Search results

  1. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Mimi ni Mtumishi kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa nakuwa na safari ya kwenda na kurudi Posta. Kutokana na bei ya Mafuta naona kabisa nitashindwa kumudu gharama za mafuta. Hivyo natafuta watu wanne ambao ni Wafanyakazi kazi Posta ambao nitachangia nao mafuta kwa kila siku tunapoondoka...
  2. Roho Mbaya

    Makamba, Rudisha huduma za Mawasiliano kwa Wateja ngazi za Wilaya (TANESCO DSM)

    January Makamba tangu ukabidhiwe Tanesco umekuwa ukirudisha nyuma shirika baada ya kusonga mbele umekuwa ukirudisha nyuma, Huko nyuma ilikuwa ukipata changamoto yoyote unapiga simu mojamoja kwa moja katika vituo vya huduma kwa wateja katika ngazi za wilaya na utatuzi wa changamoto ulikuwa wa...
  3. Roho Mbaya

    Mali za aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Mfanyabiashara Mkoa wa Mara zapigwa mnada

    Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na Tangazo la mnada kwa mali zilizokuwa za Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa zamani wa Zamani wa CCM (Zembwela). Mali zinazopigwa mnada ni pamoja na hotel yake ndani ya mji wa Musoma (Afrilux Hotel) pamoja na vituo vya mafuta...
  4. Roho Mbaya

    Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

    Ni takrbani Masaa nane toka saa 3.20 usiku hadi hivi sasa alfajili tuko gizani bila Tanesco kutoa taarifa yoyote kwa Wananchi [emoji819]Watanzania wanalala gizani huku viongozi wakishindwa kuwajibika kwa matatizo yayotokea. [emoji819]Mtu wa kwanza kuwajibika katika hili ni Waziri anayehudumu...
  5. Roho Mbaya

    Nape unamatishioa gani? Mpaka kuvaa bulletproof katika msiba wa Mzee Mengi

    Habari za muda huu wadau nimechunguza picha ya Mwanasiasa Mbunge Nape Nnauye iliyopigwa akiwa katika musiba wa kumuaga Mfanyabiriasha Mzee Mengi huko Kilimanjaro na kugundua mbunge huyo amevaa bulletproof. Si jambo la kawaida mbunge tena wa Ccm ( Chama Tawala) kuvaa bullet proof picha hiyo hapo...
  6. Roho Mbaya

    Nimepata mrembo ananiambia kila siku Tshs.30,000 kulala na mimi

    Habari Wadau nipo Morogoro kikazi kwa Siku 14 nimefanikiwa kupata mtoto Mzuri hapa, Haonyeshi wasi wasi yoyote yupo tayar kukaa lodge na mimi kwa kipindi chote cha wiki mbili Lakini mashariti yake kila siku nimpe elfu 30000 wakati huo huo nikimhudumia chakula. Kwa bahati mbaya mpaka muda huu...
  7. Roho Mbaya

    Ushauri: Mke wangu hataki kabisa nichezee au kuangalia papuchi wakati kugegedana

    Nitakribani Miezi 3 hivi sasa tukiwa ndani ya ndoa na kabla ya hapo tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka mitatu iliyopita wakati tukiwa katika mahusiano nilikuwa nikijaribu kuchungualia ilimradi tu nione ikoje, nilijibiwa nisubirie hadi tutapokuwa ndani ya ndoa. Kinachonisikitisha mpaka...
  8. Roho Mbaya

    Slaa ndiye angeweza kupambana na Magufuli na sio Lowassa

    Toka jana baada ya mkutano wa CCM pale jangwani na hasa baada ya magufuli kumaliza speech' Kila kona ninayo pita mjadala umekuwa magufuri wananchi wanamuona kama mkombozi wa taifa' Hawataki kusikia kabisa jina Lowassa kutokana na kashifa alizonazo na kifisadi pamoja na kukumbatiwa na matajiri...
  9. Roho Mbaya

    Marudio ya kutangaza nia Prof. Muhogo Star Tv muda huu

    Rais mtarajiwa anaongea muda huu star tv, ambaye hakufanikiwa afatilie muda huu star tv
  10. Roho Mbaya

    Msaada: Jinsi ya kujitambulisha ukweni

    Habari wana jukwaa, Kama kichwa cha habari inavyooelezea nimezamilia mwaka huu kujitambulisha ukweni na nashidwa pa kuanzia, kwa wale wazoefu nisaidieni nataka mwaka huu usipite niishi na jiko langu nikiwa na amani, pia na baraka za pande zote mbili. Naombeni msaada
  11. Roho Mbaya

    Ni haki mwanaume kubebeshwa mkoba wa kike?

