JERUSALEMU
Hongera kwa posti nzuri haya ndio mambo ya kuongelea hapa.
Ni kweli sekta ya utalii inapoteza mapato mengi sana kuna nchi zinaendeshwa kwa kutumia utalii pekeyake.
Pia usisahau sekta ya UVUVI.
Wanajanvi nimepewa habari za uhakika kwamba wandishi wa habari wameshaitwa na wamejaa pale makao makuu ya ccm dodoma tayari kwa kajina 5 wa wagombea kutajwa.
Siku kadhaa zilizopita waziri wa fedha alifunga maduka kadhaa mjini Dodoma,Lakini baada ya wafanyabiashara hao kuwasiliana na viongozi wa umoja wa wafanyabiashara wa mkoa viongozi hao waliwasiliana na TRA na maduka yakafunguliwa siku ya pili yake bila kuwa na vifaa vya EFD.
Hii inamaanisha nini..?
Hongera mkuu kwa taarifa lakini nikusahihishe kidogo kwamba hilo jimba linalokuja ni kati ya mita 20 na 40 kwa ukubwa na litaleta madhara kwa ukubwa zaidi ya kilomota 1 mpaka 200 katika eneo la mchi kavu litakapo dondokea walio karibu zaidi ni madhara makubwa umbali uavyozidi madhara...
Hongera mkuu kwa taarifa lakini nikusahihishe kidogo kwamba hilo jimba linalokuja ni kati ya mita 20 na 40 kwa ukubwa na litaleta madhara kwa ukubwa zaidi ya kilomota 1 mpaka 200 katika eneo la mchi kavu litakapo dondokea walio karibu zaidi ni madhara makubwa umbali uavyozidi madhara...
Wewe wacha kumtusi mtu na kumpangia cha kuongea Hili ni jamvi huru jamaa katoa wazo,Unamlazimisha kujadili dola unaijua dola wewe au unasema mara ya mwisho kutumia dola mia ni lini wewe.
Mambo ya dola wachie wenye dola huwezi kufanya lolote juu ya swala la dola au kama unataka tuzungumze...
Wadau naomba msaada wenu mimi ni mgenikwenye pdproxy nimeweza kupata premium account ya mwezi mmoja lakini kila nikikonect sipati speed kubwa kama wanavyosema watu napata 10-24kbps tu
msaada pla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.