Search results

  1. Njowepo

    TCRA saidieni kwenye hili la vifurushi, hali tete

    Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo; ~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB. ~ 50,000 Oct Package nilipata...
  2. Njowepo

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Ili shamba lina zaidi ya miaka 45 na mpaka reli ilijengwa kwenda maeneo yale. Tungekuwa tumeliendeleza huu uhaba wa ngano sasa ingwekuwa kuna ahaueni. Nadhani ni mda muafaka wadau sector binafasi kwa kushiriana na serikali kufufua kilimo cha Ngano aya maeneo. Pata habari kamili kuhusu ili...
  3. Njowepo

    Kiasi tulichokopa kama taifa Machi - Desemba 2021 ni 1.3tril au 6tril au 10tril?

    Wiki hii baada ya speech ya Spika naona makada wa CCM,TUndu Lisu pamoja na James Mbatia nao walitoa yao ya moyoni. 1. Makada wa CCM wanasema mama amekopa just 1.3tril ivyo bado tunakopesheka wapo walioenda mbali na kuweka % ya viwango inchi mbali mbali duniani zinavyokopa. 2. Tundu LIssu...
  4. Njowepo

    Faida 15 za kula tunda la parachichi kiafya

    Avocado health benefits are extensive and include: Avocado eaters tend to be healthier. A 2013 study published in the Nutrition Journal found that avocado consumers tend to have higher nutrient intake and lower rates of metabolic syndrome. They also have lower weight, lower BMI, less belly fat...
  5. Njowepo

    The Green Gold from the South

    Kusini ili zao huitwa green gold wengi wametoka. So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa. UKipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years (unaweza endelea kuvuna mpaka umri wa miaka 100 cha msingi matunzo) Mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka...
  6. Njowepo

    Mlima Kilimanjaro washinda Tuzo za World Travel Awards

    Breaking News!!! Mlima Kilimanjaro washinda Tuzo za World Travel Awards zilizofanyika Zanzibar kama kivutio kinachoongoza Afrika. Tanzania tumepata tuzo 6, Kenya wamepata tuzo 21 1. Africa's Leading Beach Resort- Diamonds La Gemma, Zanzibar 2. Africa's Leading Luxury Lodge- Singita Sasakwa...
  7. Njowepo

    Tanzania’s economy will be at 20% larger than Kenya in a decade.

    I gave a talk on the economy to a youthful management team of a Kenyan company recently that elicited an unexpected reaction to what I thought was an obvious matter of fact, this being that Tanzania is on course to overtake Kenya’s economy in size — in five years at most — and if the current...
  8. Njowepo

    Mikoa 17 na wagonjwa zaidi ya 7000 wa kipindupindu Tanzania

    Jamani its a wake up call kwetu sote maana watu zaidi ya 106 wameshakufa mpaka sasa kitaifa na zaidi ya nusu ya mikoa huu ugonjwa umetapakaa. Tuzingatie usafi Facts and figures as per Azam TV news at 20hrs
  9. Njowepo

    Tumshukuru Mola kwa kuwa uchaguzi mkuu itafanyika kesho

    Wagombea wote nane kwa kiti cha uraisi mola amewalinda na hatiamaekumaliza miezi miwili ya kampeni. Hivyo kesho twaitimisha ili zoezi ili Tanzania mpya izaliwe. Tuwaombee wale waliotangulia mbele za haki mola awalaze mahala pema peponi
  10. Njowepo

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Kiwanda cha General Tyre kufunguliwa muda wowote kuanzia hivi sasa.Leo wajerumani wamekabidhi shares 26% kwa serikali hivyo 100% GT iko kwa serikali ambapo balozi Ombeni Sefue alishuhudia hilo tukio. Katibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara anasema muda wowote wanaweza kufanya trial run...
  11. Njowepo

