Search results

  1. T

    Behind the curtain: September 11

    The bold Naomba usiache kunitag Tafadhali
  2. T

    Behind the curtain: September 11

    Kabisa asee.....
  3. T

    DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Ndugu nimekushangaa sana... Wewe unavyohisi hii ishu jamaa wamekurupuka tu si ndio? Hii ishu haijawa planned leo asee, Pia makonda ni mtu mdogo sana katika hii vita asee... Kila kitu kimeshapangwa, Kama ni utafiti ulishafanyika na majibu watu wanayo, makonda ni Kama implementation machine...
  4. T

    Harmorapa Fans' Special Thread...

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa kunisaidia.
  5. T

    Je, kwa aina hii ya kujichua nitakua salama baadae?

    Kaka nimewashirikisha washkaji wamesema iko poa sana, yaani ni verified kabisa, ila hayo maji unaweka ya moto, ya vuguvugu au baridi? Maana tumejaribu ya moto sana tukaungua mapaja
  6. T

    Biashara ya movie library

    Asante Sana mkuu Kwa wazo zuri.... shukrani sana.
  7. T

    Biashara ya movie library

    Habari zenu wana jamvi, Naomba niweke mezani hili jambo tuweze kisaidiana Kwa mawazo. Nadhani wote mnafahamu hii Biashara ambayo watu hufanya mjini katika mikoa tunayoishi, Biashara ya kuuza movies ,series na nyimbo tofauti tofauti... Kwa wanao ifahamu Kwa undani, ukitaka kuianzisha unahitaji...
  8. T

    Msaada tutani nashindwa kubrows Mozilla Firefox kwenye pc

    Huwa inaboa sana hiyo kitu asee.... hamna kitu unafanya.... afu unakuta kaishu ni kadogo tu yani....
  9. T

    Msaada huawei e303s-02 hilink

    ebhana kama umefanikiwa kuiunlock tujuze asee,naomba hata unipm jinsi ya kuiulock.thanx
  10. T

    inaboresha au inaua?

    wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?
  11. T

    For JamiiForums Mobile users

    [COLOR=#FF0000 ]mimi[/COLOR ]
  12. T

    nifumbueni tafadhali.

    haya ni mapenzi,na kama hujapitia hili kuna muda utafika nawe utapitia,jf ni mahali pa kukusanya mawazo tofaut tofaut ya watu ili siku 1 uchanganye na yako then utatue tatizo,kila mtu ana mawazo yake,sina budi kuyakubl na kuyaheshmu.
  13. T

    nifumbueni tafadhali.

    sijamuunga mkono kabisa katika hlo,ndio maana nipo hapa kuomba msaada na ushaur wako.
  14. T

    nifumbueni tafadhali.

    so ina maana telling me kwamba anaweza kunipa chance ya 2nd boyfrnd ameshakubli na mimi natakiwa nikubli kuwa hvyo?
  15. T

    nifumbueni tafadhali.

    hapana,sipendi kuwa second choice kabisa,pia nafahamu kwamba ana boyfriend ila hayupo karibu,nilishawah kushka simu yake nikakuta text za huyo bwana wake.
  16. T

    nifumbueni tafadhali.

    kivipi?
  17. T

    nifumbueni tafadhali.

    una maana gani ndugu? Niweke wazi tafadhali.
  18. T

    nifumbueni tafadhali.

    habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss...
  19. T

    Naombeni kujuzwa

    atakua kapata grl mwngne huko alikotoka.
  20. T

    Naombeni kujuzwa

    ni mara ngapi anafanya hvyo,au ni kwa muda gan umeona hlo likijitokeza!
Back
Top Bottom