Mpwayungu umebadilisha ID. Duniani watu hawafanani. Kuna matajiri na masikini. Universal nature ndivyo ilivyo. Serikali ndiyo inayotesa walimu. Wachache wanapewa posho (walimu wakuu), walimu wengine hawapewi. Kosa ni la SERIKALI
Kigamboni, eneo la Pembamnazi serikali iliuza viwanja kwa wananchi tokea mwaka 2015. Mwaka leo eneo hilo bado ni pori. Barbara ya vumbi ni moja tu. Watu wanashindwa kujenga maana hakuna njia za kuingia kwenye viwanja (saiti). Serikali imepasusa Kigamboni sijui kwa nini. Anahitajika mkombozi ili...
Mm huwa nawashangaa has wanaojiita mawakili. Mteja wake anekiri mbele yake juwa ametenda kosa mfano ameua, ameiba nk. Jambo la kushangaza wakili huyo atasimama mahakamani na kusema kuwa mteja wake hajatenda kosa (hajaua, hajaiba nk). Na mtuhumiwa huyo itamuachia huru. Mawakili wana kesi kubwa...
Gharama hizo ni kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida. Kipato cha Watanzania wengi ni kidogo. Hivyo kama serikali inawathamini na kuwapenda raia wake, iweke viwango nafuu kwa kupunguza gharama. Mfano: 1. Badala ya kulala hotel ya kitalii, watu walale kwenye mahema (tents) 2. Sio lazima watu...
Mbona kwenye sherehe za mahafali (GRADUATION) mashuleni, nyimbo hizo kila siku zinapigwa. Walimu wakuu hawachukuliwi hatua zozote? Huyo mwl mkuu ameonewa kwa sababu nyimbo hizo kila wakati zinapigwa kwenye sherehe mbalimbali mashuleni. Tuache kufanya kazi kwa mihemko
Duuh. Inasikitisha sana. Askari trafiki wanafanya michezo ya kupokea rushwa hadharani kwa sababu wanajua hawachukuliwi hatua yeyote. Walipata hofu kipindi cha NYERERE na anko MAGU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.