Search results

  1. A

    Msaada tafadhali

    Habari zenu wapendwa nawaomba munisaidie tatizo langu najihisi kua ni mjamzito mana dalili zote za ujauzito ninazo na hapa chini ya kitovu pameanza uvimbe. Tatizo langu nikwamba napata hedhi kama kawaida tarehe inapofika ispokua haina maumivu yoyote tofauti na siku za nyuma Je hii ni hali ya...
  2. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    niende wapi ili kupata majibu ya kutosha?
  3. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    Style ya kupinda mgongo hasa mumewangu akinibena
  4. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    Habari zenu wapendwa. Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style. Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
  5. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    na matumizi yake yapoje kwa mwananke asie bleed?
  6. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    nimekuelewa shukran, ila mimi nanyonyesha je mwanangu hatodhurika nitapotumia?
  7. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    sio mapema mwanangu anamiezi mitano naogopa kumbebea mimba na babake hawezi kuishia nje au kama kuna njia nyngine ya kupanga isiyo ya kisasa naombeni mnifahamishe
  8. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    Habari zenu wapendwa, Naomba mnijuze ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka juu juu au unaingiza ndani ukeni?
  9. A

    Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

    Mungu ndie mpangaji wa yote, hata mimi jirani yangu yalimkuta kama yako ila yeye alikataa kufunga uzazi kwani alikua na kiu ya mtoto wa kiume, akapata mimba na akalea mimba yake ilipofika siku akajifungua salama na ni miujiza tu mana alijifungulia nyumbani hakuwahi hata kupelekwa hospital, na...
  10. A

    Naomba ushauri

    Hapana ni sawa sawa kwani nilijiandaa kupata ujauzito hivyo tarehe niliihifadhi
  11. A

    Naomba ushauri

    na jee! Nirahisi mimi kujigundua kua nina gesi au sio rahisi? Kwani hadi sasa sijaona ishara yoyote ya gesi tumboni kwangu hii ndio kwanza unanijuulisha wewe
  12. A

    Naomba ushauri

    asante, ila hiyo hewa mtikisiko wa tumbo unaweza kuendelea hata mtu anapozuia pumzi?
  13. A

    Naomba ushauri

    asante
  14. A

    Naomba ushauri

    Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wa hii hali nilonayo, nna ujauzito wa miezi mitatu na nusu ila nahisi kama kiumbe kinacheza tumboni na mtikisiko wa tumbo huonekana hata kwa kuangalia tumbo tu, je hakuna tatizo maana nasikia mapigo huanza kusikika katika wiki ya 18 hadi 20 kwa mimba ya...
  15. A

    Naomba msaada wenu

    shukran saaana
  16. A

    Naomba msaada wenu

    nipo unguja
  17. A

    Naomba msaada wenu

    shukran, nami naomba mungu anipe wa kiume kwani ndie mtoto wangu wa kwanza inshaallah
  18. A

    Naomba msaada wenu

    Habari zenu wapendwa, naomba mnisaidie orodha ya vyakula na matunda ambayo nikitumia naweza pata calcium na vitamin D kwa wingi ili niimarishe afya yangu, mimi ni mja mzito na ni miezi mitatu sasa tangu nibebe mimba lakini nimekutwa na tatizo la magoti kupiga kelele wakati nainuka nisaidieni...
  19. A

    Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

    Huu ni uongo wala dini yetu haina uzito wowote, kazi ipo kwenu nyinyi maana hata hiyo dini alikujanayo issa hamuifati sasa sijui nani atakua muombez wenu, injili tunayoijua waislam ni ile aliokujanayo issa na tumeikubali sio yenu ya kutunga
  20. A

    Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

    Hiyo ni injili aliyokujanayo issa mwenyewe, na mlitakiwa msiongeze kitu ila wazee wenu wameongeza na mengine kuyapunguza, na issa alisema mumuamin mungu ila nyinyi hamjamuamin mwenyewe mungu amesema hakuzaa wala hakuzaliwa, nyinyi mmekanusha kwa kusema issa ni mwana wa mungu
Back
Top Bottom