Search results

  1. S

    Mlioko mikoani hembu tujuze

    Kiswahili kinanipa shida sana,lipi neno sahihi 'hebu' au 'hembu'
  2. S

    Nimechoshwa na unene,sasa nimeamua

    Nafanya mazoezi sana,nimejinyima chakula nikaambulia madonda ya tumbo,asali,maji ya uvuguvugu,ndimu vyote nimetumia mwaka sasa unaisha,matunda mboga mboga mpaka zimenichosha-jana nimepandwa na ugonjwa wa ghafla nimepimwa naambiwa presha juu,uzito wangu sasa ni kilo 98 ukilinganisha na urefu wa...
  3. S

    Nimeitwa kufanya kazi SOUTH SUDAN-Nitoeni wasiwasi

    ahsante sana mkuu kwa habari hizo,naomba kama kuna wabongo wapo huko uniunganishe nao nikifika niwatafute ndugu zangu hao...hata kama wapo hapa wajitokeze tuwasiliane
  4. S

    Nimeitwa kufanya kazi SOUTH SUDAN-Nitoeni wasiwasi

    Habari jf members...i salute you comrades...nimekuwa nikiapply kazi nchini south sudan,niliwahi kufanyiwa interview online sehemu tatu tofauti tofauti,ya kwanza ilikuwa ni Kenana sugar industry near nile river basin kwa nafasi ya human resource manager,sehemu nyingine ni mradi wa kutokomeza njaa...
  5. S

    Lapf pensions fund- call for interview

    naona hawaja shortlist...wameita kila aliyeomba
  6. S

    Lapf pensions fund- call for interview

    Ahsante mkuu...nimesoma mpaka nikachoka sijaona jina langu,baadae nitaingia tena niendelee kusoma majina yalobaki maana ni mengi sana
  7. S

    Majina waloitwa interview lapf .....call for interview

    Simu yangu haina pdf,naomba unisaidie kuniandikia majina ya walotoka nafasi ya compliance officer
  8. S

    Lapf pensions fund- call for interview

    naomba kama unaweza kuniandikia majina yaliyotoka kwenye nafasi ya COMPLIANCE OFFICER
  9. S

    Naomba kufahamu ajira za makatibu tarafa

    Kwanini makatibu tarafa wana mishahara midogo hivyo inalingana na watendaji wa kata ilhali wao ni ngazi ya juu kuliko WEO?
  10. S

    Mshahara Wa Mwalimu (Maths, English Medium Primary School).

    kuna shule hapa wilayan kwetu mwalimu wa history na english analipwa laki tisa,pia wanapewa laki na nusu ya nyumba
  11. S

    Msaada:kwa wanaofahamu fursa zinazotangazwa clous fm....ni za aina gani...na zinahusu nini

    ujinga wa jf ni kuacha hoja na kukimbilia upuuzi! Hoja ya mkuu ni nzuri sana ila yameanza majibizano ya kijinga,kwanini usimtafute kwa pm halafu hoja yake ikajibiwa
  12. S

    Ajira za STAMICO

    Si kweli
  13. S

    Ajira za STAMICO

    Habari wakuu! Kuna yeyote anayejua interview ya kazi za stamico itakuwa lini,pia naomba kujuzwa kama wamesha shortlist--ahsanteni
  14. S

    samsung pc for sale

    Hizi computer ni mbovu ajabu,huwa hazina uwezo mkubwa mtandaoni,halafu ni nyepesi ku stuck,ninayo yangu naiuza laki 3
  15. S

    Nafasi za kazi Barrick

    Hizi ni internal wasio waajiriwa wa barrick hawapaswi kuomba
  16. S

    Mfanyakazi anahitaji mkopo wa haraka

    Salaam! Ndugu zangu,kuna jamaa yangu ni mfanyakazi,anahitaji mkopo wa haraka wenye masharti nafuu! Amepata dharura hivyo anahitaji milioni 5 cash mkopo,yupo tayari kulipa deni hilo kwa makato ya mshahara wake--mwenye kusaidia ani PM au aandike namba zake hapa
  17. S

    msaada wa haraka nipo ktk wakat mgum sna kuamua!!!

    jamaa una busara sana! Endelea kusaidia jf
  18. S

    Interview Stamico

    Hujawahi ku operate jackleg machine,washing face,,charging and blasting,fire fighting,re entry procedures,occupational health and safety,house keeping etc then unaomba kuingia stamico
  19. S

    Interview Stamico

    labda sijasoma vizuri tangazo lao....kwahyo unategemea ushindane na mtu ambaye ni mwajiriwa wa barrick au GGM anaomba kazi stamico na wewe ambaye huna uzoefu kabisa! Ndoto za mchana,wenye uzoefu na kazi hizo ndo watakaopata
  20. S

    Kazi stamico

    Uzoefu wa kazi za mgodini unao? Ushawahi ku operate jackleg machine?ceasar,kuchaji face,blasting,fire fighting n.k? Maana walisema uwe na uzoefu kwanza
Back
Top Bottom