Search results

  1. Gang Chomba

    Mwisho wa ubabe wa Sanchez wa Madrid 1989/1990…shukran zikaenda kwa Baresi na Costacurta

    KINGINE TOKA KWA GANG CHOMBA… Nyota wa zamani wa Real Madrid Hugo Sanchez aliifungia timu hio magoli 38 katika msimu wa miaka ya 1989/1990. Sasa ni hivi, katika magoli yoote hayo ambayo mwamba alitupia kambani alifunga kwa FIRST TOUCH. Lakini umwamba wake msimu huo ulikoma Siku walipotua...
  2. Gang Chomba

    Kisa cha Zidane kulilia kwenda Juve, lakini anapokwenda anamkosa aliemfuata…

    Alipotakiwa na Juve Mwaka 1994 Zinedine Yazid Zidane alifurahi saana. Kisa cha yeye kufurahi ni kwamba angekwenda kuungana na Mchezaji wake boora wa muda wote ambae yeye anakiri kuwa vitu vingi alinakili kutoka kwake. Lakini timu yake ya Bordeaux ilikataa katakata kumuuza kwa kauli kuwa wana...
  3. Gang Chomba

    Waliomteka Baba Wa Mikel Obi walijuta baada ya habari kumfikia Abramovic

    🇳🇬🗣️ John Obi Mikel: Baba yangu alitekwa nyara wakati nilipokuwa nikiichezea Nchi yangu Nigeria katika Kombe la Dunia la Mwaka 2018 lililopigwa nchini Urusi. Tulikuwa tunakaribia kucheza dhidi ya Argentina. Masaa mawili kabla ya mchezo nilipata simu kutoka kwa Ndugu yangu akisema baba yangu...
  4. Gang Chomba

    Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

    Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil. Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
  5. Gang Chomba

    Chelsea 2-3 Kanu: Siku ambayo Kanu alianza rasmi kudeka klabuni Arsenal

    ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge lililopo magharibi mwa London hatimae anaibuka shujaa asiefikiriwa wala kuimbwa, kisha anawarudisha...
  6. Gang Chomba

    Maradona: Hakuwepo, hayupo na hatokuwepo mlinzi kama Franco Baresi

    🗣️ “Baada ya Mchezo dhidi ya Milan, mshambuliaji Nyota wa SSC Napoli Armando Diego Maradona anaeleza kuwa, hakuwahi kutokea, hayupo na hatokuwepo Mlinzi kama Franco Baresi. Hii jezi sina budi kuivaa hapahapa Uwanjani kwa maana ni jezi ya Mlinzi bora kuwahi kutokea. Nina jezi nyingi lakini hii...
  7. Gang Chomba

    Ukistaajabu ya Ten Hag na Cristiano, utakutana na ya Capello na Ronaldo

    Baada ya vuguvugu la habari zisizo na uaminifu ndani yake, hatimae Ronaldo akihojiwa katika kituo cha Runinga cha FOX chenye matawi yake huko Amerika ya kaskazini na ya Kusini, amesema kuwa kamwe hakutaka kuondoka klabuni Madrid. De Lima maarufu kama “O fenomeno” ama elgodo ikimaanisha...
  8. Gang Chomba

    Kisa cha Silvio Berlusconi kilichopelekea kushindikana kumleta Diego Maradona klabuni Milan

    Alipo ulizwa kuhusu Diego Armando Maradona maarufu kama El Pibe di Oro yaani Golden Boy, Mzee Berlusconi alisema: Nilitaka saana kumleta Maradona ili aje AC Milan akamilike na hata abebe mataji makubwa na yenye hadhi kwa mchezaji kama yeye. Nilitaka pia aje na acheze kwenye Timu yenye...
  9. Gang Chomba

    KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

    Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan. Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
  10. Gang Chomba

    Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  11. Gang Chomba

    Anayemjua Refa Kayoko amsomee hii

    Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi. Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina kutumbua mijicho hivyo haimaanishi kuwa wewe utakuwa Corina, lakini ukumbuke Corina vile ndivyo...
  12. Gang Chomba

    Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

    Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka. Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
  13. Gang Chomba

    Haya yalimkuta Ronaldinho miaka mitano iliopita...

    Miaka mitano iliopita kiungo mshereheshaji wa zamani wa baadhi ya vilabu vya Soka barani Ulaya ikiwemo AC Milan Ronaldo de Assis Moreirra maarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho alipata ajali baada ya Gari lake pendwa kuacha njia na kuingia mtaroni. Ilianza kuwa siku nzuri sana kwa huyu bwana...
  14. Gang Chomba

    Paolo Maldini na mwanawe Danielle Maldini wamekutwa na virusi vya Corona

    Taarifa iliojiri hivi punde imeeleza kuwa Simba Dume na nahodha wa zamani wa AC Milan ambae alipata kubeba mataji matano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya Paolo Maldini na mwanawe anaechezea AC Milan kwa sasa Danielle Maldini wamekutwa na virusi vya Corona. Nakuomba unaesoma ujumbe huu, bila...
  15. Gang Chomba

    Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

    Galam galam, Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni. Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya mchezo aupendao. Bismillah.
  16. Gang Chomba

    Walioiangusha Bongo Movies sasa wanaipigia debe Taifa stars...

    WALIOHARIBU BONGO MOVIE NDIO WANAHAMASISHA TAIFA STARS ISHINDE... Kwa masikitiko makubwa jana nimeona kamati ya kuhamasisha timu ya taifa kushinda ikiongea na wandishi wa habari. Nikajaribu kusikiliza walicho kuwa wakikiongea lakini sikuambulia kitu chochote cha maana kwa kuwa hakukuwa na...
  17. Gang Chomba

    Inahitajika mashine ya kukatia nyama buchani...

    Wadau kwema? Ebana kama kuna mwenye nayo mashine ya kukatia nyama buchani anicheki kupitia namba +255713666001
  18. Gang Chomba

    El Clasico: Maswali muhimu kuelekea katika pambano la Barca na Madrid...

    Mchezo kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Real Madrid umewadia. Mechi hii yenye mvuto kwa ulimwengu wa Soka inatarajiwa kupigwa kwenye Dimba la Nou Camp majira ya saa kumi na mbili na robo jioni ya leo. Hu ni muda muafaka wa kukumbushana mambo yaliowahi kuleta mvuto wa kipekee kwenye game ya...
  19. Gang Chomba

    LIVE: Man UTD vs Arsenal...

    Uwanja tayari umefurika hapa. Washabiki ni wengi kutoka kila pembe ya Dunia wamekuja kujumuika ili kushuhudia moja kati ya mitanange mitamu wikiendi hii. Kila upande ninao uangalia uwanjani hapa umefurika watu huku washabiki wa timu zote wakiwa ni wenye furaha na kujiamini. Manchester UTD...
Back
Top Bottom