Search results

  1. M

    Je, Upo tayari ama unahitaji kuwa na mtoto bila ya ndoa?

    Mimi ni natafuta mwanamke aliye tayari kuzaa bila ndoa kama upo tuwasiliane vigezo masharti kuzingatiwa.
  2. M

    Nimechoka sana habari za hali siasa CHADEMA zimekuwa za kupikwa kila wakati, kwanini?

    Yaani toka ujio wa waziri mkuu mstaafu habari za CHADEMA zimenifanya kuwa kama kila keyboard imekuwa ipo busy na viongozi hawa mara Dr. Slaa kagoma mara Mh. Mnyika naye kagoma mara Mh. Tundu naye kagoma daah mnatuchosha kabisa hata habari ipi iaminiwe sasa kwani kila mmoja akinywa maji ya UHAI...
  3. M

    Dhana ya uwajibikaji kwa kiongozi je ilizingatiwa?

    Uongozi kwa njia ya vitisho ni uongozi wa kudumu kwa muda mfupi tu. Watu wanapokosoa maamuzi ya kijinga wanatumia haki yao kama raia na wanaweza kuelimishwa kwa nini maamuzi hayo yalifanyika ama namna jambo hilo linalosibu jamii laweza kufanyiwa kazi. Viongozi wanatenda kwa ajili na kwa niaba ya...
  4. M

    Gari aina ya Toyota land cruser prado inauzwa

    Gari aina ya toyota land cruser prado inauzwa ipo arusha na ni imported kutoka japan this month in CC 2690 imetembea km 38502 inatumia petrol na ina piston nne kwa anahitaji wasiliana nami kupitia mail papaking4@yahoo.com asante
  5. M

    Ombi maalumu na mawasiliano kwa wana chadema walio IGUNGA

    hello Nina utashi wa kujua ukweli kuhusu hali halisi ya igunga hivyo naomba mwenye contact za mkuu wa idara ya kampeni ya CHADEMA naomba anitumie katika mail yangu papaking4@yahoo.com ama za mwenyekiti wa mkoa ama wa wilaya hata za mjumbe yeyote wa chadema aliyepo huko igunga asante
  6. M

    Elections 2010 jamani demokrasia inaanza kuchakachuliwa na viongozi waroho wa madaraka wa ccm

    tafadhali Makambo na viongozi wa CCM msituharibia amani yetu na uchumi wetu kwa uchu wa madaraka ya Dr. Batlilda Buriani na Lowasa kwani sasa leo nimeshuhudia Lowasa anaingia katika ofisi za manispaa ya Arusha kufanya nini kwa wadhifa upi wakati madaraka yake aliyashindwa na huyu mgombea wa CCM...
  7. M

    mambo muhimu ya kutafakari na kuchukua hatua

    Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi? Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu...
  8. M

    Elections 2010 Kweli kuna maadili ya uchaguzi ama ni porojo kwa kuwa vyombo vya habari havitendi hak

    Mimi inaniuma sana kuona namna vyombo vyetu vya habari vilivyo mahiri machachari katika kupotosha jamii kwa haswa katika ukweli wa hali halisi ya taifa letu kweli ukisoma magazeti yote yanazungumza maisha ya wanasiasa ni kweli nakubali ni moja ya maadili je watu kama Prof. Lipumba mwenye...
  9. M

    Elections 2010 Fanya uamuzi sasa fanya kwa umakini piga kura katika uchaguzi mkuu ujao

    [SIZE="2"]Ndugu wana jamii forams ni muhimu sana kujitolea ile kuweza kuleta mabadiliko ya kisiasa ili uchumi wetu uweze kuonguzwa na watu wenye mtizamo chanya hivyo basi wewe ukiwa ni mwanachama ama momaji wa jamii forums naomba sana sana uhakikishe unakuwa mpiga kura kwa kuwa kura yako ni...
Back
Top Bottom