Search results

  1. R

    MAAZIMIO ya Baraza Kuu la CHADEMA... Yapanua wigo sakata la gesi

    Pamoja na kuvutiwa na harakati za CHADEMA nimevunjika moyo kwa kupata msimamo huo kutoka kwa mwenyekiti wetu kwa mtazamo wa haraka tu kinachokosekana mtwara ni uelewa na sio pingamizi. Hivyo jitihada zinazotakiwa pale nikuwaelimisha watu wajue ukweli na sio kushabikia Kwa mtazamo wangu...
  2. R

    House girl kamlamba mwanangu mdomo wakati anamlisha..

    Mimi nafikiri nikuite mdogo wangu kwani kwa namna unavyo andika inaonekana umdogo kwangu. 1. Mimi naona suala la kumpima huyo dada ungetakiwa umelifanya wakati wa kumpokea, hata hivyo nikutoe wasiwasi kuwa kitendo cha kumlamba mtoto mdomo hata kama angemlamba mara elf hakiwezi kumuambukiza...
  3. R

    Ni kweli wanawake waliozaa wanafurahia zaidi?

    Mimi nafikiri kwa majibu yaliyotoka haijalishi mwanamke amejifungua kwa njia gani kwani kinacho ongezeka ni mfumo wa hormone zinazoleta hisia hivyo...awe ni kwa operation au kawaida alimradi unampa maraha na sio stress...mambo inakuwa poa zaidi kwao!!!
  4. R

    Blackberry #8100- msaada

    Wadau, merry x-mass!!! Nilinunua ka simu kangu ka blackberry #8100 nilipojaribu ku download skype inasema hii simu hai support skype. Ninachotaka kujua ni blackberry kuanzia number ngapi ina support skype? Asanteni wadau
  5. R

    Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

    Hongera sana Destiny kwa ujasiri na zaidi wa kufanikisha lengo lako. Hiyo ndio maana halisi ya maneno "Love Connect"
  6. R

    Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

    Poleni sana kwa hayo majaribu ila naamini mungu aliwapigania kwa sabu ya nia yenu njema. Mimi nahisi kwa maisha ya sasa mtu kujua status yake ni jambo la msingi sana...
  7. R

    Kutumia face book kama photo album

    Mimi binafsi sikubaliani kuwa ni uhuru wa mtu kufanya apendavyo kwani...ndio sababu ku kawa na nafasi ya kukumbushana na kuelimishana...
  8. R

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    Mimi naòna una mwanamke mwenye busara Sana ila uwezo wako wa kúchambúa mambo ni mdogo.Ulicho ambiwá hapo sio kumtafutia mwanaume; nikuwa kwa nini una kwepa majukumu yako kama baba? Unashindwa kuongeá na Mama yako ú nategemea nani akusaidie? Walausije uka thubutu kúmpigá. Wa Mama wengi hujisau...
  9. R

    Unapenda kuingia kwenye Ndoa Bora?

    Mimi nampa pole sana mparee...I can feel his pain; Kwa upande wa kujiita mvulana nahisi hilo sio tatizo hiyo ni lugha tu...(nafikiri ni direct translation ya Boy)Ila nimefurahi kuwa watu wengi wamemshauri vizuri... Naona hajasema yupo wapi ila naamini kuna wasichana decent na walioko single na...
  10. R

    Natafuta mke mwema!

    Mimi mchagga
  11. R

    Nimeboreka mpaka basi

    Pole sana dada, mimi nilisha pata mkasa mkumbwa zaidi ya huo ila sihitaji kuusimulia. Jitahidi utengezeze gari lako na usiazime tena hasa mtu ambaye hana gari kwani wengi hawana uchungu nalo. Mimi sasa nina pikipiki kama muazimaji anajua kuendesha..hiyo anapata tofauti na hapo negative!!!
  12. R

    Mume huyu hapa

    Nashukuru kwa maoni yenu...Mimi nina umri wa miaka 39, nina Elimu ya chuo kikuu, naishi Arusha, Frankly napendelea mdada wa miaka 27 hivi hadi 32. Nimezaliwa katika familia ya Kichagga yenye imani ya kiislam. Natumai nimejibu maswali yote. Shivez - na pafaham ila panafaa mtu aliyekata tamaa na...
  13. R

    naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

    Mimi nahisi cha msingi ni kuwa busy...kwani ukiwa loose unakuwa unawazia hayo mambo zaidi... Lakini kwa mfumo wa maisha ya sasa inabidi ujishuhulishe uweze kusimama mwenyewe yaani kujitosheleza kwa mahitaji yako ya msingi...hakuna mwanamme atakuwa anakubabaisha, kwani unakuwa na uhuru zaidi wa...
  14. R

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Mimi mchango wangu ni kuwa; Nahisi mbinu za kujiosha kwenye usaliti wa mahusiano hazitatusaidia sana, ni sawa kumfundisha mtu mbinu za kuishi na ugonjwa wa Malaria Badala ya kumuelekeza Hospitali akatibiwe. Sasa hivi, hali ya uchumi iko tight, watu wanafight mchana na usiku " umeoa bado unaenda...
  15. R

    I am single again...'Honesty' is not the best policy!!

    Pole sana my dear, PLease let me know if you are serious as I still with a single chember in by heart to accommodate someone who is serious in the relationship. My feeling is that, usiumie sana kwani you never know mungu amekuepushia nini ambacho kingeweza tokea pengine mkiwa na familia ambapo...
  16. R

    Mume huyu hapa

    KWA WA DADA WANAO DHAMINI MAHUSIANO... UNA ZAIDI YA MIAKA 26, UMESOMA VIZURI, UKO PRESENTABLE (BEAUTY), USIWE MTU WA CLUB, UNAMUAMINI MUNGU NA MWISHO- UNAISHI ARUSHA? KWA SASA MIMI NAISHI ARUSHA, NINA KAZI NA NAJITEGEMEA....KAMA UKO SERIOUS; PLEASE GO FOR IT! NAAMINI HUTAJUTIA unaweza ni pm...
  17. R

    Wanawake ninao wapenda wote wana wachumba???

    Wana jf mimi ni kijana naishi Arusha na nafanya kazi kwenye shirika la kigeni na nina miaka zaidi ya 35. Nahisi nimekuwa sina bahati kwani wanawake wote ninao tokea kuwapenda huniambia kuwa wanawapenzi na mimi sijui ni kukosa uzoefu; huamini mawazo yao na kutokuendelea kuwafukuzia. Mimi ni mtu...
  18. R

    Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote!

    Mimi nahisi huyo colleague wako ni wale wenye pepo la ngono. Mbona sisi tunafanya kazi na wasichana warembe lakini kwa kuwa wameolewa tunakula ngumu...na kazi zinaenda. Kama wachangiaji; jitahidi kuvaa nguo za heshma. Chapa kazi kwani ukiwa loose mambo mengi maovu yanakuja kichwani...
  19. R

    Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

    Mimi naona sababu ya msingi inayofanya vijana wa sikuhizi wafifanye vizuri kitandani..nimfumo wa maisha. Maisha yamekuwa ya presha na mawazo ya kupata ndoto kubwa. Wanawake wenyewe wanakuwa very demading ( mara anahitaji hiki mara kile) inafanya akili ya mwanamme isi tulie na kufikiria hilo...
Back
Top Bottom