Search results

  1. K

    KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya Kweli kufahamika!

    Yawezekana ni mkweli la mh huna uchungu na nchi hizo hoja wanazozipigani tunaona zina kweli na ndio maslahi makubwa kwa wananchi kwa maana hiyo mh hebu tanguliza uzalendo na tumia akili yako yote utasema ukweli but naamini kwa mashule yako na ufahamu huwezi kuamini uongo huu hebu kuweni wa kweli...
  2. K

    Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

    We nape ndio huaminiki kabisa umekuwa muongo matamko yako ni double standard hata sisi wanaccm wenzako unatukera kuwa realistic wewe ni mtu muhimu suala la balozi wa china limetuchafua kwa ajili ya uropokaji wako ni kweli hawa watu wameingia protea wamekuaga.acha mbwembwe dogo.
  3. K

    CHADEMA,CUF na NCCR waanza ziara ya pamoja dhidi ya CCM

    nimebarikiwa kupita na muungano huu ukiwa na nia moja kwa kweli tutashinda na nawasihi kuwa viongozi wote tunie moja tunawategemea
  4. K

    Hichi ndicho Mbowe alikusudia kusema

    kwa kweli magamba hata ungekuwa msomi vipi akili ndogo inatawala kuwa mwanamagamba unahitaji uvumilivu.maana munataka kutuaminisha uongo
  5. K

    Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Sijatarajia kama wewe huna uelewa kiasi yaani wewe ni gumshamba na mpaparikaji
  6. K

    Mapambano bungeni ni dhidi ya ajenda mahususi ya CCM ya kuhodhi Bunge la Katiba-Mwl Lwaitama

    :wewe unatumia ma------ kufikiri ebu badilika kifikira
  7. K

    Wapinzani wachezea kichapo kibondo

    Wanaccm acheni siasa nyepesi kwa upande wa madiwan upinzani sio ngome yote idadi ya ccm ni kubwa mpaka nape mwenye akili ndogo aje awasaidie ama kweli ccm kwishineyi
  8. K

    CCM is better than CHADEMA

    [annael umechanganyikiwa kwa kweli and i think ur not serious hebu badilika sasa hivi
  9. K

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Serikali yetu sasa imeamua kutufanya kafara kwa siasa. Mimi natamani kutokee siku ambayo CHADEMA itafanya mkutano na polisi wasiingilie ili tuone kama kuna mtu atakufa tena. Maana ni kama polisi hawapo kwa kuzuia ghasia ila kuua watu. Very bad. Machozi ya watanzania kwa hiki kipindi kigumu...
  10. K

    Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika!

    ndg ibange nadhani na wewe ni gamba lenye makundi kwanini msikubali engine ya chama cha mapinduzi haifai hata kuovehall ni ya kubadilisha nyingine nayo ni chadema mkatae mkubali ccm hakuna jipya zimebaki fitina
  11. K

    Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    tuntemeke toa ushenzi wako hapo wewe ni agent wa chama tawala chadema haikamatiki kamwe na subiri 2015 na amini usiamini slaa ni kiongozi bora kuliko wote wa chama chako potea mbali huko wewe mzushi mkubwa
  12. K

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Sober, Mnyika hajakosea isipokuwa wewe ndio unaonekana una masilahi ya moja kwa moja na jambo na wewe inaonekana umejawa na uccm zaidi kuliko utanzania na watu kama nyie hamtakiwi tanzania yetu,ukweli ni kwamba hii sheria lazima ibadilike kwa sababu nyingi pesa ya mtu unaipangiaje madhalani...
  13. K

    Madaktari na walimu pamoja na watumishi wengine wa umma cdm ndio jibu

    unapokuwa na chama zaidi ya kimoja unapoona chama hakikutendei haki lazima uangalie chama mubadala usiwe na mawazo mgandamizo ya ya kufikiria ccm tu wakati haiwatendei haki wananchi wake kama haya ya mgomo.majibu hayaridhishi na wewe unajua watu wakisema ukweli ni chadema basi chadema ndio chagu...
  14. K

    Msaidizi wa Nape awachana CHADEMA: Wabunge wa Upinzani ni Punguani, Viherehere

    msemakweli umenikonga moyo sana hata mimi nimemuangalia huyu mwenezi kwanza hajui anachosema ni kanyaboya fulani na inaonekana kule huyu bwana ni kibaka fulani asiyekuwa na a wala b na watu kama hawa ndio ccm kazi kweli kweli.
  15. K

    CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

    ukiamua inawezekana walimu maanishe kwenye hili komaeni maana naona kama hakuna umoja hii nchi bila kukomaa lazima wakupunje onyesheni solidarity ya hali juu wote mkiamua kwa pamoja lazima watatoa maamuzi pesa ipo ila wachache wanaitafuna.
  16. K

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    mh zito just keep cool maana hapa kuna kitu kimejificha watu wanatapatapa kukuchafua na tunajua ni siasa za malipizi hawa magamba bwana ni hatari
  17. K

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    kwa mtazamo wangu tuache uchunguzi na riport ya kamati. tatizo tz sasa hivi siasa ni sehemu ya maisha ya kila siku na chochote kinachotokea chadema kwa wengine ni shangwe na wanachadema tuwe makini na matamuko yetu
Back
Top Bottom