    Katika pitapita zangu maeneo fulani tukiwa kijiweni, alipita jamaa akiwa ameambatana na kimada chake kabebeshwa mkoba wa kike huku kimada kikiwa hakijabeba kitu chochote tena mkoba wenyewe mkubwa. Ghafla pale kijiwezi kukazuka mjadala na kuanza kumjadili jamaa lakini walikuwa wanaponda sana...
  12. Roho Mbaya

    Mlio mkubwa usiku huu kama bomu

    Nipo maeneo ya Kijitonyama, nimesikia mlio mkubwa kama radi majira 3: 54 na umeme umekatika ghafla na kurudi muda huo huo.
  13. Roho Mbaya

    Tahadhari: Kuwa macho na watu usiowajua

    Kutokana na wimbi la ongezeko ugaidi ukanda wa Afrika hasa Kenya, hii inatupatia nafasi sisi watanzania kuchukua tahadhari zote za kiusalama, ikiwemo kuwa macho na watu wasiofahamika, Magaidi wamekuwa wakitumia Mbinu mbali hasa kuwa karibu na wanachi lakini wakiwa na dhamira ya kufanikisha...
  14. Roho Mbaya

    Kutoka kuwa mume mtarajiwa hadi mchepuko

    Nilimpenda na kumuweka wazi kuhusu kumuoa, alinikatalia kwa kigezo cha dini, sasa kakubali rasmi mimi kuwa mchepuko wake na sina hiyana kwa kuwa bado cjapata mke ngoja niendelee kuchipuka, ingawa amenitahadharisha nisije kumkasilikia au kumununia nitakapoona ana mtu mwingine
  15. Roho Mbaya

    Msaada fundi wa brackberry simu imezima ghafla

    Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam
  16. Roho Mbaya

    Dini inanikosesha mke

    Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane 28, nimetokea kumpenda binti dini ya Kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa, amekuwa akishindwa kuniweka wazi kama ananipenda,ingawa ukaribu wangu mimi na yeye ndani ya miaka hiyo minne umewaaminisha watu kuwa tupo kwenye mahusiano...
  17. Roho Mbaya

    DSTV mnatunyonya Watanzania

    Nililipia DSTV mwezi uliopita then nikapata kisafari, nimerudi nimekuta DSTV wamenikatia matangazo tangu nimelipa nimeangalia siku sita kati ya mwezi mzima, huu nauona ni unyonyaji wa wazi kabisa sh. 92,000/= kupita bila kutumiwa mbona simu usipotumia hata mwezi unakuta vocha yako iko pale...
  18. Roho Mbaya

    Wadada msimu wa kuelekea mwaka mpya

    Wadada wengi msimu huu wa kuelekea mwaka 2015 wamekuwa wakitumia picha hii na kwa utafiti niliofanya ni wale wenye majanga ya kuachwa achwa (vicheche) wanajisafisha kuelekea 2015
  19. Roho Mbaya

    Vyuo vikuu kuitangaza ACT

    Chama kipya ambacho kipo kwenye mchakato wa usajili na kinachoonekana kuja kuwa tishio dhidi ya vyama vingine. Kimeanza kuwa nuru ya watanzania baada ya wasomi wa vyuo vikuu kuona kama chama kitakachokuwa mkombozi wa wanyonge. Wanafunzi hao wameanza mchakato wa kuunda matawi ya chama hicho...
  20. Roho Mbaya

    Nyumba ya kupanga Sinza,K nyama,Mwenge

    Nahitaji nyumba ya kupanga, chumba kimoja na sebure au iwe self contena Isizidi tsh 150000 Mawasiliano njoo pm
Back
Top Bottom