Search results

  1. Revolution

    NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Hili jibu ni murua sana. Naomba ujumbe huu anakilishwe waziri mwenye dhamana. Kwamba dawa za bei nafuu ni mnadala ili watumishi wa nhif waweze kujenga magorofa na kununua mavieite.
  2. Revolution

    Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

    Wewe ambaye huwa hujadili watu, umevumbua hata kibatari cha kuwasha?
  3. Revolution

    Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  4. Revolution

    Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

    NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze. Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu...
  5. Revolution

    Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Kama issue ni hivyo si wanaweza kukutengenezea hati wakabackdate documents zote ili uonekane ni wa kwanza?
  6. Revolution

    Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Nao wametoka Bombay, New Delhi na GOA hiyo ni nje ya wa mikoani + Dar[emoji23][emoji23]
  7. Revolution

    Msaada jamani mwenye connection na Ma HR wa viwanda anisaidie kuniunganisha

    Mtoa mada kweli umepambana, Mungu anaona bidii yako na atakubariki usikate tamaa endelea kukaza buti utafanikiwa tu.
  8. Revolution

    Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Inaelekea ulikuwa na majibu tayari, sasa kwanini unafungua uzi na kuuliza watu? Samahani lakini.
  9. Revolution

    Hebu taja hapa zile furaha ndogo ndogo ambazo hazitoshi kumwambia mtu ila huwa unajisikia raha

    Mko na wana mnakata vyombo mfukoni una 30k unajua kabisa mmeshazidisha bill ila unaona poa tu ngoja mmwagilie roho, mangi atakuandika kwenye daftari, anatoka mtu huko anaifuta bili yote anawazungushia na tano tano kila mtu!! Mtu weweee[emoji23][emoji23]
  10. Revolution

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hii inawezekana sijaeleweka wadau? Ni wimbo unapigwa mara kwa mara inawezekana ni mwaka jana ama mwaka huu
  11. Revolution

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo mpya huwa jamaa anaimba vizuri sana ni mpya lakini ni kama wa kifaransa hivyo hata kujua jina imekuwa ngumu...ni kama kwenye chorus wanamalizia na ...bon a saan...bon a saaan...tutaata tutataaa...bon a saan...boon a saan[emoji3][emoji3][emoji3]
  12. Revolution

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Wana JF msiwe mnaandika ili kujifurahisha eti ni uzembe mzazi/wazazi hell no! Kukojoa kwa mtoto haina uhusiano na malezi wala sio makusudi ya mtoto ni out of control situation ambayo inasababishwa na either mtoto kuwa na usingizi mzito sana, kibofu kidogo kinachoshindwa kuhimili kuzuia mkojo...
  13. Revolution

    Fahamu hili kabla hujaamua kuacha ndoa au kutoka nje!

    Sawa, Na utaendelea kuishi nae kwa amani na upendo kabisa baada ya yeye kufanya jambo lisilo la kibinaadamu?
  14. Revolution

    Fahamu hili kabla hujaamua kuacha ndoa au kutoka nje!

    Hivi ikitokea una mke, mna familia na mnapendana lakini kila mara kuna migogoro utafanyaje? Na ikitokea mwenzako hana upendo na ndugu zako unafanyeje? Mfano una kaka yako ulikuwa unamuuguza akafanyiwa operation lakini kabla ya kwenda kwenye operation ukagombana na mwenzako kutokana na ugomvi...
  15. Revolution

    Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

    Malizia kwamba wamekopa pesa nyingi kwa kisingizio cha covid 19 [emoji23][emoji23]
  16. Revolution

    Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

    Arusha na Moshi pia kuna beggars wengi sana mostly Kikuyu and Kambas. Even most of whores are from Kenya
  17. Revolution

    I have lost taste in listening to local radio stations especially while driving to work

    The oversight authorities have completely failed to censor the adultery contents on tvs/blogs/social media/radios and on various magazines.
  18. Revolution

    Ilikuwa ni vigumu kwa 'unafiki' wa Kagame kuendelea kuwa rafiki wa Magufuli

    Kupewa nyumba mtu ambaye sio mfanyakazi wa Serikali hakukatazwi, kwani yeye ni mtanzania pia, labda upewaji ukiuke utaratibu hapo ndipo inaweza kuwa hoja.
  19. Revolution

    I have lost taste in listening to local radio stations especially while driving to work

    Most of radio presenters lack some insights information on various matter (espicially critical and serious news or data). You will find most of them make mistakes/misinform the public on such news. This is mainly due to employing people who are fame without regarding to their intellectuality...
Back
Top Bottom