Search results

  1. A

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Na wao waache kutafsiri kwa maandishi ya kingereza tena kibovu Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
  2. A

    Vita ya Kificho ya Nape na Makonda sasa yafikia patamu

    Kwanini inaonekana ni vita ya Makonda na Nape?
  3. A

    Naombeni msaada wenu jamani kwa atakaeguswa ili nipate kumlipa huyu mwenye nyumba hela yake

    Tatizo mtu atajuaje upo serious kweli? Simu au laptop unayotupia kupost huku jamii forums ni sh ngapi? Na.ni kipi kipaumbele chako
  4. A

    Kibonde wa Clouds acha kubeza kasi ya Mh. Rais na Serikali yake

    Hivi bado unasikiliza JAHAZI ya clouds? Mm nikishasikia sauti ya Kibonde nabadilisha stesheni maana najua nitaboreka. Huyu alitegemea kuwa msemaji wa serekali ya Edward Lowassa au mmemsahau pale uwanja wa Shekh Abed pale arusha na dar alishajiona anaofisi ikulu. Yeye atalalama sana
  5. A

    Juma Duni kubaki CHADEMA?

    Karudi CUF
  6. A

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Huyu mzee kama anapagawa hivi, yeye hawezi tena kutoa ushauri ukazingatiwa wakati alisha fanya chaguo lake. Au hawa ndio wale wazee marehemu captain Komba aliyewamaanisha enzi ya bunge maalum?
  7. A

    Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri

    I'm not sure how much I
  8. A

    Kibonde ataka Bia iruhusiwe maofisi ya Serikali

    Hivi bado mnamsikilizaga huyu jamaa? Hana jipya ni mpuuzi tu na muongo
  9. A

    Wananchi wa Migombani DSM wamwapisha Mwenyekiti wao aliyeshinda kwa tiketi ya CHADEMA

    Nimeamini nguvu ya umaa hushinda udhalimu, inabidi watanzania wote tujifunze kwa wananchi wa kata ya Migombani-segerea wilaya ya ilala bila kujali itikadi lazima demokrasia iheshimiwe, HAKI HAIOMBWI INADAIWA
  10. A

    Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Shiiit like a mother like a daughter, asiombe aone mageuzi kwa macho yake watazikimbia hizo hela
  11. A

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Wasomi gani wapuuzi hivi. Wezenu hajapata mikopo sababu ya ufisadi wa wachache kitafuna kodi ambazo zingewezesha wengine nao kusoma nyie buku tano tano zinawapofusha macho, aibu
  12. A

    Mapya kuhusu ESCROW, Shule ya Prof Tibaijuka yathibitisha kupokea pesa' in good faith'

    Hata mkisafisha na acid haisafishiki hii tuhuma
  13. A

    Yaliyojiri sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru: Jumanne, Tarehe 9 Desemba, 2014

    Wajuzi naomba kujuzwa, leo tunasheherekea kuzaliwa kwa TANGANYIKA. Nijuzeni ni lini TANGANYIKA alikuwa, ni lini alizeeka ni lini alikufa na wapi kaburi lake alipozikiwa, nani msimamizi wa mirathi yake? Nikijua nitafurahi kama sivyo naamini mzazi wetu TANGANYIKA iko siku atatoka huko kwenye...
  14. A

    IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani

    Huu upuuzi unaweza fanyika katika nchi ya tanzania tuu
  15. A

    Kafulila,Tibaijuka live Star TV

    Mama amekataa kumpa mkono kafulila wa kuaagana kufunga kipindi
  16. A

    Kafulila,Tibaijuka live Star TV

    Huyu ni waziri MWIZI
  17. A

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Nimezima TV nimeamini PENYE UDHIA PECHEZA RUPIA wachumia tumboni na hawa wote wanajua hawarudi tena BUNGENI wanachukua mshiko wao
Back
Top Bottom