Search results

  1. Hebie

    Natafuta mwandishi aandike visa nilivyokumbana navyo

    Natumai nitaeleweka kwenye maelezo kidogo nitakayoyatoa hapa chini. Nina umri wa ujana bado, nimekumbana na visa vingi hadi naona vinanizidi umri wangu. Nahitaji kupata mtu wa kunisaidia kuandika na kuanika hapa jf ili wengine wapate funzo katika maisha. Mwandishi mahiri aje pm nitamsimulia...
  2. Hebie

    Kwa maono yangu, wafuatao huenda wakateliwa Rais baada ya kuapishwa

    1. Dr. Tulia Akson-wizara inayohushu Mambo ya katiba na Sheria. 2. Ally Kessy - Mbunge aliyetumikia bunge liliopita, anaweza kuwekwa Mbunge wa kuteuliwa. 3. Pascal Mayalla - kwa uandishi wake huenda akapewa wilaya Fulani. 4. Paul Makonda huenda akapewa mkoa tena (Arusha) 5. Lengai O. Sabaya...
  3. Hebie

    Mchuano kama Simba vs Yanga, matokeo kama Man City vs Ihefu

    Dunia Ina Mambo, hivi hawa jamaa wanamdanganya nani? Tumeshuhudia Kila kitu tangu mwanzo kampeni zinaanza hadi hitimisho, Tunafahamu kuwa mnao watu wanaokubalika na jamii katika baadhi ya kata na majimbo, Tunafahamu pia kuwa uovu mmeupa kipaumbele mko tayari kumwaga damu ili mnenepeshe...
  4. Hebie

    Uchaguzi 2020 Mngesema mtateuana tu, tusingepoteza muda na fedha kupiga kura

    Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa. Mawakala wa upinzani kufanyiwa figisu ili wasiingie ndani vituo vya kupigia kura. Kuandaa kura feki zilizopigwa kabisa nje ya vituo...
  5. Hebie

    Hivi upotangaza kutafufuta mchuma, unatongozwa au unatogoza?

    Wapo watakaotukana na kukebehi ila nimekuwa na swali hili kwa muda labda nilikosee kuliweka vizuri kwa kuwa najua sio mwandishi mzuri wa kuipamba habari. Pamekuwepo na matangazo mengi mitandaoni hasa nitolee mfano hapa jf kuhusu kutafuta wachumba, nimewahi kwenda pm kwa wadada wengi lakini...
  6. Hebie

    Ukitaka akili ikuchoropoke, gombea ubunge au udiwani

    Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka.. Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya 1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya chama flani (upinzani) huwezi kuunga mkono juhudi za rais na chama tawala? 2. Unamuungaje mkono rais...
  7. Hebie

    Umbali ni kigezo cha kukosa mke/mume?

    Mwangele, mwabheja sana, mwangaluka, mwalindauli, damlauri? Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa mchangiaji was muda mrefu kwenye mada mbalimbali liakini leo kilichonisukuma kuandika ni kisa kifuatacho. Kuna tangazo lilipita pale love connect, ila siwambii tangazo lilihusu nini najua...
  8. Hebie

    Msaada tablet

    TECNO DP7CPRO nikipiga inaandika cellular network not available, tafadhali nisaidie na hata nikigiwa sipatikani
  9. Hebie

    Nisaidie kuhama nikulipe

  10. Hebie

    Msaada kuirekebisha e-mail yangu

    Habari wakuu na hongera kuvuka mwaka. Naombeni mnisaidie, ishu yenyewe ni kwamba e-mail yangu sijaingia muda mrefu na nilibadili namba ya simu niliyofungulia kwa hiyo niki-log in inasema nimekosea password.
  11. Hebie

    Nimejipanga hivi 2017, wewe umejipangaje?

