Search results

  1. M

    Kazi na dawa ndo kama hivi

    Huyo dogo baada ya hapo sijui kama concentration ya mazoezi ilikuwepo. CC ndetichia
  2. M

    Orange CAF Super Cup, El Ahly vs CS Sfaxien

    Mechi inaendelea baina ya wapinzani wa Yanga mabingwa watetezi na wa Club bingwa dhidi ya mabingwa watetezi wa Confederation Cup timu ya CS Sfaxien, hadi sasa El Ahly inaongoza kwa goli moja.
  3. M

    Huu wimbo unahusika sana kwa tuliolowea miji mbalimbali

    Sikiliza huu wimbo wa Dr Remmy, kuna meseji ya ukweli kabisa kwa maisha ya sa hivi, unakuta mtu umekaa muda mrefu mbali na nyumbani halafu wanataka urudi utarudi vipi mikono tupu.
  4. M

    Tofauti kati ya Simba, Yanga na Azam katika Picha.

    Hapa chini ni kocha mpya wa Simba akikagua uwanja wa mazoezi unaotumiwa na timu hiyo. Na hizi picha hapa chini ni vijana wa Yanga wakiwa mazoezini. Chini ni kocha mpya wa Azam akiwa anatambulishwa kwa wachezaji katika uwanja wao ambao hutumika pia kwenye baadhi ya mechi za ligi kuu...
  5. M

    Pondamali na manyika

    Nipo hapa nawaangalia Juma Pondamali na Peter Manyika kwenye kipindi cha michezo cha EATV, kila mmoja anajisifu na kumkandia mwenzake, lakini cha ajabu si katika fani zao zile za zamani bali ni katika muziki, hawa jamaa ni balaa. Itabidi wadau wa Yanga mnunue kazi zao ili kuwainua kiuchumi...
  6. M

    Happy Birthday Five Nil.

  7. M

    Live Updates: Mechi ya kirafiki kati ya Toto na Simba.

    Mechi ya kirafiki baina ya timu ya Toto ya jijjini Mwanza na mabingwa wa Tanzania bara Simba sports club ya jijini Dar es Salaam inaendelea hivi sasa katika uwanja wa CCM Kirumba na hadi naandika ni dakika ya 37, timu ya Simba inaongoza kwa goli moja lililofungwa na Uhuru Selemani dakika ya 29...
  8. M

    Kuelekea mechi ya jmosi Yanga wamtimua Timbe.

    Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one. My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta visingizio ooh wachezaji walikuwa hawajazoea mfumo wa kocha mpya.
  9. M

    Chamaki nchanga-video

    Mambo ya Chamaki Nchanga huko Mkoani Mtwara (MICHUZI BLOG) - YouTube
  10. M

    Rage athibitisha kuwa Mama Spika amwalika Mnyama Bungeni.

    Ismail Aden Rage aongea (Michuzi blog - YouTube
  11. M

    Fifa yaruhusu itc ya kago itolewe

    Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) limeruhusu Shirikisho la Mpira wa Miguu Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) kwa mchezaji Gervais Anold Kago aliyejiunga na timu ya Simba kutoka Olympic Real de Bangui ya huko. FIFA imeruhusu ITC itolewe baada...
  12. M

    Ngao ya hisani

    Simba ina kila sababu ya kutopeleka timu uwanjani siku ya jtano na kuna uwezekano wa kujiondoa kwenye ligi kuu endapo TFF itashikiria msimamo wake ya kwamba Gervas Kago hajatimiza masharti ya usajiri.<br /> <br /> Akiongea kwenye taarifa ya habari ya jioni ya TBC1 m/kiti wa Simba Aden Rage...
  13. M

    Watsap piipo,we represent tiii ziii for real - kuna umeme huko?

    Watsap piipo,we represent tiii ziii for real - kuna umeme huko? yah yah ukame ukiisha, tatizo la umeme litakuwa historia.
  14. M

    Watsap piipo,we represent tiii ziii for real - kuna umeme huko?

    TZ hip hop representing, Yah yah mgawo utakuwa historia. chorus: (Tatizo ukame, ukame ukame) x4
  15. M

    Tp mazembe wamnunua ochan

    Patrick Ochan ameuzwa kwa dola laki moja, source tbc1.
  16. M

    Picnic ya wazee

    http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=
Back
Top Bottom