Search results

  1. M

    Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

    Upotoshaji hauwasaidii chochote Wilaya ya Uyui ilikuwa na Vijiji 15 vyenye Uchaguzi na Vitongoji 58 CCM imeshinda Vijiji 14 kati ya 15 CCM imeshinda Vitongoji 51 Chadema 7 Binafsi nilisimamia Kata ya Ibelamilundi iliyokuwa na vitongoji 6ambavyo vyote vile kwenda CCM
  2. M

    UVCCM kimya sakata la vyeti vya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    CCM imewabana hadi mmekosa hoja
  3. M

    Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

    Non sense
  4. M

    Vigogo na Wanasiasa waliofaidika na Fedha za Ufisadi wa IPTL hawa Hapa

    Wana JF nimefanya Jitihada Binafsi kuweka kuwatambua waliofaidika na wizi wa. Fedha za IPTL nitaendelea kuwapatia majina hapa ila jambo la msingi mfahamu kuwa Ripoti ya CAG na PCCB zimefanana kwa zaidi ya asilimia 99,na sasa kuna jitihada za kuwaokoa baadhi ya wakubwa, akiwemo GAVANA na AG...
  5. M

    Elections 2015 Taarifa kuwa Kikwete hamuungi mkono tena zamchanganya Membe

    Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu. Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia...
  6. M

    RC Tabora na Mkiti wa CCM Mkoa Tabora Hapatoshi!

    Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku...
  7. M

    Mbunge Hamis Kigwangalla hatarini kuvuliwa uanachama CCM

    Mimi ni Mfanyakazi wa H/shauri ya nzega huyu jamaa ni muongo na mpotoshaji Magamba wamemshughulikia kwakua alisema CCM ni Mzigo na Madiwani aw CCM nzg ni Mizigo ya Mavi,na 2010 wana nzega mjini mlifanya maamuzi sahihi kumpa kura Dk slaa Urais,ubunge mkanipa mm,udiwani Cuf hiki chama ni...
  8. M

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    Nina furahi sana kila ninapoona andiko la Lowassa! ni kiongozi anayetajwa kutwa mara 1000, kama ni mwizi kwa nini asipelekwe mahakamani, aliiba nini? alimwibia nani? wote mnao sumbuliwa na jina le mnaugua ugonjwa wa Urais 2015 ambao hakuna wa kumzuia, nakumbuka hata wakati JK Jnr akijianda...
  9. M

    VIDEO: Baba Mzazi wa Dk. Kigwangalla adai kutelekezwa na mwanae

    Zinakuja link za mama Yake Mzazi amehojiwa Akiwa Tabora,mzee huyu alifika kuomba Msaada na kwakua ni mtu ambae amefanya kazi ktk vyombo vya Habari hakufika kumdhalilisha mwanae Bali kuongelea tatiizo lake mengine yamejitokeza ktk Mahojiano
  10. M

    VIDEO: Baba Mzazi wa Dk. Kigwangalla adai kutelekezwa na mwanae

    Wana Jamvi, Kwa heshima kubwa nimeona niletee Mahojiano haya na Baba Mzazi wa Ndg yetu Daktari Hamisi kigwangallah akiomba Msaada wa Matibabu. Nimeamua kuyaleta hapa Mimi ni member wa jukwaa la Friends of Membe tuna jukwaa letu kupitia Simu zetu na Mbunge huyu ni Mmoja wetu Kule,ktk mijadala...
  11. M

    Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na Gazeti La Jamhuri

    Ndg wana Jf baada ya kusoma Uzi uliowekwa hapa wa mahojiano ya Ridhwani Kikwete Niliamua kuingia Maktaba hapa chuoni kujiridha kulitazama Gazeti na mahojiano aliofanya na Mwandishi Jacton Manyerere. Nilichojifunza aliebandika andiko ameamua kuondoa baadhi ya mambo kwa maslahi anayofahamu,kitu...
  12. M

    Kigwangalla arusha ngumi ktk kikao cha Kamati ya Fedha wilayani Nzega

    Katika kuonyesha kuwa jasiri haachi asili, mbunge kijana na tegemeo la wana Nzega, kama ilivyo kawaida yake leo amemtwanga Ngumi mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 56 ambaye ni mjumbe wa kamati ya fedha wilaya ya Nzega. Hayo yametokea baada ya Kigwangala kushindwa kujenga hoja thabiti...
  13. M

    Hussen Bashe hakamatiki Nzega!

    Kijana Hussen Mohamed Bashe! maarufu hapa kwetu Nzega" KAYANDA"! anazidi kuwaonyesha wakazi wa Nzega na Taifa kwa ujumla kuwa pamoja na maswaibu yote yanayomkuta katika medani za kisiasa bado ni kipenzi cha wana NZega baada ya jana kushinda nafasi nyeti pasipo yeye kuwepo, Bashe ambaye ni mjumbe...
  14. M

    Bernard Membe Kumburuza Kortini Hussein Bashe: AK-47 Vs Mawe!

    Jk alisema tumetoka wote wa moja Dodoma na CCM haijagawanyika, kama ni kweli Membe ana wazo la kumburuza Bashe kortini ina maana anapingana maneno ya Jk ? je ni kweli malumbano ya kichama yaweza kwenda kortini bila kupitia vikao vya chama? au ni njia muafaka ya Membe kupata huruma ya jamii baada...
  15. M

    Mbowe atajwa sakata la TANESCO

    Wana JF tuwe tunasoma Na kuelewa Gazeti liloandika ni RAIA MWEMA sio RAI
  16. M

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Lowassa alitangaza kujiuzuru mwenyewe bungeni, hakufukuzwa, nadhani pamoja na hasira zote dhidi yake huo ndio ukweli, wakati tunajibu hilo hebu nisaidieni na hili, Samuel Sitta alikuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na akataka kugombea tena CCM wakasema mgombea wakati huo...
  17. M

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Narudia tena acheni kukurupuka! Piga Ngoma Mkiti wa vijana anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mkiti wa Halmshauri ya wilaya ya sikonge na kesho anajiandaa kwenda Dodoma kwenye Baraza kuu la Uvccm Taifa ataondoka na wajumbe wote kwa basi la NBS. Singu Sandu aliyejiuzuru wiki moja iliyopita...
  18. M

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !
  19. M

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Tatizo lenu kukurupuka, Mkiti wa vijana wa mkoa wa Tabora anaitwa Robert Elieza Kamoga pia ni mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Sikonge, hajahama CCM wala hana wazo hakuna Mkiti yeyote wa vijana aliyehama si tu wa MKoa hata wilaya wenyeviti wote wa wilaya na mkoa bado ni wanachama hai wa...
  20. M

    Chadema Tabora, Tumaini na salama ya Tabora.

    Piga Ngoma mdogo wangu! nimefanya siasa za Tabora kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ninachotaka kukuhakikishia upinzani kwa Tabora utachukua miaka mingi sana kwa mfano kata ya kitete unayoisema wewe waweza sema ni mambo gani unayoweza elezea wana jamii kuwa ina wafuasi wa Chadema? nasubiri nione M4c...
Back
Top Bottom