    Kwa upande wangu,nimepima hoja yenyewe na kilichotokea nimekuelewa.It was a good decision kufanyika.
  11. M

    Je, Kuna Umuhimu wa Kuandika Mchangamanuo/Mpango wa Biashara?

    Chasha, Nafikiri kuna vitu hapa watu wanachanganya mara nyingi mtu akipata Wazo la biashara(Business idea) hukimbilia kuandika business plan na kuanza kusaka pesa au kufanya utekelezaji wa biashara husika hivyo wengi wanaruka kufanya Visibility Study kabla ya kuandaa Business plan zao.Hivyo...
  12. M

    January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    Hatuwezi kuongelea maendeleo ya nchi huku tukilaumu kulipa kodi,hii ndo fursa hata kwa wale wasiolipa kodi ya moja kwa moja waweze kulipa kupitia Kodi ya line.Cha muhimu hapa ni kuhakikisha pesa hizi zinatunufaisha kimaendeleo na wala si vinginevyo.
  13. M

    Going to Kingolwira Fish Farm

    NewMzalendo, Kumbuka una deni hapa Jamvini la kuweka Feedback ya project yako.Fanya hivyo kusaidia Members wanaofatilia uzi huu.
  14. M

    Hamisi Kigwangalla's Letter to Peter Ross Sullivan, CEO Resolute Mining Ltd

    Pili, nimebaini hukuuliza kwa kuwa unataka kujua ama kuendeleza mjadala kisomi, bali umelenga kunitega na kunishambulia. Nimekoma kushindana na watu wenye nia hiyo maana ushindani haujanisaidia sana. Nimeamua kufanya kazi zangu na kutekeleza majukumu na wajibu wangu ipasavyo bila kujali wengine...
  15. M

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Ulitegemea ni nini kwa mtu kama Serukamba? Hapo ame improve sana na hata amejipongeza kwa kuandika point.
  16. M

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Du! Huu ni Unyama uliopitiliza!
  17. M

    MSAADA: Soko zuri la MAHINDI

    Uliuliza bei ya Gunia la Mahindi sokoni Tandale kipindi cha mwezi September. Soko limeshikiliwa na Madalali na ndo wanaopanga bei,mkulima hana nafasi hapo zaidi ya kusubiri mgao wake toka kwa madalali
  18. M

    MSAADA: Soko zuri la MAHINDI

    Usishangae ndo soko lenyewe hilo.
Back
Top Bottom