Search results

  1. K

    Hili liwe funzo kwa polisi wote

    Ni kweli kabisa kwamba polisi watafakari faida na madhara ya kutekeleza amri wanapopewa amri na wakubwa zao. Kama mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi, hivi hakujua kuwa kuua ni kosa la jinai kisheria? Mauaji anayotuhumiwa nayo yalikuwa na tija gani kwake. Polisi changanyeni na zenu, kumbukeni kwamba...
Back
Top Bottom