    Zikiwa zimebaki siku chache tuumalize mwaka 2016 na tuuanze mwaka mpya 2017 kuna mengi natajia kufanya ili kuinua kipato. 1. Biashara ya KUPAMBA MAARUSI/KUMBI, hapa sina experience kabisa hivyo nitapenda kupata ushauri namna ya kuianza, vifaa vya kuanza navyo na changamoto zake. 2. Kilimo cha...
  12. Hebie

    Tufunge tusali kwa ajili ya Max

    Habari za wakati huu wanabodi, Naamini kama ni mjumbe mmojawapo wa JamiiForums umenufaika kwa namna moja ama nyingine kupitia ukumbi huu. Popote ulipo, na kwa dini yoyote uabudiyo na hata usiyekuwa na dini kukamatwa na kufungiwa lupango kwa mwanzilishi wa jukwaa hili kumetuathiri wengi kama...
  13. Hebie

    Nisaidieni hesabu ya hii Suzuki Cruze Chevrolet

    Wadau habari Kama kichwa cha habari kilivyo, nimeipenda hiyo gari iko Japan nimeona bei yao ni 4.1mil hivi hadi inafika hapa na kuisajili inapaswa niandae kiasi gani, halafu hata changamoto zake zikoje, natanguliza shukrani
  14. Hebie

    Aliye tayari kwa ushiriki kilimo cha miti, sharti awe Iringa ama Njombe

    Ni matumaini yangu kuwa wote muwazima hapa jukwaani, kinyume na hapo ni mipango ya Mungu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina long term plan nyingi kimaisha, lakini hili la kupanda miti nimelipa kipaumbele zaidi. Plan yangu ni kununua hekari 2 za shamba kwa ajili ya kupanda miti mwaka...
  15. Hebie

    Nahitaji suzuki cary DD51T

    Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Bajeti yangu 5mil nahitaji gari tajwa hapo juu iwe kwenye hali nzuri, isiwe na mahitaji ya matengenezo yoyote. Pm tujadili
  16. Hebie

    Alifaulu kuingia kidato cha kwanza lakini alikwama, msaada wenu kumsomesha

    Binti mwenye umri wa miaka 16 alifaulu kuingia form one mwaka jana 2015, aliishia njiani kulingana na mazingira aliyokuwa anaishi, amechukuliwa kufanya kazi za bartender mwaka huu lakini analia kila siku kupoteza malengo yake ya kusoma anaomba mtanzania mwenye kumsaidia ampeleke shule, kama...
  17. Hebie

    Simu Kuwa modem

    Waungwana naomba kujua nitawezaje kutumia simu yangu Tecno kama modem kwenye pc window xp 2009? Hapo awali nilikuwa natumia window 7 na simu ilikuwa ndiyo modem yangu, sasa juzi tar 24 nimepiga chini window 7 na kuweka xp nikiunga na USB haisomi zaidi ya kucharge please anajua haya mambo...
  18. Hebie

    Naomba msaada wa kubadili Favicon kwenye Blog yangu

    Habari zenu ndugu, nimekuja hapa jukwaani kuomba msaada mwenye ujuzi na blog Mm nina blog inayokwenda kwa jina la FRONTPAGE, tatizo lake ni kwamba niliweka picha kwenye title ila haiko vema sana nataka kuitoa that is a problem mimi nimeshindwa. nisaidieni
  19. Hebie

    Gari rav4J inauzwa, Sumbawanga manispaa

    Rav4 ipo katika hali nzuri inauzwa, imetembea kilometre 85115 ni ya mwaka 1998, bei 13.5mil, for serious Bayer no yangu ni 0765742066
  20. Hebie

    Kenwood speaker zinahitajika...

    Wajameni habari za jioni! Kama kichwa cha habari Kinavyoeleza, nahitaji speaker tajwa hapo juu na hasa zenye ukubwa kuanzia watt 6000 no kwa ajili ya kukodisha. Kama kuna mtu anazo anauza pm, na hata mwenye ushauri zipi ziko poa zaidi anakaribishwa. Nipo $umbWanga kikazi Ila zikiwa Dar usisite...
Back
Top Bottom