Search results

  1. K

    Nimemrudisha mke na mtoto ukweni baada ya kukosa kazi kwa miezi 3

    Ukiona maisha yanakuwa magumu sana ndio unakaribia mwisho wa mateso.Kujiuwa sio solution ya matatizo Bali ni kujiongezea adhabu kwa mwenyezi Mungu.Baada ya siku arobaini utapata jibu la shida zako
  2. K

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Safi sana tulikuwa tunapelekwa kubaya!
  3. K

    Mtoto wangu hafanani na mimi kabisa, anafanana na mtu anayefanya kazi na mke wangu ofisi moja

    Pole, kufanana inaweza kwenda mpaka kizazi cha tano 'physical appearance' kwa sababu hiyo huwezi physically ukatumia kutofanana na mwanao kama kigezo cha kuibiwa mkeo.Ukitaka kuingia undani ni DNA, ambayo ugumu wake naona umeona. Nakushauri mpokee huyo mwanao achana na mawazo ya kumfananisha na...
  4. K

    Wachapana makonde kisa mke wangu

    Hakuna ushauri atakuumiza sana kama utendelea nae, Achana nae huyo
  5. K

    Prime Minister Netanyahau speech on Congress

    MEANDU Kwa wake wajuao wamarekani ni jews hivyo Hivi no vita ndani ya Marekani yenyewe supported na Iran.
  6. K

    Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

    Umenena yaani kwa sasa ishi na demu kwa akili sana maana wao wanajifanya wajanja nendakichwakichwa uone yaani umendika point
  7. K

    Dada yangu anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo chini baada ya habari

    Mshauri akapime na asikate taamaa maana kwa sasa dawa zipo na anaweza ishi zaidi ya miaka ishilini ijayo
  8. K

    Ndoa yangu hatarini kuvunjika

    Pole sana ndugu,nakushauri uhame hapo nyumbani kwa muda mkeo asijue upo wapi maisha yako yanathamani sana kuliko huyo mkeo.Tafuta tiba tena na jaribu kusoma zaburi 35 kila siku usiku na asubuhi unapo ammka.
  9. K

    Ndoa yangu hatarini kuvunjika

    Dunia kubwa sana hii na ina mambo mengi,nakushauri hama kwa muda hapo nyumbani mkeo asijue upo wapi tafuta tiba tena harafu sikiliza naamini kuwa utapona.Muombe mungu na soma sana zaburi ya 35 kila siku asubuhi na usiku unapolala.
  10. K

    Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

    Wanaishi wilaya ya kyela na tukuyu, Wachapakazi na majasili, Wanajali sana familia zao, Huwa hawabembelezi mtu si mke wala rafiki, Ukileta mchezo unakula kichapo au kama ni mke taraka hiyo, Ukileta za kuleta wanakuchana live!, Wanajua kupenda na hujituma kwelikweli loh!
  11. K

    kituo cha afya chalinze chakosa dawa za kuhudumia majeruhi

    Huo ni uzembe wa kituo chenyewe wala si wizara.Kwani kwa sasa wizara ya afya inagawa fedha kulingana na idadi ya watu wanao hudumiwa katika kituo cha huduma za afya.Mara nyingi katika vituo vingi watendaji huagiza dawa ambazo wanaona zina maslai kwao na kuacha dawa ambazo ni life serving kama...
  12. K

    Kumekucha ubungo terminal

    Hizo ni dalili za mawazo finyu kwani bado tuna sehemu zenye nafasi kubwa kwa ajili ya kujenga stand kama madau mmoja alivyo pendekeza KILUVYA.Huku ni kutafuta uraji tu.Kwa kumbukumbu zangu eneo hilo la UBT ni mali ya UDA labda kama umiliki wake ulibadilishwa.Nchi hii kila siku jambo jipya la...
  13. K

    PENDEKEZO: Sikukuu ya NANE NANE ifutwe

    Isifutwe bali iboreshwa kwa kunufaisha wakulima wanyonge wa tanzania.Huko vijijini wao wanasherehekea vizuri tu tena waipenda sana kwani tunawatabua.
  14. K

    Wanasiasa na Lugha ya Vita: Hekima ya kupunguza sababu ya kuingia vitani na Malawi

    Habari toka kyela zinasema wanajeshi wa JWTZ tayari wapo kyela kwa wingi lakini hari ni shwari,busara ya hitajika hapa!
  15. K

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Wazungu watu wa ajabu sana nilipatwa na mstuko baada ya kununua hizi ramani zinazo uzwa mtaani na kuona kwamba ziwa nyasa limeandikwa lake malawi nadhani walifanya kusudi kutangazia kuwa ziwa nyasa si nyasa tena bali ni lake malawi hawa jamaa huwa naanzia mbali ili kufanikisha azma...
  16. K

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Tuwe na nguvu za kivita au la jambo muhimu ni serikali kuepukana na vita kwani bado tuna vita kubwa ya umasikini na ujinga bila kusahau maradhi vita si jambo jema tuepukane nalo kwa kufanya mazungumzo.
Back
Top Bottom