Search results

  1. Ngoshaya mbwa

    Madawa ya Kulevya: Viwanja vya Ndege vya Dar na Kilimanjaro vyamchefua Kikwete kuwa uchochoro!

    Kwa mtazamo wangu nia ya mambo yafuatayo katika nchi yetu sio ya dhati na ninawasiasi iwapo hawa wakubwa wetu hawahusiki na haya. 1.Biashara ya madawa ya kulevya-iwapo viongizi wetu hili linawauma na kuwakera wangelitungia sheria kali mfano ya kuwafunga kifungo cha maisha wale wote wanaokamatwa...
  2. Ngoshaya mbwa

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    :israel:Kwa staili hii wananchi tusitegemee kupata katiba iliyo bora, iwapo hawataki hata tuufahamu ukweli hili ni tatizo. Shiiiiiiidah
  3. Ngoshaya mbwa

    Bunge maalum la katiba lahairishwa jioni hii baada ya vurugu kutokea

    Oooooooooops,Tanzania nani amekuroga?:flypig::shetani::shetani:
  4. Ngoshaya mbwa

    Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

    Je vitabu vya dini vina faida gani iwapo mioyo yetu imejaa maovu tena yasiyosemekana?,mfano:wizi,unyang'anyi,uasherati,ufiraji,chuki,ubinafsi,majivuno,na mambo kama hayo kwa kisingizio cha dini?. Kama kweli tunampenda mungu kwa nini tusiyaache maovu yetu kwanza?,
  5. Ngoshaya mbwa

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Nilidhani una kitu cha kuandika, acha ushabiki wa kishirikina. Kwa hiyo watoa kafara ni polisi si ndio?
  6. Ngoshaya mbwa

    Tanzania's Govt warns on 'Confidential documents'

    Kwa nachofahamu sheria iliyopo inasema anything can be stated confidential kama kiongozi wa juu ataona hivyo. Huu ni upuuzi mfano mzuri ni wizi wa EPA by Deep green,etc eti inahusisha ununuzi vifaa vya jeshi so lisizungumzwe uongo mtupu. Kwa kuwa hukumu sio kubwa tunakwenda jela hizo 2 years...
Back
Top Bottom