Search results

  1. MAMMAMIA

    Wafasiri wanahitajika - Translators are needed

    Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza. Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa...
  2. MAMMAMIA

    Wafasiri wanahitajika - Translators are needed

    Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza. Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa...
  3. MAMMAMIA

    Mume anatafutwa - zawadi $64,000,000

    Tajiri mmoja wa Hongkong ametangaza dau la dola milioni 64 kwa mwanamume atakayemuoa binti yake ambaye ni msa.gaji (lesbian) Utajitolea? Kwa habari zaidi: Bonyeza kizenji hapa
  4. MAMMAMIA

    Wanazungumza lugha za Shona, Oromo na Ndebele

    Wadau, Wanahitajika watu wanaozungumza kugha hizo kwa ajili ya mradi wa tafsiri. Kama wewe ni mmoja wapo au unamjua mtu anayezungumz alugha hizo tafadhali Ni PM au nitumie ujumbe kwa kutumia barua pepe hii: farsiy@yahoo.co.uk. Natanguliza shukurani za dhati.
  5. MAMMAMIA

    Udhaifu Mahakama zetu

    Wadau, nimekutana habari kutoka The Guardian 22nd August: Nimeona mambo matatu yanayonifanya niwe na wasiwasi na utendaji wa mahakama zetu: Kuna ulazima gani wa kutembelea magerezani kesi? Kesi ziko magerazani au mahakamani? Au hakuna kumbukumbu za kesi zote kwenye mahakama husika? Huu ama ni...
  6. MAMMAMIA

    Huyu msichana kiboko - Avua Tcxupi hadharani kwenye Olympics

    Vitendo vinapozidi maneno. Angalia kuanzia sekundo ya 15: http://www.screenr.com/mFu8
  7. MAMMAMIA

    Nini maana ya Kusimika?

    Ninapokutana na sentensi kama hili "Katika sherehe za kumsimika ofisini", huipita mbiombio kiaina nikidhani ni tusi. Wewe unalionaje?
  8. MAMMAMIA

    Ramadan kareem

    For all concerned JF members wishing you health, prosperity, and happiness during Ramadhan and throughout the next year and beyond.
  9. MAMMAMIA

    Idadi ya abiria kwenye meli iliyozama, nani anasema kweli?

    Sumatra ilisema abiria walikuwa 288 (watu wazima 288+31+9 watoto na mabaharia) Ikulu Zanzibar ilitaja abiria 290 (sijui wawili walitoka wapi) Leo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa DSM imebandika majina ya watu 340 (ziada ya watu 50, 52) Nani anasema ukweli? Haya ndio yale yale yaliyotokea mwaka jana...
  10. MAMMAMIA

    Hadi Wafe Watanzania wangapi ndio wahusika wawajibike?

    Bado Watanzania tuna kumbukumbu za MV Bukoba ambapo mamia ya Watanzania walifariki kwa mpigo. Ikiwa hiyo ni ya mbali, mwaka jana Septemba 10 Watanzania zaidi ya 200 walikufa wakijiona. Tarehe 13 Mei Mwaka huu injni za meli ya Sea Gul zilizima moto ikitokea Pemba kuelekea Unguja. Na leo tena...
  11. MAMMAMIA

    La Rojita - Spain Under 19 Champions of UEFA 2012

    Baada ya kaka zao La Roja kutwaa ubingwa wa EURO2012, vijana wa chini ya miaka 19 wametwaa ubingwa wa mwaka huu dhidi ya wapinzani wao Greece. Kwa habari zaidi, bonyeza HAPA Huu ni ushindi wa 6 kwa wadogo ndani ya miaka 11. Wakati huo huo, timu ya Spain inayojitayarisha kwa michuano ya...
  12. MAMMAMIA

    Matata na matatizo

    Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".
  13. MAMMAMIA

    Onyo la Hatari ya Njaa Tanzania

    Wadau, nimeona taarifa hii inayohusu onyo la hatari ya njaa inayonyemelea maeneo kadhaa ya Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hii, ni kuwa serikali tayari imeshapewa taarifa (kwa mara nyengine tena, taarifa imetolewa na vyombo vya nje kwa sababu serikali "ilikuwa haina habari), kwa hivyo isisubiri...
  14. MAMMAMIA

    Uteuzi wa AG Werema ni BATILI au halali?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika sasa, kifungu kifuatacho kinasema: Na kwa mujibu wa Katiba hiyo, kifungu kifuatacho kinasema: Lakini kwa mujibu wa Katiba hiyo hiyo katika kifungu hiki: Kutokana na kifungu hiki cha mwisho, Raisi anapewa uwezo wa kutengua...
  15. MAMMAMIA

    Ushauri wangu kwa Waheshimiwa Wabunge, hasa wa Upinzani

    Tumekuwa tukisikia mara kadhaa, Mh. Mbunge, hasa kutoka kambi ya upinzani, akitoa shutuma juu ya suala ambalo hata kama ni la kweli, lakini wamekuwa wakinyamazishwa kwa kutakiwa watoe uthibitisho wa kile wanachodai. Sasa ikiwa mbunge amepeleka bungeni shutuma hizo kwa suala la kweli lakini...
  16. MAMMAMIA

    JF Female Sports Club

    Klabu ya Michezo ya JF imeanzishwa. Kwa sasa tunaandaa timu ya Mpira wa Miguu lakini baadaye michezo mengine kama Mpira wa Kikapu, Riadha, Baiskeli, Kuogelea...zitaanzishwa.Tayari wachezaji watatu mahiri wamejitokeza na wanasakata gozi si mchezo: Zinduna, Erotica na Smile. Tunawapmba akina...
  17. MAMMAMIA

    Msaada tafadhalini - Siwezi kufungua videos za Internet kwenye Laptop

    Kila kitu kilikuwa sawa, lakini tangu jana Laptop yangu imekataa kabisa kufungua videos za aina yoyote za Internet. Nimegusa pasipotakiwa au imekuwaje. Naomba msaada wenu wataalamu na wajuzi. Natanguliza shukurani.
  18. MAMMAMIA

    @Clouds FM na Kidhungu, kidhungudhungu.

    Clouds FM &#8207;@cloudsfm: U HEEEEARD! Ya Leo Umeisikiliza!!? Full Mikwara jombaaa haa haaa!! Kama hujasikiliza visit... http://fb.me/1QaFG1jOe
  19. MAMMAMIA

    Kampeni - Kunwa BIA, okoa MAJI

    Kinywaji hiki pamoja na sifa nyengine kama vile kuongeza vitamini B na madini kama fosforasi magnesi na kalisi, pia kinazo “anti-rusts” zinazoifanya ngozi kupona haraka na hata kurudisha ujana. Pia anti-rusts hizi ni muhimu dhidi ya magonjwa ya moyo, kiasi kwamba wataalamu wa afya wanapendekeza...
  20. MAMMAMIA

    How to Dine free in a Luxury Hotel

    Jamaa alikwenda hoteli ya kifahari akaagiza mlo wa kufa mtu (biriani, samaki wa kukaanga , saladi, mkate, mvinyo....). Alipouliza bei akaambiwa ni Tzs. 89,000 +VAT "Na saladi pekee bei gani? Akauliza. "Saladi, mkate na mvinyo hivyo ni vya kusukumizia mlo tu, ni bure". Jamaa akala saladi,mkate...
Back
Top Bottom