Search results

  1. W

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Na wasiwasi na mtuhumiwa endekawa siye
  2. W

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Usije kuta tumepigwa changa la macho aliyepandishwa kizimbani siye yule muuaji wa mwangosi
  3. W

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Neno la Mungu linasema Kisasi ni juu ya Mungu.Namwomba Mungu alipe kisasi kwa wote waliotenda unyama huo na kuiacha familia yake ikibaki ndani ya mateso na huzuni kiasi hicho na cha kutisha namna hiyo. Roho inaniuma sana nikimtazama huyo mtoto na hata wadogo zake.Mungu awape faraja
  4. W

    Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

    Hatimaye Mahalu ashinda kesi
  5. W

    Mgodi wa Barrick (Bulyanhulu) wafungwa; kisa NSSF na PPF, wafanyakazi wako tayari kupoteza kazi!

    Hivi wakati hii sheria inapitishwa wabunge walikuwa wapi na je hawakuiona hasara zake?maana nilisikia kuwa wao wakimaliza muda wao wanapata mafao yao.je wale wabunge wanaokuwa mbele kutetea maslahi ya wanyonge walikuwa wapi?
  6. W

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    serikali inajijengea mazingira magumu kwa wananchi,ikielezwa ukweli inasema magazeti yanachochea vurugu wakati wao wenyewe ndio wanaoleta hizo vurugu
Back
Top Bottom