Search results

  1. M

    Kwanini ngono ni dhambi?

    Mkuu Buijbuji heshima kwako. Mimi kwa mawazo yangu hii mada imekaa kifalsafa sana. Ni sawa na kuuliza Dhambi ni nini? Ni kitu gani hufanya tendo zuri likawa dhambi hata pale linapokuwa limeleta furaha kwa wahusika wote?
  2. M

    Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    Tunashukuru kwa taarifa na tunamuombea ndugu yetu na Rais wetu nafuu na afya njema.
  3. M

    Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

    Mkuu, huyo Abrahman Kinana ana uhusiano wowote na KM wa CCM Abdulrahman Kinana?
  4. M

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Mheshimwa kwenye mahakama yako unafunga watu kutumia emotions baala ya sheria na ushahidi usio na shaka?
  5. M

    msaada: niko mwenge nataka kwenda kambi ya jeshi lugola naomba maelekezo

    Ingalikuwa enzi zetu tuliopitia JKT mtu huibuki tu kuuliza kuelekezwa ktk kambi ya jeshi la nchi hii eti halafu watu wakaanza tu kukuelekeza kabla hawajakuuliza wewe nani na shida yako nini. Anyway, dunia ya leo teknolojia ime-advance sana kiasi kwamba next time huna sababu ya kuuliza humu...
  6. M

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Mkuu huyo mdogo wake M7 ni Salim Saleh au?
  7. M

    Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    Hivi unapofuatilia tunavyojadili masuala ya Maziwa Makuu ni kweli unatuona (wachangiaji wengi) ni watu wenye mawazo ya kuwa na uwezo wa kuchimba gesi au mafuta? Jamii ya watu tuliozowea na kupenda kutumia(spending) tu na si kuwekeza (investing) wala kutafuta (searching), huoni tunashabikia...
  8. M

    Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

    Hivi kweli mwandishi makini na mhariri makini wanaweza kupitisha habari kama hii tena ukurasa wa mbele wa gazeti linalotakiwa kuwa makini? Au ndo mchezo ule ule ambao matokeo yake kila anayefiriki sawasawa anayajua?
  9. M

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    ....... Heshima sana kwako Baluhya kwa mawazo yako ya busara. Tumekuwa jamii ya watu wa ajabu sana na wa kuonewa huruma. Ila ukweli ni kwamba no society can manage to stay afloat for long in defiance of the weight of its own stupidity. M-H
  10. M

    Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

    Thanks Kituko, your arguments are more convinging
  11. M

    Salaam wanajamii

    Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa miaka kadhaa lakini nimeamua kujiunga leo. Nimeona ni utamaduni mzuri kusalimia kwanza kabla sijachangia jambo lolote. Nawatakia siku njema. MD
Back
Top Bottom