Sio za siku nne.
Kauli iliyopatikana leo ni kuwa cheque iko kwa Mkurugenzi. Hatari iliyopo ni kuwa siku za kazi zilizobaki kwa wiki hii ni kesho na keshokutwa tu. Wajuzi wa mambo wanasema walimu wa Sekondari wilaya ya Mkinga mna hali ngumu sababu viongozi wenu hawajali, muda mwingi wako bize...
We pia waweza kutafsiri.
Ni rahisi, copy kilichoandikwa, kisha paste hapa: Google Translate
Kumbuka ku'detect language as 'Swahili'
Me nimefanya hivo ikatafsiri hivi:
Wewe ni kweli inayotolewa kwa mtu. Kuanza tarehe na kemia kukua na nguvu na nguvu. Unaweza kuchukua mambo ya ngazi ya pili na...
Tafadhali nijuze hili;ile promotion katika airtel money kwa jina la HAKATWI MTU HAPA ishakwisha? Nimeuliza sababu silioni tena tangazo lake hapa JF,badala yake naona la YATOSHA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.