Search results

  1. Mongoiwe

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
  2. Mongoiwe

    Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mongoiwe

    ShyRose amuomba radhi Rais Magufuli kwa ujumbe uliosambaa kutokea kwenye akaunti yake ya Instagram. Asema alidukuliwa

    Kada maarufu wa CCM na aliyewahi kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA), ShyRose Bhanji kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika kuwa Hakubaliani na Utawala wa Rais JPM, na yuko tayari kwenda jela Ikumbukwe kuwa Mwanasiasa huyo siku kadhaa zilizopia aliandika...
  4. Mongoiwe

    Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

    Leo katika Mahakama ya Kisutu, kuna makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wamefikishwa mahakamani, watu hawa wanadaiwa kuingia nchini kinyemela kwa kazi maalum. Cha ajabu wanasheria wa Serikali walukuwa wakizuia waandishi wasiruhusiwe kuandika eti sababu ya mahusiano yetu na Rwanda. Hata hivyo...
  5. Mongoiwe

    Kazi na dawa

    POMBE NI HARAMU,JE KWANINI WAKATOLIKI HURUHUSU KUNYWA POMBE,SIO DHAMBI? Kati ya maswali yanayoulizwa na watu wengi sana,hasa ndugu zetu wa imani ya kiislamu na wakristo baadhi ni kuhusu suala la kunywa pombe kwa wakristo hasa wakatoliki. hutuuliza, ninyi wakristo wakatoliki kwanini mnakunywa...
  6. Mongoiwe

    DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

    IMMMA Advocates ni mawakili wa Lissu na Acacia Mining kupitia washirika wao wa Uingereza waitwao DLA Piper. Pia Managing Partner wao S. Magai ni mweka hazina wa TLS. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mongoiwe

    DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

    Masha aliondoka Immma siku nyingi na sasa hivi ana Law firm yake inaitwa Gabriel Law Firm. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mongoiwe

    Kuna wageni kutoka kolomije je siyo misikule kweli?

    Subscribe here for Live Streaming from Ubungo *Injili ya leo itagusa Matendi ya Uwongo* Josephat Gwajima RudishaTv
  9. Mongoiwe

    Francis Ciza (DJ Majizzo), ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za Dawa ya Kulevya

    Jamani DJ Majizzo bado hajaachiwa au mie sijui?
  10. Mongoiwe

    Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa miili ya watu saba iliyokutwa ikielea imekufa ikielea kwenye mto Ruvu ilikuwa ni ya Wahamiaji Haramu. Kauli hiyo ameitoa leo asubuhi wakati wa mahojiano na runinga ya Star Tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi. ================= Habari...
  11. Mongoiwe

    Wizara ya Elimu yakanusha kuzuia wenye Diploma kwenda chuo kikuu

    WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa. Aidha...
  12. Mongoiwe

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa. Aidha...
  13. Mongoiwe

    Diallo asomeshwa namba: Akaunti za Sahara Media zafungwa na TRA kutokana na kodi ya Tsh. Bilioni 4

    Hivi ni vitu viwili tofauti, Bil 1 ni kodi ya pango anayodaiwa na mwenye nyumba, na hii Bil 4 ni koti ya mapato
  14. Mongoiwe

    KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

    Kazi kweli tunakwenda mwendo kasi Sent from my HTC Desire 526G dual sim using JamiiForums mobile app
  15. Mongoiwe

    KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

    Huyu ndiye CHAGUO la Mwanakijiji?
  16. Mongoiwe

    Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Ninavyojua Maswanya ni Meneja as Tigo Kanda ya Ziwa ofisi ya Mwanza hivyo kaamua kutimua abaki Tigo
  17. Mongoiwe

    Pwani: Kifaru cha jeshi chaibwa kwenye kikosi 83 KJ Kiluvya

    Hakuna ukweli naye kaleta yake kifurahisha genge
  18. Mongoiwe

    Kulihitajika uchunguzi wa kina dhidi ya Dr. Faisal kwanza!

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo inatoa tamko la kuzuwia mjadala huo kuendelea kama linavyosema hapo.
  19. Mongoiwe

    Askari Polisi asababisha mauti ya Mlinzi kwa kumfungia ndani na kumchapa bakora

    Tukio la Mwanza, na askari huyo ni wa kituo cha Mbwa na Farasi Mabatini.
Back
Top Bottom