Search results

  1. Kitaeleweka

    Msaada: Mwenye uelewa jinsi ya kupata kibanda cha Airtel Money

    Na mimi nahitaji hiki kibanda mwenye nacho au anaejua namna ya kukipata tuchekiane 0766369445
  2. Kitaeleweka

    Nape: Uteuzi huu wa Mhe. Rais una ujumbe mkubwa sana kwenye vita dhidi ya Madawa ya Kulevya

    Ukiona hadi Nape kaandika haya ujue naye kashachoka na kinachoendelea ndani humo. Mtie aibu shetani.
  3. Kitaeleweka

    Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    nchi ya mihemuko na kiki. bila hivi mtu hapandi cheo
  4. Kitaeleweka

    Natafuta scheme of work za Geography zilizoandaliwa

    mbona watu mnatoka mapovu? kama wewe una andaa well and good lakini zipo scheme zimeandaliwa na huwa zinasambazwa esp za masomo ya science. Wee endelea kuumiza kichwa life is not as complicated as u think!!. sijaomba lesson plans. kwani scheme si ni kupotezeana muda tuu kuedit syllabus na...
  5. Kitaeleweka

    Natafuta scheme of work za Geography zilizoandaliwa

    Natafuta scheme of work za somo la geography kuanzia kidato cha 1-4 na geography ii ya A level. Scheme iwe soft au hard copy. kama kuna aloyenazo au anafahamu stationery zinakopatikana ama anafahamu aliye nazo twaweza wasiliana simu/sms 0766369445 whatsup 0713390402. Thanks in advance.
  6. Kitaeleweka

    jinsi ya kuconnect canon ir3300 kwa crossover ethernet cable

    habari wakuu! naomba msaada wa kuweza kuunga laptop na copier canon ir3300 "n" ili niweze kuprint direct nimeshapata crossover cable ila nashindwa jinsi ya kufanya installation na driver zipio nitumie maana cd ya copier ina driver folders nyingi tuu na setting za kufanya kwenye control pannel ni...
  7. Kitaeleweka

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo yangu ni kwamba magu afunge huu mjadala.
  8. Kitaeleweka

    msaada pls irfanview na riot pluglns kuinstall

    habari ya asubuhi wakuu. Nimedownload irfanview na kuinstall nikadownload riot plugins lakini kila nikijaribu kuresize picha inaniletea pop up inayosema "cant load plugln RIOT.DLL please install or update pluglns from irfanview homepage." naomba kueleweshwa nifanye nini maana riot ninayo na...
  9. Kitaeleweka

    Nahitaji kununua huduma chanel; ninunue king'amuzi au dish for lifetime?

    niko dodoma mpwapwa jee budget nzima itanicost kiasi gani nimechoka kulipia dstv 219000 ndefu mno.
  10. Kitaeleweka

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    huku mbona kuna mheshimiwa pia anatangaza matokeo na yeye si mtumishi wa tume na hajapewa hata onyo. tz ni kichaka kweli
  11. Kitaeleweka

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    mbeya ilikua vile arusha itakuaje sasa. nape atatoboa mkono na bao lake. hahahaaa
  12. Kitaeleweka

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    wadau naomba kuhakikishiwa matokeo ya simbachawene kibakwe na dharau zake.
  13. Kitaeleweka

    Kamati Kuu CCM inakutana asubuhi ya leo, punguzeni presha

    walemavu wa akili sio rahisi kukubaliana kirahisi na hivi wamezoea rushwa watahongana mpaka dakika za mwisho. naombea mamvi wamkate kuchimbike leoleo
  14. Kitaeleweka

    Betri Inayojaa ndani ya Sekunde 60!

    ndo kwaanza technology imegundulika. so be patient nimeziona saa hizi bbc.
  15. Kitaeleweka

    Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

    Chief-Mkwawa ni zaidi ya msaada kwani ni mwalimu pia kwetu tunaoibukia kwenye hii fani. thank u very much bro n live long.
  16. Kitaeleweka

    Dhana ya kubemenda mtoto: Mitazamo, Ufafanuzi na Ushauri

    Kitaalamu hili jambo c kweli lipo kiswahili zaidi. Mtoto anodhoofika kwa sababu ya lidhe mbovu tu. Mtafute dr yeyote atakusaidia hili. Ila kaa umeoa ndugu jihadhari na michepuko tulia na mkeo. Kujisifu uhuni sio ujanja.
  17. Kitaeleweka

    Msaada kwenye umeme jua (Solar Electricity)

    Naenjoy sana kwa sasa na unanipa kipato pia kwani nautumia kuonesha game zote za dstv na azam hivyo inanipa na kipato pia sasa kama jana hapa mpwapwa umeme ulikua unafluctuate a sana game wengine hawakuzifaidi kwa umeme wa tanesco ila solar ni raha sana.
  18. Kitaeleweka

    Msaada kwenye umeme jua (Solar Electricity)

    Mimi nina pannel watts 300 battery n 100x2 za chloride exide kaa mdau alivyosema dry zinachakachuliwa sana na original haipungui 500000 kwa n100 wakati ya maji original ni kama laki2 hivi. Nna charger control ya amp 30 invertor ya watts 300 tv led ya watts 22 na taa mchanganyiko za ac na dc...
Back
Top Bottom