    Huu sasa ni mda muafaka kukumbushia ada za JF kuelekea Oct 2015

    Hii inanikumbusha 2010 JF ilivyokuwa busy na mwaka huu itakuwa busy kupita maelezo. Kuna jamaa yangu jana kajiunga na kifurushi cha mwezi nkamuuliza mbona MB chache ivyo utakata mwezi akasema mimi JF tuu kupata yanayojiri. Invincible ni mda muafaka kukumbushia watu ada zao. JF itajengwa na wana JF
  12. Njowepo

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Live muda huu Prof Lipumba anasema Oktoba Magufuli na Lowassa wote wanatoka CCM.So CCM itakuwa na wagombea wawili. Prof. Lipumba yuko Rwanda anafanya utafiti pia alikuta missed call ya Dr. Slaa alipopiga hakupatikana. Chanzo: Azam TV habari saa mbili usiku leo.
  13. Njowepo

    Dr J.Pombe Magufuri personality type A

    Type A" individuals as ambitious rigidly organized, highly status-conscious, sensitive, impatient, take on more than they can handle, want other people to get to the point, anxious, proactive, and concerned with time management. People with Type A personalities are often...
  14. Njowepo

    Geothermal potentials in tanzania

    Projects Overview of Activities in Tanzania GPL currently holds six Prospecting Licences in Tanzania through its subsidiary Geothermal Power (Tanzania) Limited (GPT) and is actively inspecting potential in neighbouring countries. Extensive geothermal investigation has been undertaken by...
  15. Njowepo

    RE:US-China Rivalry Exemplified in Obama Visit to Tanzania

    By Gabe Joselow June 25, 2013 NAIROBI — One of the goals of U.S. President Barack Obama’s upcoming tour of Africa is to promote U.S. business interests across a continent now dominated by China. The...
  16. Njowepo

    2013/14 bajeti:bilioni 2,692.6(2.7 trillions) kughalimiwa na fedha za nje/wahisani

    131.Mheshimiwa Spika, kwa mwaka 2013/14 jumla ya shilingi bilioni 5,674 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, ambapo kiasi cha shilingi bilioni 2,982 kitagharamiwa kwa fedha za ndani. Kati ya kiasi hicho, shilingi bilioni 552.3 zinatokana na mkopo kutoka vyanzo vya ndani...
  17. Njowepo

    2013/14 bajeti:viwango vipya vya motor vehicle licence fee

    120.Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya Usalama Barabarani, SURA, 168 ili kuongeza viwango vya Ada ya mwaka ya leseni za Magari (Annual Motor vehicle Licence Fee) kama ifuatavyo: (i)Gari lenye ujazo wa Injini 501.cc –1500.cc kutoka kiwango cha sasa...
  18. Njowepo

    President Delivery Unity: Omari Issa kuwa CEO wa kwanza

    Kuanzia kesho Omari Issa ndo atakuwa afisa mtendaji mkuu wa PDU All the best CV YAKE KWA UFUPI: Chief Executive Officer, Investment Climate Facility for Africa (ICF), Tanzania BSc (Hons), Polytechnic of Central London; MBA, Columbia University, New York. Formerly: Deputy Chief...
  19. Njowepo

    Ebu tuyachambue madini ya Niobium yanayopatikana Pandahill huko Songwe (Mbeya Vijijini)

    Kampuni ya RECB Limited inamiliki leseni Na. ML 237/2006, ML 238/2006 na ML 239/2006 kwa ajili ya kuchimba madini ya niobium kwenye mradi wa Pandahill huko Songwe (Mbeya Vijijini) Matumizi yake I. Production of high-grade structural steel &Steel production II...
  20. Njowepo

    The country’s ( Tanzania ) system is marred by corruption and self-interest.

    Dar es Salaam. If the Dar es Salaam port is crippled by inefficiency, it is not because the country lacks competent professionals in its management, according to analysts. Tanzanian experts have done wonders in modernising ports in other parts of Africa but they are finding it difficult to...
Back
Top Bottom